Huko Vietnam US hakupigwa. Alishinda na aliangusha tawala ya huko na kuweka vibaraka wake huko.
US ndio mfadhili mkubwa wa NATO. US ndio anayoyalinda mataifa ya ulaya.
US bila msaada wa hayo mataifa ya ulaya anaweza kupigana na taifa lolote lile Tena zaidi ya taifa Moja. Ata mataifa matano Kwa wakati mmoja. Uwezo huo anao...
Tunapoongelea US tunaongelea Joka Kwa maana ya Shetani nguvu zake sio za kitoto.
Na km ingalikua ndio US anapigana na Ukraine yaani ni siku nyingi tu hako kazelenski kangekua ktk mahandaki
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Russia hawezi kujiondoa east ukraineMkuu nikielewa vema MArekani inasaidia Ukaine kujitetea. Je unaona hii ni kosa?
Au nilisahau kama Ukraine ilishambiulia Urusi?
Unaonaje kama Urusi inasema Samahani, tulikosa kuanzisha vita, tunajiondoa na polepole tutalipa mchango kwa uharibifu tuliosababisha?
Hizi mig tulinunua sio urusi ilaha China!
Ninachokwambia tuliuziwa heat seaking missiles na mrusi!
Tulizitumia zikaisha!
Tulipo hitaji nyingine akahitaji Hard Cash au tukubalie atukopeshe kwa Mikataba Migumu!
Ref; Kilichompata Samora msumbiji!
Huna sifa wala sababh ya kudanganywa!
Qulu Haqi wainkana [emoji123][emoji106]
Mbona wanajiandaa kupeleka mamia ya vifaru vyao vya kisasa ?Ukweli ni kwamba west wanaelekea kuimwaga Ukraine na kuachana na huu mgogoro, yaani wanatafuta exit strategy. Mainly through negotiations.
Mkuu usifananishe wazaramo na vitu vya kijinga,, huyo ni mkenya yupo masaa 24 kutetea usengeh! Humu jfLinguine inaonyesha wewe ni mzaramo wa Msanga. Una ubishi mwingi wa kitoto. Hupen
Ukraine haijawahi kuwa mwanachama wa NATO hivyo haiwezi kuwa tishio kwa Urusi....mbona mataifa ya Baltic ambayo yalikuwa sehemu ya Ussr hayajavamiwa japo yapo NATO ?.... Finland naye ana mpaka na Urusi na anajiandaa kujiunga NATO mbona hajavamiwa mpaka Sasa?...Imevamiwa na Nani?! Ukraine ilikubali kuwa kichaka Cha mbele kuficha uovu wa NATO na West dhidi ya Russia ...Sasa Russia iliwawahi....sasa Ukraine wanasubiliwa kwa ujinga na unoko wao...Ukraine will never be the same again...Russia will never be defeated....Sasa hivi Hali ni mbaya mno kwa Ukraine...ndiyo maana West wanahangaika huku kupeleka sijui Leopard Mara Abraham..Mara Nini..
Waelewa tunajua bado muda mchache ARTEMOVSK(BAKHMUT) kua sehemu salama ya RUSSIA
Nashukuru hisabati nilipata mswaki. Ndio.Mkuu umejitahidi kuelewa habari za vifaru ila hisabati na mpira wa miguu bado !!
Urefu wa kiwanja cha soka ni hadi mita 125, kimataifa kawaida 105. Viwanja vinne hivyo ni 105 * 4 = mita 420. Si mita 2500. Mita 2500 ni viwanja vya soka 2500 : 105 = takriban 24.
(Ila Leopard inapiga vizuri kwa umbali wa mita 4,000; ikitumia grenedi-kombora ni mita 8,000)
Hivi we ulisoma PCM eh?Huko Vietnam US hakupigwa. Alishinda na aliangusha tawala ya huko na kuweka vibaraka wake huko.
US ndio mfadhili mkubwa wa NATO. US ndio anayoyalinda mataifa ya ulaya.
US bila msaada wa hayo mataifa ya ulaya anaweza kupigana na taifa lolote lile Tena zaidi ya taifa Moja. Ata mataifa matano Kwa wakati mmoja. Uwezo huo anao...
Tunapoongelea US tunaongelea Joka Kwa maana ya Shetani nguvu zake sio za kitoto.
Na km ingalikua ndio US anapigana na Ukraine yaani ni siku nyingi tu hako kazelenski kangekua ktk mahandaki
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kutoipenda Russia hakutasababisha historia yake ya kivita katika world war 2 kufichika na kudharaulika.Vovote vile lkn wajerumani waliwauwa Warusi Zaidi ya milioni 20. Na Russia Wala haikuishinda Germany ktk hiyo vita. Jidanganyeni huko
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Labda katukati. AK 47 si km 2 wala mita 2 bali inasemakana mita 300-250
Kumfananisha Iskander na HIMARS Ni Kama kumfananisha mbingu na ardhi . Kuanzia accuracy ya silaha hii pamoja na Range yake ya umbali.Mrussi kwenye technology ya masuala ya vita anaupiga mwingi sana. Urussi yuko mbele kwa miaka 10 dhidi ya NATO hii kauli zamani nilikua siamini ila nilikuja kujua ni kweli baada ya kuona mwaka jana Us ndo anafanikiwa kuunda kombora la hypersonic tena lenye spidi ya 5x ya sauti tu. Russia ana hypersonic missile toka 2016 sasa zaidi ya miaka 6 watu walikua wanahangaika wakati Mrussi ana hypersonic zinazokwenda hadi 12x ya sound.
Hatujaja kwenye Electronic warfare unakutana na khibiny hii ilituzimia warship ya Mmarekani aliyoisifia sana na kuwa ni meli hatari ( USS Donald Cook) ikiwa na mifumo kama Aegis combating system lakini ilizimwa na khibiny.
Kuna mtu humu alikua anaisifia HIMARS dhidi ya ISKANDER hii HIMARS iloshindwa kuvunja nguzo za daraja la Crimea??[emoji23][emoji23].
Nikija kwenye Airdefense mpaka sasa S-400 inawakalisha kumbukeni S-300 hata NASAM haifikii level zake sasa Mrussia ana S-500 na S-550 hii S-550 inadungua mpaka satellite na hypersonic missiles.
Ngoja niishie hapa ila ngoja kuna mwamba anaitwa AK-47 huyu mwamba ndo anashikilia rekodi kama silaha bora ya miaka yote ndo silaha ambayo inafanya vzr mpaka sasa duniani.
Mrussi hana mpinzani kwenye masuala ya vita, US hata kwa mchina hafiki
Huwa najiulizaga sana hivi kwanini Mmarekani anashawishi mataifa mengi yasinunue silaha za Mrussi?? Hata juzi hapa yule mama yao pale India aliwaonba India wasinunue silaha za Mrussi Mmarekani anaogopa nini??
Sawa mkuu. Hilo nalo ni wazo la kufikiria na linaturudisha pale pale kwenye swali langu: Hii ni vita kati ya nani na nani???
Ndio njiuliza nia ya Putin ni nini hasa??? Maana jamhuri nyingi tu zilizokuwa sehemu ya soviet socialists hazipo tena kama sehemu ya Urusi. Why Ukraine??
UMESEMA kweli na busara tupu mie najua mtu mwenye stress anavokua HUWA nakwepa ku engage nae .kp kipanya44 mbona unaonyesha ulivyo mtupu? Mambo mengine kama huna uelewa nayo jikalie kimya tu mdogo wangu. Linguine inaonyesha wewe ni mzaramo wa Msanga. Una ubishi mwingi wa kitoto. Hupendi kujifunza toka kwa wengine. Sio kila siku unashinda hapa na comment zako zisizo na maana. Nimekudharau sana.
Na wewe kaka yangu muhammad said, acts kubishana na huyu dogo. Atakuvunjia heshima yako, ambayo wengi tunayo kwako.