wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,209
- 37,871
Ndio matatizo ya kunyolewa vuzih la kwny 0713/0655/0717/0653SASA HII INAHUSIANAJE NA VITABVYA UKRAINE??? zamafakin
Ndio matatizo ya kunyolewa vuzih la kwny 0713/0655/0717/0653SASA HII INAHUSIANAJE NA VITABVYA UKRAINE??? zamafakin
Data tumeshadili. naomba ujisomee hapo juu.Kiongozi mbona unakuwa mbishi sana!
Kusanya data angalia ni wapi ambapo kwenye ww2 Hitler ni wapi alipeleka jeshi kubwa zaidi na vifaa vya kijeshi.
Ukraine ni kusini na mashariki. Zaidi ya hapo ni Kieve . Tunatawanya vita Ili Leopards zigawanywe . Ukimaliza kharv zapro dnipro Oddessa basi hakuna UkraineKharkiv kumeanza kunuka [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2499494
Unazungumzia utafiti ufanywe sasa...ila Kuna watu wametumia miaka mitatu darasani chuoni kusomea Mambo hayo..🤣😂🤣Wanakuchora tu humu unavyojaribu kuweka comment ya kuvutia upande wako na kujaribu kufuta historia...interesting...,To cut things short, WWII was won in the Eastern front where the bulk of Hitler's army was destroyed....Mkuu hakuna ambacho sikuelewa. Nimekuelewa vizuri sana , ulisema Wajerumani walipoteza robo ya jeshi lao huko Stalingrad.
Nimeelewa pia kwamba hujafanya utafiti na hisabati imekushinda.
Stalingrad Wajerumani walipigwa vibaya ila waliokufa walikuwa labda asilimia 3-4 ya jeshi lao si asilimia 25 (=1/4) jinsi ulivyodai.
Wako pia walioondoka Stalingrad, kinyume na unachodai. Tangu Novemba 1942 Wajerumani mjini Stalingrad waliviringishwa na Warusi, hadi tarehe 23 Januari ndege zilifika na kuondoka Stalingrad, tarehe 31 Januari Wajerumani walisalimisha amri. Ila si wengi walioondoka.
Mkuu heri ufanye utafiti kidogo ukitaka kutaja historia, na ufanye mazoezi ya hisabati, upate kuona tofauti kati ya asilimia 4 na 25!
Mkuu unajuaje mimi nilisoma miaka migapi mambo hayo??? Hongera kwa kipaji cha kinabii!!!!Unazungumzia utafiti ufanywe sasa...ila Kuna watu wametumia miaka mitatu darasani chuoni kusomea Mambo hayo..🤣😂🤣Wanakuchora tu humu unavyojaribu kuweka comment ya kuvutia upande wako na kujaribu kufuta historia...interesting...,To cut things short, WWII was won in the Eastern front where the bulk of Hitler's army was destroyed....
Nataka habari Kama hizi sio tunabishana habari ya vifaru wakati Simba anafanya kazi kwenye msitu huo ambao kifaru yupo.Kharkiv kumeanza kunuka [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2499494
Mkuu anzisha uzi mwingine wa hz mambo za WW1 and WW2...uzi huu ni special kwa ajili ya SMO inayoendelea hapo Ukrein...unatuchanganya aisee!!!...wengi tunaufuatilia huu uzi kwa jili ya kujifunza tusioyajua...Mkuu unajuaje mimi nilisoma miaka migapi mambo hayo??? Hongera kwa kipaji cha kinabii!!!!
Menginevyo: ni kweli huko Ulaya wakati wa Vita Kuu ya Pili vifo vingi vilitokea upande wa mashariki. Wasovyeti walipoteza milioni 28 hivi, Wajerumani milioni 4 wanajeshi (upande wa magharibi milioni 1 tu) na idadi ya watu raia.
Ila ushindi ulikuwa pia sana kazi ya vita ya anga ambayo ilikuwa kazi ya Marekani na Uingereza. Ndege zao zilibomoa viwanda na miji ya Ujerumani. Na bila uvamizi wa Marekani huko Ufaransa ?
Ila tusivutane. Kwa jumla Wajerumani walipakiza mlo mkubwa mno kwenye sahani ya vita yao, walishindwa kumeza.
Ila kwa kusifu nguvu wa Urusi isiyo na kikomo - si mfano mzuri sana.
Heheheee yupoooo [emoji16][emoji16][emoji16]Mpuuzi mmoja anaeaminiwa na wajinga wenzake wa hapa JF kwa kuchambua silaha za uongo na kweli kwa kutumia Google maana hajawahi hata kuibeba pistol,wkt SMO inaanza akawa anaeleza waumini wake humu namna ambavyo Putin akikaa mikono anavyoiweka mezani kujizuia kutetemeka maana anaumwa na blah blah blah kibao,nilim-block na ujinga wake.Sijui aliishia wapi.
Hapana sijasema kama wamejishambulia wenyewe MKUU nisome vyemaKwahiyo mkuu unataka uwape credit Iran kwamba wamejishambulia wenyewe?
Aliyehusika anajua watajibu, na atahusika tena, watajibu na atahusika tena. Ndio maisha waliyochagua miaka mingi na operations zinafanyika sana kwenye supply lines za hizo silahaView attachment 2499379
Mkuu sijaanza topics hizo! Sijui kwa nini wengine (hasa marafiki wa Putin) wanapenda kurejelea habari za historia wakisikia haja ya kusifu ubora wa Urusi?? Labda uwaulize.Mkuu anzisha uzi mwingine wa hz mambo za WW1 and WW2...uzi huu ni special kwa ajili ya SMO inayoendelea hapo Ukrein...unatuchanganya aisee!!!...wengi tunaufuatilia huu uzi kwa jili ya kujifunza tusioyajua...
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app