Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mpuuzi mmoja anaeaminiwa na wajinga wenzake wa hapa JF kwa kuchambua silaha za uongo na kweli kwa kutumia Google maana hajawahi hata kuibeba pistol,wkt SMO inaanza akawa anaeleza waumini wake humu namna ambavyo Putin akikaa mikono anavyoiweka mezani kujizuia kutetemeka maana anaumwa na blah blah blah kibao,nilim-block na ujinga wake.Sijui aliishia wapi.
Yupo kama hayupo vile kwa sasa
 
kama haya mashambulizi yamefanywa kweli na ISRAEL basi jeshi la ISRAEL nibure kabisa

Maana hata hakuna lamaana lililotokea huko waliposhambulia

Pia hakuna ushahidi wowote kama hizo Drones zilitoka nje ya IRAN

Ila nnachokijua nikwamba aliehusika kwenye hili lazima atashughulikiwa kwawakati ufaao tuupe muda kazi yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo mkuu unataka uwape credit Iran kwamba wamejishambulia wenyewe?

Aliyehusika anajua watajibu, na atahusika tena, watajibu na atahusika tena. Ndio maisha waliyochagua miaka mingi na operations zinafanyika sana kwenye supply lines za hizo silaha
IMG_20230129_174317.jpg
 
Ni kweli walishapiga hesabu siku nyingi hao NATO.
Lakini ukumbuke sio Kila ukipiga hesabu unapatia,Kuna kukosea mahesabu na mambo yakaenda shagalabagala.
Wenyewe ikiwa hivyo huita miscalculated.
Nadhani Sasa hivi hii inawatokea NATO.
Maana wameweka vikwazo weeee,vinawaumiza wao.
Wamepeleka silha weee Zina chomwa TU na majmbo yanazidi kuchukuliwa.

Wao ndio wamekua wa kwanza kulalamika kua silaha zimepungua kwenye maghala Yao.
Silaha zilizobakia ni chache mno kulinda mataifa Yao.
Viwanda vyao ndivyo vilovyofungwa,
Wafanyakazi wao ndiowaliopoteza ajira,
Mafuta yamepanda bei kwako,

Gesi imeadimika kwao,
Wao ndio wanaookota Kuni badala ya gesi.
Mambo ni mengi yamewaendwa kombo.

Miscalliculation hiyo.
Na Ukraine ndo aliokuwa anawapa some materials za kuundia silaha. Huyi nae ndio anaenda kumilikiwa na urusi kwa hio automatically lazma wata withdraw tu. Wanajikaza yani wakati silaha kutengeneza ni expensive kama hauna raw materials.
 
Mpuuzi mmoja anaeaminiwa na wajinga wenzake wa hapa JF kwa kuchambua silaha za uongo na kweli kwa kutumia Google maana hajawahi hata kuibeba pistol,wkt SMO inaanza akawa anaeleza waumini wake humu namna ambavyo Putin akikaa mikono anavyoiweka mezani kujizuia kutetemeka maana anaumwa na blah blah blah kibao,nilim-block na ujinga wake.Sijui aliishia wapi.
Mfano wa silaha ya uongo aliyoichambua ni ipi ili tumnyambe??
 
[emoji779]️[emoji1126] "Putin cannot and will not lose the war": Hungarian Prime Minister Viktor Orban made some remarks about the situation in Ukraine

Orban received journalists in Budapest, including Rod Dreher, editor-in-chief of the American Conservative, who outlined the Hungarian prime minister's main theses:

[emoji3502]Russia cannot allow a NATO presence in Ukraine.
[emoji3502]Long gone is the time when Russia could conquer Ukraine and establish a pro-Russian government in the country.
[emoji3502]Russia's goal is to turn Ukraine into an ungovernable ruin so that the West cannot claim it as a "prize. Ukraine, like Afghanistan, is a no man's land."
[emoji3502]The West does not understand that time is playing in Russia's favor in the war in Ukraine.
[emoji3502]"Direct involvement of NATO troops in the war cannot be ruled out...The West is at war with Russia."
[emoji3502]Не excludes that Putin may use tactical nuclear weapons.
[emoji3502]"In wars the Russians are traditionally weaker in the beginning, but later they cannot be stopped.”

[emoji779]️[emoji1255] The Ukrainian Foreign Ministry reacted to Orban's remarks, calling them "categorically unacceptable”. The Hungarian ambassador will be summoned to the Ukrainian Foreign Ministry for a "frank conversation.”

Source: @radiomirby

[emoji336] InfoDefenseENGLISH


Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe mkku, angalau kutoka kwako ni kitu kipya kuileta hoja
"Long gone is the time when Russia could conquer Ukraine and establish a pro-Russian government in the country." bila kupinga!
Kuhusu hoja hii:
"In wars the Russians are traditionally weaker in the beginning, but later they cannot be stopped.”"

naona Bwana Orban hajasoma historia yake vema. Maana kuna mifano ya kusaidia na kupinga msimamo huu. Dhidi ya Napoleon na Hitler Warusi waliongeza nguvu baadaye na kuwa upande wa Ushindi, ila dhidi ya Ujerumani wakati wa vita kuu ya kwanza Warusi walianza kwa nguvu na kuporomoka kabisa baadaye....
Vivyo hivyo Vita ya Krimea 1856, na pia vita dhidi ya Japani 1905 ambako walishindwa.

 
Sina mpango wa kujiunga jeshi ingawa umri unaruhusu. Najua tunafuata mfumo wa Uingereza ila binafsi huwa haunivutii, napenda mfumo wa Ujerumani ambao uko proven kuwa the best since WW1 na WW2. Napenda vita ya kupunguza madhara kwa jeshi. Bora nimchague Field Marshal Erwin Rommel mzee wa defensive lines, kuliko Marshal Georgy Zhukov mzee wa human waves.

Na nimeanza kufuatilia jeshi kuanzia nilipoanza kujisomea WW1 na WW2. Casualties za Wehrmacht ni ndogo kulinganisha na majeshi mengine, Ujerumani ilipoteza ndege chache kuliko allies kwenye WW2. Ilipoteza meli chache, wanajeshi wachache yani kila kitu efficiency yao ilikuwa kubwa. Soviet Union ilipoteza ndege nyingi kuliko Ujerumani, wanajeshi wengi kuliko Ujerumani na vifaru vingi kuliko Ujerumani wakati Soviet ilikuwa inapambana na Germany pekee. Germany ilipambana na British & Commonwealth, US, France, Poland na wengine.
Ok mimi kiupande wangu sijabahatika kusoma hayo mavituvitu mengi but mfumo wa vita wa mwingereza kwangu ni bora endapo tu utafuata misingi sahihi sio kurahisisha mambo na ndio pekee nnaoujua nje ndani, sijasoma sana mambo ambayo hatuyapractise kwa nchi zetu.

Ntajaribu kusoma hayo miaka ijayo nkipata time ila kwa sasa natembea na British on my Own perspective
 
Islaer anazidi kuchukua roho za warusi kila iitwapo Leo..,, ndani ya saa 24 tu zilizopita wamechinjwa warusi 650.., tuzid kuwaombea Hawa jamaa kwa kweli [emoji24][emoji24][emoji24]
1675004122472.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Nilichosema zote ni 7.62 ila ujazo wa baruti ktk risasi za nchi za nato ni kubwa inasaidia urushwaji wa wa kichwa cha risasi na ikisaidiana na muzzle hata mlio tofauti na Ak
Naelewa ila nlichoongolea ni utofauti wa kimuundo kati ya risasi hizo mbili. Lakini nimejua kuwa ganda la G3 ni kubwa kwa ajili ya ujazo wa risasi.

Ila kuhusu hizi risasi za AK inachanganya Kama zitatofautiana ujazo wa risasi wakati ukubwa wa ganda ni sawa(otherwise aina ya baruti iwe tofauti)

Ila siwezi kubisha hili maana sijawahi kutumia silaha za nato
 
Kumbe mkku, angalau kutoka kwako ni kitu kipya kuileta hoja
"Long gone is the time when Russia could conquer Ukraine and establish a pro-Russian government in the country." bila kupinga!
Kuhusu hoja hii:
"In wars the Russians are traditionally weaker in the beginning, but later they cannot be stopped.”"

naona Bwana Orban hajasoma historia yake vema. Maana kuna mifano ya kusaidia na kupinga msimamo huu. Dhidi ya Napoleon na Hitler Warusi waliongeza nguvu baadaye na kuwa upande wa Ushindi, ila dhidi ya Ujerumani wakati wa vita kuu ya kwanza Warusi walianza kwa nguvu na kuporomoka kabisa baadaye....
Vivyo hivyo Vita ya Krimea 1856, na pia vita dhidi ya Japani 1905 ambako walishindwa.
Vipi basi Urussi aliweza kuwashinda Ujeruman?Na je,unafikiri mpaka leo bado hawaķufanyia kazi udhahifu huo?.
 
Vipi basi Urussi aliweza kuwashinda Ujeruman?Na je,unafikiri mpaka leo bado hawaķufanyia kazi udhahifu huo?.
Waliweza kushinda Ujerumani 1941-1945 kwa sababu Ujerumani ilikuwa na ujinga kujiingiza katika vita dhidi ya nchi nyingi iliyoshinda uwezo wake. Au unaamini Warusi walishinda Ujerumani peke yao??
 
Pro Russia wenzio Mathanzua Naye kaleta hizo news na ziko hapa, lakini nashangaa hujakosoa..,ndio maana Mimi Huwa sisikii kelele za mtu yeyote hapa jamvini maana mnakosoa kwa mihemko na hisia hasi

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu bwana Matahnzua analeta habari nyingi za ajabu ajabu pamoja na nadharia za njama. Anapenda sana kukopi kwenye tovuti za watu wa Trump na wabaya zaidi huko Marekani. Naona hata wengine pro-Russia wanamtazama kwa mashaka.
 
Sina mpango wa kujiunga jeshi ingawa umri unaruhusu. Najua tunafuata mfumo wa Uingereza ila binafsi huwa haunivutii, napenda mfumo wa Ujerumani ambao uko proven kuwa the best since WW1 na WW2. Napenda vita ya kupunguza madhara kwa jeshi. Bora nimchague Field Marshal Erwin Rommel mzee wa defensive lines, kuliko Marshal Georgy Zhukov mzee wa human waves.

Na nimeanza kufuatilia jeshi kuanzia nilipoanza kujisomea WW1 na WW2. Casualties za Wehrmacht ni ndogo kulinganisha na majeshi mengine, Ujerumani ilipoteza ndege chache kuliko allies kwenye WW2. Ilipoteza meli chache, wanajeshi wachache yani kila kitu efficiency yao ilikuwa kubwa. Soviet Union ilipoteza ndege nyingi kuliko Ujerumani, wanajeshi wengi kuliko Ujerumani na vifaru vingi kuliko Ujerumani wakati Soviet ilikuwa inapambana na Germany pekee. Germany ilipambana na British & Commonwealth, US, France, Poland na wengine.
Iyo taarifa umeitoa wapi ya kwamba Soviety walipoteza ndege nyingi kuliko ujerumani.
 
Anhaa kumbe nayo ni 7.62 mm ila kwenye light weight ni uongo hizi website sometime wanaandika tu ila kiuhalisia mtu yeyote anayezijua silaha atakwambia ni bora AK kuliko G3 hizo ni nzito sana japo kuwa pia faida yake ni kuwa haiyumbi sana.
Ak zinayumba lakini ni nyepesi hata kubebeka kuliko G3.
Halafu G3 inabeba risasi chache kuliko AK.. Kingne kwenye kufungua G3 ipo complicated sana.
Kingne ukipata nafasi ya kuishika angalia sight yake ilivyo yenyewe ina vitobo tofauti na hizi za nyingine asa mvua ikiwa inanyesha utaoanishaje pale?
Upo vizuri mkuu, ni kweli.
 
Back
Top Bottom