Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Na mimi nimepata hii leo , Russia anaendelea kuwabana majesh ya ukrain na kuyafyekelea mbali , kama usipoamia hii source bas tena

Russia, Ukraine troops locked in fierce battle in Vuhledar



Duuu, inaonekana haya majimbo yaliyojitenga na Ukrain ni makubwa sana, kila siku nasikia Russia anakomboa miji na vijiji, lakini ni bado ndani ya yale yale majimbo.
 
Ushawahi kujiuliza kama vita ikiendelea kwa muda mrefu nini kitatokea?
Hali ikiendelea hivi vita ya tatu haiepukiki.
Hakuna vita ya 3, na hii ndo maana NATO ilisema haitajiingiza kwa asilimia kubwa ktk huu mzozo. Mkuu hii ngoma Russia alishapigiwa mahesabu muda mrefu, watu walikaa chini na wakachora ramani nzima ya nini kitaendelea endapo Russia ataingia Ukraine.

Haya tunayoyaona leo tayari yalishapangwa before.
 
Hiyo valnedar si imeshatekwa na urusi mkuu?? mohamedidrisa789 hebu njoo huku utoe ufafanuzi [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ujielewi wewe.Valnedar unaijua ipo sehemu gani ya Ukraine.sijawai kutaja jina la valnedar toka ili jukwaa kuanzishwa.wewe umeona wapi kuwa nikishawahi kutaja sehemu inaitwa Valnedar.ebu nikumbushe [emoji23][emoji23]
 
View attachment 2498374
Kiongozi jisomee mwenyewe hapo juu.. kwamba hao West wenyewe wanatoa misaada ya silaha kwa Ukraine lakini wanaogopa WW III kwa technology za kisasa.. itakuwa ni hatari sana haswa kwa nchi za Ulaya..
1. Mwez ule wa 3, hata vita havikuchukua mwezi, PM wa UK Mr Boris alisema endapo Russia ikatumia silaha za Nuclear. Washirika wa NATO watajibu mashambulio hayo ndani ya ardhi ya Russia. UK ikasema itasogeza silaha za Nuclear kwa mataifa yaliyo karibu na Russia.

2. Biden akaja akasisitiza pia, Russia ikijaribu kutumia Nuclear itajibiwa balabala. Mwaka jana mwezi wa 8 au wa 9, US kupitia kituo chake cha kijeshi kilichopo Japan, wakatuma ndege ya uchungi kwenye maeneo karibu na Russia ili kutazama kama kuna vidalili vyovyote vya matumizi ya nuclear. Hiyo ndege inazunguka 24hrz angani, ndani ina maofisa wa usalama na wataalamu wa computer wasiopungua 24. Hii mpaka thread yake ililetwaga humu.
 
Hakuna vita ya 3, na hii ndo maana NATO ilisema haitajiingiza kwa asilimia kubwa ktk huu mzozo. Mkuu hii ngoma Russia alishapigiwa mahesabu muda mrefu, watu walikaa chini na wakachora ramani nzima ya nini kitaendelea endapo Russia ataingia Ukraine.

Haya tunayoyaona leo tayari yalishapangwa before.
Na kweli alipigiwa hesabu muda mrefu maana naona mpaka USA wenyewe wanalia mafuta yapo juu plus inflation haishikiki!!
 
1. Mwez ule wa 3, hata vita havikuchukua mwezi, PM wa UK Mr Boris alisema endapo Russia ikatumia silaha za Nuclear. Washirika wa NATO watajibu mashambulio hayo ndani ya ardhi ya Russia. UK ikasema itasogeza silaha za Nuclear kwa mataifa yaliyo karibu na Russia.

2. Biden akaja akasisitiza pia, Russia ikijaribu kutumia Nuclear itajibiwa balabala. Mwaka jana mwezi wa 8 au wa 9, US kupitia kituo chake cha kijeshi kilichopo Japan, wakatuma ndege ya uchungi kwenye maeneo karibu na Russia ili kutazama kama kuna vidalili vyovyote vya matumizi ya nuclear. Hiyo ndege inazunguka 24hrz angani, ndani ina maofisa wa usalama na wataalamu wa computer wasiopungua 24. Hii mpaka thread yake ililetwaga humu.
Kwa hiyo mataifa yote 30 plus ya NATO yanamuogopa Urusi? Ama kweli mrusi ni balaa!!
 
Ukraine tu imemtoa jasho mwaka mzima......ingekuwa anapigana na NATO huyu Supa-pawa wa mchongo tungeshamsahau kitambo.
Mbona USA ilitolewa jasho na Afghanistan ikakimbia bila nguo. Hizi aibu zinawapata wote. Hivi unajuwa vita pekee ambayo USA ilishinda ni ile vita ya dunia ya pili (WW II). Zingine zote ilizopigana na viinchi vidogo kama Vietnam, Korea, Afghanistan, Iraq, n.k. ilibidi ikimbie kuficha aibu. Kwa hiyo usiidharau Urussi. Haya maanchi makubwa si lolote inapofikia kujiingiza kwenye uonevu. Soma historia za vita duniani upate ukw2eli.
 
URUSI inashabikiwa na wanaichukia USA haswa haswa WAARABU na Wachina na KOREA huku Africa wanaisha ikiwa na Waislam njaa wenye chuki na USA
Sio kweli Mimi ni mkristo lakini nawashabikia urusi mkristo anayejielewa hawezi kuwashabikia wasapoti ushoga.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Huge flocks of crows continue to circle over Kyiv. Local residents have been writing on social networks for several days that they have never seen such huge flocks - "harbingers of trouble"
 
Back
Top Bottom