Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Hawa wataishi sana kwenye proxy na kuviziana ila vita ikitokea itakuwa ya mashambulizi ya haraka majeshi yao yako active mnoIsrael haina tatizo na Iran kuwa na silaha maelfu kwa maelfu ilimradi zisiwe nukes. Israel inakataa shipments za Iranian weapons kwenda kwa magaidi na ndio inazipiga hasa zikienda Syria maana zikitoka hapo zinaingia Lebanon na Palestina.
Na Israel haiwezi anzisha shambulizi la wazi dhidi ya Iran maana ishachoka lawama, na bado Iran inajiweza.
Iran haiwazi kuishambulia Israel, hizo death to Israel za serikali ni slogans tu. Hawa wataishi sana kwenye proxy na kuviziana ila vita ikitokea itakuwa ya mashambulizi ya haraka majeshi yao yako active mno
Hapa tunaongea lugha moja MKUU
Sent using Jamii Forums mobile app