EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,719
Ukiambiwa Ukraine "military reported" uwe unaelewaTuonyeshe picha za tukio sio ramani na story za udaku.
Ukiambiwa Ukraine "military reported" uwe unaelewaTuonyeshe picha za tukio sio ramani na story za udaku.
Ebu lete iyo taarifa kutoka NATO inayosema kuwa kama Warusi watashambulia Ukraine kwa Nuclear basi nao wataishambulia Urusi kwa Nuclear.1. Mwez ule wa 3, hata vita havikuchukua mwezi, PM wa UK Mr Boris alisema endapo Russia ikatumia silaha za Nuclear. Washirika wa NATO watajibu mashambulio hayo ndani ya ardhi ya Russia. UK ikasema itasogeza silaha za Nuclear kwa mataifa yaliyo karibu na Russia.
2. Biden akaja akasisitiza pia, Russia ikijaribu kutumia Nuclear itajibiwa balabala. Mwaka jana mwezi wa 8 au wa 9, US kupitia kituo chake cha kijeshi kilichopo Japan, wakatuma ndege ya uchungi kwenye maeneo karibu na Russia ili kutazama kama kuna vidalili vyovyote vya matumizi ya nuclear. Hiyo ndege inazunguka 24hrz angani, ndani ina maofisa wa usalama na wataalamu wa computer wasiopungua 24. Hii mpaka thread yake ililetwaga humu.
"Tumji" ni kama Nairobi 😅😅😅Hamna kitu mnaweza kufanya leo kirejeshe hofu niliyokua nayo kipindi cha hii picha hapa, mengine yote ni makelele, kugombea tumiji twa chumvi sijui wapi huko kama uache Dar uende kugombania Katavi ya Tanzania.....hehehe
Yaani hapa mliliwa shaba na wabeba javelin hadi raha...
![]()
Pia tunaomba iyo taarifa kutoka kwa Boris kuwa UK watasogeza Nuclear karibu na mataifa ya URUSI.1. Mwez ule wa 3, hata vita havikuchukua mwezi, PM wa UK Mr Boris alisema endapo Russia ikatumia silaha za Nuclear. Washirika wa NATO watajibu mashambulio hayo ndani ya ardhi ya Russia. UK ikasema itasogeza silaha za Nuclear kwa mataifa yaliyo karibu na Russia.
2. Biden akaja akasisitiza pia, Russia ikijaribu kutumia Nuclear itajibiwa balabala. Mwaka jana mwezi wa 8 au wa 9, US kupitia kituo chake cha kijeshi kilichopo Japan, wakatuma ndege ya uchungi kwenye maeneo karibu na Russia ili kutazama kama kuna vidalili vyovyote vya matumizi ya nuclear. Hiyo ndege inazunguka 24hrz angani, ndani ina maofisa wa usalama na wataalamu wa computer wasiopungua 24. Hii mpaka thread yake ililetwaga humu.
Nafikiri ni sawa ila ujazo wa baruti ni mwingi zaidiKwetu pia zipo lakini hazitumiki vitani hizo.
Kwa africa mashariki nijuavyo polisi wanatakiwa kutumia silaha zenye risasi ya kipenyo cha 7.62 mm kushuka chini.
Asa hizo G3 risasi zake sikumbuki kipenyo ngapi lakini zimezidi hapo
G3 ni ya Heckler & Koch ya UjerumaniYeah hapo ndio umbali ambao kwa macho ya kawaida utamuona adui na kumtambua.
Hiyo G3 sheria za umoja wa mataifa zilizuia isitumike(uganda walizitumia sana kwenye vita ya kagera wakiwa wamepewa na Libya) but mi nlikua najua G3 ni mfaransa
Kalemewa.Yule alikuwa overlated sana ..,kwa ufupi ni super pawer wa kwenye makaratasi tu,Wala Hana maajabu yoyote..,Bora hii vita imemvua nguo,kila mmoja amejua udhaifu wake
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
www.forbes.com
Mkuu hawahitaji kusogeza silaha za nyuklia karibu na Urusi. Makombora kwenye nyambizi huwa na umbali wa kutosha. Tishio liko tayari, pande zote mbili wanalijua.Pia tunaomba iyo taarifa kutoka kwa Boris kuwa UK watasogeza Nuclear karibu na mataifa ya URUSI.
Nipo nasubiri iyo taarifa
Kwetu pia zipo lakini hazitumiki vitani hizo.
Kwa africa mashariki nijuavyo polisi wanatakiwa kutumia silaha zenye risasi ya kipenyo cha 7.62 mm kushuka chini.
Asa hizo G3 risasi zake sikumbuki kipenyo ngapi lakini zimezidi ha
Ili tukio kuna nchi itabeba lawama za mtu uruzii irani hacheki na kima kama akijua tukio limetoka sehemu ambayo ni nje ya nchi yake ngoja tuone yajayoWiki hii ubalozi wa Azerbaijan mjini Tehran umeshambuliwa na gaidi na kuua mkuu wa ulinzi. Azerbaijan inaishutumu jirani yake Iran kuwepo vuguvugu la kuikandamiza baada ya maaandamano ya mwishoni mwaka jana kuongozwa na miji ya watu wa asili ya Azerbaijan. Evacuation ya ubalozi inafanyika wanataka kuufunga na washamrudisha balozi wa Iran kwake.
Na mwaka huu Azerbaijan imetuma balozi wake wa kwanza wa Israel baada ya kuuziwa silaha kwenye Nagorno Kabarakh war mwaka 2020 dhidi ya Armenia inayosaidiwa na Iran & Russia. Uturuki pia inaunga mkono Azerbaijan.
Jana CIA Director Bill Burns kaenda Israel ziarani. Usiku nchini Iran imetokea shambulizi kwenye ammunition factory mjini Isfaham. Ilikuwa ni drone strike and hopefully Iran itatoa taarifa inamshuku nani na ilikuwaje. Taarifa nyingine za mashambulizi sijajua ukweli wake.
Iran ina air defence systems aina nyingiView attachment 2498930
Ni kweli walishapiga hesabu siku nyingi hao NATO.Hakuna vita ya 3, na hii ndo maana NATO ilisema haitajiingiza kwa asilimia kubwa ktk huu mzozo. Mkuu hii ngoma Russia alishapigiwa mahesabu muda mrefu, watu walikaa chini na wakachora ramani nzima ya nini kitaendelea endapo Russia ataingia Ukraine.
Haya tunayoyaona leo tayari yalishapangwa before.
Unamaanisha ukubwa wa shell au?Nafikiri ni sawa ila ujazo wa baruti ni mwingi zaidi
Nimelijua leo hili nlkua najua ni ufaransa hii ndio maana ya kujifunzaG3 ni ya Heckler & Koch ya Ujerumani
Sasa hawa vibaraka wanaomshabikia Zele hawaelewi wana vichwa vigumu sana kuona reality.Ni kweli walishapiga hesabu siku nyingi hao NATO.
Lakini ukumbuke sio Kila ukipiga hesabu unapatia,Kuna kukosea mahesabu na mambo yakaenda shagalabagala.
Wenyewe ikiwa hivyo huita miscalculated.
Nadhani Sasa hivi hii inawatokea NATO.
Maana wameweka vikwazo weeee,vinawaumiza wao.
Wamepeleka silha weee Zina chomwa TU na majmbo yanazidi kuchukuliwa.
Wao ndio wamekua wa kwanza kulalamika kua silaha zimepungua kwenye maghala Yao.
Silaha zilizobakia ni chache mno kulinda mataifa Yao.
Viwanda vyao ndivyo vilovyofungwa,
Wafanyakazi wao ndiowaliopoteza ajira,
Mafuta yamepanda bei kwako,
Gesi imeadimika kwao,
Wao ndio wanaookota Kuni badala ya gesi.
Mambo ni mengi yamewaendwa kombo.
Miscalliculation hiyo.
Anhaa kumbe nayo ni 7.62 mm ila kwenye light weight ni uongo hizi website sometime wanaandika tu ila kiuhalisia mtu yeyote anayezijua silaha atakwambia ni bora AK kuliko G3 hizo ni nzito sana japo kuwa pia faida yake ni kuwa haiyumbi sana.Why Kenya Police Prefer Using the G3 Rifle
It has been decades since the Kenya Police service adopted the use of the famous heckler and Koch G3 rifle which was first made in 1957 and has been in service globally since 1959. The security organ has also not shown any signs of using a different weapon.
Most police forces around the world Kenya included have a number of key reasons for the use of the 7.62 by 51 mm NATO rifle.
One of the reasons why it it is preferred is because of its light weight which makes the gun easily portable as compared to other models. It weighs between 4.1 kg and 4.7 kg with a length of 102.5 cm.
![]()
It is also a very effective weapon during times of assault in war environment since it has a remarkable firing range of 500 m. With sight adjustments, its range can vary between 100 and 500 m.
In terms of firing rate, the G3 gun is just amazing as it can fire between 500 and 600 rounds per minute which is quite impressive although it is dependent on the accuracy of the user.
The rifle also has a unique trigger mechanism with a 3-position fire selector switch which also serves as the manual safety toggle that secures the weapon from accidentally discharging.
![]()
The gun has its origin in Germany (formerly West Germany) where it was developed in the 1950s by a German domiciled armament manufacturer named heckler and Koch in collaboration with a Spanish state-owned design and development agency CETME.
Iran huwa hakai na Deni kama alichomfanyia marekani aliyehusika ajiandae.Shoga yake na Urusi kapelekewa jana