mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Kumbe mpo.nilijua mmesafiri[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shoga yake na Urusi kapelekewa jana
Kumbe mpo.nilijua mmesafiri[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shoga yake na Urusi kapelekewa jana
Wewe unajuaje kama hajui Acha kujifanya mjuajiKuna mtu kapigwa gizani anashindwa kujua mbaya wake nani
Mungu wangu.We jamaa kweli huna ulijualo na taarifa zako za google yaani mchina acopy silaha kwa mmarekani? [emoji1787] [emoji1787].
Mmarekani ndio hucopy na kumodify
Ha ha wanakopy kutoka Ufaransa.Ona taarifa juu ya changamoto kwa Warusi wakichukua vifaru vya kale kutoka sehemu za kuegesha (maana vile 10,000 vinayosemekana walikuwa navyo vilikaa miaka mingi kwenye maegesho; ambako vingi vilianza kuoza tayari). NA sasa kuna dalili za uhaba wa vipuli hasa kwa ajili ya 2sights" yaani vifaa vinavyoruhusu kuona wakati wa usiku na kulenga mzinga kwa umakini . . . maana Warusi hawana vifaa vya kwao wanakopi kifaa kutoka Ufaransa.![]()
Russia Is Refitting Old T-72 Tanks For The War In Ukraine. But It’s Running Out Of Optics.
The down-rated T-72 has an outdated 1PN96MT-02 analog thermal sight that’s comparable to the sights NATO armies installed on their own tanks back in the 1970s. This emergency T-72B1 Obr. 2022 is ... not a great tank.www.forbes.com
Umeuliza swali umejibiwa leta swali jengineMOAB ipo standby.
UKRAINE iache kuvamia sehem za RUSSIA la sivyo watakufa sana kwaujinga waoUrusi wanazingua kwenye hii ita si waachie ukraine eneo lao maisha yaendeleee kama kawaida
Umeuliza swali umejibiwa leta swali jengine
MOAB ilitumika AFGHANISTAN ilikua na impact ipi !!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hard doesnt mean impossibleUkraine haijawahi kuwa mwanachama wa NATO hivyo haiwezi kuwa tishio kwa Urusi....mbona mataifa ya Baltic ambayo yalikuwa sehemu ya Ussr hayajavamiwa japo yapo NATO ?.... Finland naye ana mpaka na Urusi na anajiandaa kujiunga NATO mbona hajavamiwa mpaka Sasa?...
Hivi Vita ni sehemu ya mkakati wa Putin kujitanua tu kama alivyofanya huko Georgia mwaka 2008 na Crimea mwaka 2014........ila safari hii haitakuwa rahisi kwake.
Nilichofahamu ni kwamba squad ndio kikundi kidogo zaidi, na juu yake ndio kinaunda platoon. Then section nilijua ni aina ya kundi dogo chini ya platoon ila kubwa zaidi ya squad lakini mara nyingi linalinda stationary target kama SAM site, HQ au daraja. Huwa napenda kusoma infantry kwa kupitia Germany military structure, na artillery kwa kupitia Finnish military.Hapana ila hii ndio kikundi kidogo zaidi cha kivita.
Kwenye hiyo platoon kuna vikundi vidogovidogo ndio vinaitwa section so kunakuwa na Huyo kiongozi wa platoon lakini chini yake kuna viongozi wengine wanasimamia hizo section.
Kwahyo hata majukumu ya utendaji wanavyokuwa wanapambana Kama platoon kila section inakuwa na kazi yake bila kusahau section ya reserve.
Mara nyingi platoon huwa na section tatu zenye idadi sawa ya watu na silaha
Suspected Israel Drone strikes in Iran.Ili tukio kuna nchi itabeba lawama za mtu uruzii irani hacheki na kima kama akijua tukio limetoka sehemu ambayo ni nje ya nchi yake ngoja tuone yajayo
Sent from my Infinix X571 using JamiiForums mobile app
Nilichofahamu ni kwamba squad ndio kikundi kidogo zaidi, na juu yake ndio kinaunda platoon. Then section nilijua ni aina ya kundi dogo chini ya platoon ila kubwa zaidi ya squad lakini mara nyingi linalinda stationary target kama SAM site, HQ au daraja. Huwa napenda kusoma infantry kwa kupitia Germany military structure, na artillery kwa kupitia Finnish military.
Military structures duniani zina tofauti kidogo kulingana na mapokeo. Ninahisi North Korea wana mvurugano mgumu kuusoma, completely different
Kupeleka?Mbona wanajiandaa kupeleka mamia ya vifaru vyao vya kisasa ?
Muhimu ni kwamba vitapelekwa tu haijalishi itakuwa lini...... mvutano ni kawaida Sana kwa washirika wa hiyo jumuiya.Kupeleka?
Wanavipeleka lini?
Yaani hadi huko mwezi wa 6, vita bado inawasubiri wao tu
Na pia umeona mvutano uliokuwepo kwenye huko kufikia makubaliano ya kuvipeleka?