Kumfananisha Iskander na HIMARS Ni Kama kumfananisha mbingu na ardhi . Kuanzia accuracy ya silaha hii pamoja na Range yake ya umbali.
Iskander missile moja Ina uharibifu wa kutisha Sana. Fuatilia kuhusu accuracy ya uharibifu mjini Kiev hasa mwanzoni mean mgogoro huu.
Nb.
Mchina kwa Marekani Bado Sana. Mchina hucopy TU silaha za kirusi na Kimarekani na kuzalisha kwa maelfu. Eg J 16 Ni export version ya su 27
F6 ni mig 21
Na pia Wana version ya S 400 ya jina lao
Sent from my TECNO RA7 using
JamiiForums mobile app