jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
Hali mbaya
Hawa jamaa wakimfuatisha Zele wataisha Zele keshadata yeye anawaswaga tu wakafe ili aendelee kupiga pesaHali mbayaView attachment 2498665
Kwahio!!!??URUSI inashabikiwa na wanaichukia USA haswa haswa WAARABU na Wachina na KOREA huku Africa wanaisha ikiwa na Waislam njaa wenye chuki na USA
UKRAINE ipi hio!??Ukraine inazo silaha za nuclear. Ilikuwa nazo tangu enzi za Soviet Union, na Soviet Union iliposambaratika ilibaki nazo. Check your facts.
Ngoja nato waingie ndio mtajua ila kuna FOAB huyu hajatumika nk....Tukiacha nuclear kuna silaha gani Russia haijatumia?
Sio kwamba CNN wameanza kusema ukweli..Hali ni mbaya sana kwa majeshi ya Zele huko Ukraine...imebidi CNN waongee ukweli tuu
View attachment 2498631
Hivyo vifaru Wala havitafika salama vitaishia mpakan tu vipo ktk target pamoja na train lenyeweVIDEO: Saturday Morning - Leopard Tanks and "Marder" Infantry Fighting Vehicles Already entering Poland
WORLD HAL TURNER 28 JANUARY 2023 HITS: 11742
![]()
Video has emerged showing German "Leopard-2" main battle tanks and "Marder" Infantry Fighting Vehicles, on a train entering Poland, destined for Ukraine. These are the very weapons which Russia has said could trigger World War 3.
In the brief video below, taken in Poland Saturday morning, January 28, 2023, the unmistakable image of Leopard-2 tanks from Germany, can be seen on flatbed railcars, inside Poland. Also on the train are "Marder" infantry fighting vehicles.See below.
This train was seen earlier in northern Germany, and is shown above after having entered Poland.
Among the ammunition used by these weapons systems is Uranium-core shells; which Russia has already announced, "will be viewed as a dirty nuclear bomb being used against Russia, with all the ensuing consequences."
REWARD OFFERED FOR FIRST KILL
A Russian Oil company has publicly announced it will pay a reward of five million Rubles, which equal fifty thousand US Dollars, for the "First Kill" by a Russian Soldier, of either a U.S. "M1" or a German "Leopard-2" Tank in Ukraine. Subsequent kills of such weapons systems will result in reward of five-hundred thousand Rubles, which equals five-thousand U.S. Dollars.
MOAB ipo standby.Ngoja nato waingie ndio mtajua ila kuna FOAB huyu hajatumika nk....
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ww unaichukia Urusi kwa sababu gani?URUSI inashabikiwa na wanaichukia USA haswa haswa WAARABU na Wachina na KOREA huku Africa wanaisha ikiwa na Waislam njaa wenye chuki na USA
Kama unaichukia Urusi kisa historia iliyo pita basi anaye takiwa kuchukiwa wakiwa wa kwanza hao wamagharibi walio itawala nchi yako karne kadhaa na kupora maliasili yetu kupeleka kwao.Mtz yeyeto anae ishabikia russia hajui kitu mbaya aliyotufanyia mrussi wakati iddi aminwa alipo tuvamia na kuzuka vita ya Kagera!
[emoji116][emoji116]
mrusi alimsaidia idi amini kwa kumuuzia ndege vita na kutupa masharti magumu tulipo muomba atuuzie heat seaking missiles ambazo zilituishia!
Kukosa Hekima ya nyerere Kuomba msaada wa Anti aircraft Missiles Msumbiji na Algeria na kutusaidia amini angeendelea kutamba mwanza na vita ingekuwa endelevu na kuwa fursa kwa mrusi kubalance vita ili kuwa–balance vita ili Iwe fursa ya kuwa silaha [emoji56][emoji15]
Au Tatizo ww inawezekana ulikuwa bado unanyonya hujui uchungu na athari za [emoji12]
Si Hata ungeandika huo mji waliouzunguka?Baada ya kukamata majimbo kadhaa mapya majeshi ya Urusi yameendelea kutoa kichapo heavy kwa wanajeshi wa Ukraine!!
Sasa wanataka kukamata mji mwingine!!
Urusi bado anaendelea kutoa kichapo kwa NATO na mataifa viherehere!!
Source: Russia, Ukraine troops locked in fierce battle in Vuhledar
Una uhakika na unacho kisema?Ila likiwapata la kuwapata wanakimbilia Ulaya.
Hakuna wakimbizi wanaokumbilia nchi za Waarabu ie Saudi, Qatar, UAE, Kuwait, China
BMTP terminator ikiwa kazini.hakika hii mashine ni hatari.Mrusi ni balaa kwenye ground[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Ni sawa na taarifa ya leo kuwa wanajeshi wa ukraine pamoja na mamluki wa nchi zingine jumla kwa pamoja wapatao 200 wako chini ya ulinzi kwa jeshi la Urusi na hili pia halijatangazwi, huenda ikawa ni kweli warusi 1500 t Jana maana Kuna bahadhi ya taharifa hazilipotiwi kwenye vyombo vikubwa vya habari..,kwa mfano..siku ya tarehe 24 mwezi huu Kuna warusi zaidi ya 200 walichinjwa katika mji wa maliupol na hii idadi haikujumuhishwa kwenye takwimu inayotolewa kila siku kuhusu warusi wanaochinjwa
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Baada ya kukamata majimbo kadhaa mapya majeshi ya Urusi yameendelea kutoa kichapo heavy kwa wanajeshi wa Ukraine!!
Sasa wanataka kukamata mji mwingine!!
Urusi bado anaendelea kutoa kichapo kwa NATO na mataifa viherehere!!
Source: Russia, Ukraine troops locked in fierce battle in Vuhledar