Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ikipotea ndio thamani Yake inazidi kupanda zaidi.. , fikiria Kila mtu angekuwa na urahisi wa kuipata Hela, nani angemuita boss mwenzie, mwisho hizo Hela zingekuwa takataka tu

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
kp kipanya44 mbona unaonyesha ulivyo mtupu? Mambo mengine kama huna uelewa nayo jikalie kimya tu mdogo wangu. Linguine inaonyesha wewe ni mzaramo wa Msanga. Una ubishi mwingi wa kitoto. Hupendi kujifunza toka kwa wengine. Sio kila siku unashinda hapa na comment zako zisizo na maana. Nimekudharau sana.

Na wewe kaka yangu muhammad said, acts kubishana na huyu dogo. Atakuvunjia heshima yako, ambayo wengi tunayo kwako.
 
Mtanzania mwenzetu (team Russia) katuheshimisha sana kupigana dhidi ya ushoga na mashoga...

SmartSelect_20230128-193336_Google.jpg
 
Leo umesikiliza BBC au DW kweli?? Msemaji wa Ikulu ya Kremlin kasema kwamba mwenye uwezo wakusitisha vita ya Ukraine na Russia ni Biden! Lakini Russia wanashangaa Biden kila siku anapeleka vifaa vya kijeshi!!
Nina uhakika hujaelewa walimaanisha nini.
 
Huko Vietnam US hakupigwa. Alishinda na aliangusha tawala ya huko na kuweka vibaraka wake huko.

US ndio mfadhili mkubwa wa NATO. US ndio anayoyalinda mataifa ya ulaya.

US bila msaada wa hayo mataifa ya ulaya anaweza kupigana na taifa lolote lile Tena zaidi ya taifa Moja. Ata mataifa matano Kwa wakati mmoja. Uwezo huo anao...

Tunapoongelea US tunaongelea Joka Kwa maana ya Shetani nguvu zake sio za kitoto.

Na km ingalikua ndio US anapigana na Ukraine yaani ni siku nyingi tu hako kazelenski kangekua ktk mahandaki

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app

Duh eti USA hakupigwa Vietnam!!!!!???!!!
 
Leo umesikiliza BBC au DW kweli?? Msemaji wa Ikulu ya Kremlin kasema kwamba mwenye uwezo wakusitisha vita ya Ukraine na Russia ni Biden! Lakini Russia wanashangaa Biden kila siku anapeleka vifaa vya kijeshi!!
Ndio aache maana akipeleka wahuni wa kirusi wanashusha maparachichi yakulipuka.Sasa huu si uchochezi.
 
Mwamba ni ule Aliye Isambaratisha UNITED SOVIET SOCIALIST REPUBLIC!
or U.S.S.R Bila hata risasi moja kupigwa!
Huyu mandonga Ukreine imemshinda hata aibu hana kupiga raia na makombora ya cruise![emoji56][emoji31][emoji33][emoji33]
KGB ndio walio sababisha USSR ikasambaratika, soma historia vizuri!!
 
Sawa tumekusikia mzee wa historia.wasamehe waliyoandika historia.ni kweli Hitler aliteka Urusi na hadi anakufa Urusi ilikuwa ipo chini ya Hitler. Ni makosa ya kiufundi kwenye kuandika historia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha kumvumilia huyo mjinga....msiwavumilie watu wanaopotosha historia humu JF
 
Mkuu,hebu piga hesabu,kama ukiweza kuua askari 800 kila siku askari laki tatu unaweza kuwaua ndani ya muda gani. ,Hiyo idadi tunaweza kusema ni ndogo kulingana na juhudi zinazofanywa na urusi za kuwapeleka wafungwa na kila aina ya takataka huko front line...,labda tukiongezea wale waliojeruhiwa tunaweza kupata uhalisia,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ww ndugu akil Zako unazijua ww mwenyewe. Kl siku Zaid ya wanajeshi Mia saba wawe wanakufa tu Tena wa Russia duuh kwa hyo ikipiga hesabu 700 *30 Zaid ya wanajeshi 21000 ndani ya mwaka mmoja si chin ya laki Tatu duuh ww vyanzo vyako cijui ni wapi? Ht ww mwenyewe hutumii akili kichwani mwako
 
Back
Top Bottom