Mkuu unaona tayari wengiue wanaanza kuchoka majadiliano marefu ya kihistoria ambako wewe ulinaza na data zisizo sahihi; na sasa unataka kuendelea na data zisizo kamili; basi wafungwa wa vita Wajerumani walikuwa takriban milioni 3 Urusi, milioni 3 Uingereza, milioni 3 Marekani.
Warusi walifika Berlin kutokana na mpangilio waliowahi kufanya pamoja na Marekani na Uingereza ambako walipatana kugawa Ujerumani baada ya ushindi. Kulikuwa na mapatano ya London ya Septemba 1944 (wakati ule jeshi la Urusi lilikuwa bado nje ya Ujerumani) lililothibitishwa mwezi wa Februari 1945 kwenye mkutano wa Yalta ( Krimea).
Ona ramani iliyokubaliwa huko London 1944. Sijui unataka kuonyesha nini??