MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 33,575
- 53,613
Waambie mashoga wampe makombora ya kupiga urusi
Matakabirr hayawezi kusaidia...
Waambie mashoga wampe makombora ya kupiga urusi
Kabla sijafa Mungu nijaalie nishuhudie kusambaratika kwa Uingereza.Imekuwaje tena, si walisema russia ndiye muhusika wa hayo mauaji.
Inaonekana Waingereza wamestage mauaji ya raia kwa kushirikiana na ukraine baadae wakaamua kuwageuzia kibao russia kupitia propaganda zao za vyombo vya habari.
Russia wanataka uchunguzi ulio huru cha ajabu wao walalamikaji ndio wanakataa.
Kabla sijafa Mungu nijaalie nishuhudie kusambaratika kwa Uingereza.
Wana dhambi nyingi sana
![]()
Britain blocking UN investigation into Bucha massacre in Ukraine - Russia
RUSSIA blamed Britain today for blocking a meeting of the UN security council to discuss alleged war crimes committed in the Ukrainian town of Bucha. Foreign Ministry spokeswoman Maria Zakharova reiterated the call today after a request for an...t.co
Zimwi likujualo sio ?...tena bora hata ya Unipolar ya US kuliko ya mchina au mwngine kwa falsafa ya shetani unayemjua ni bora kuliko usiyemjua.
Maneno tu haya washaona KIEV inaangamia pole poleWw3 is loading,NATO wameanza kupanick
[emoji298]️[emoji298]️World War III would start the moment Russian tanks arrived in Kyiv and on the borders of Europe. Making sure they do not arrive is the only way to stop World War III" — Italy's defence minister says https://t.co/bMU3FsSKFwView attachment 2499889
Soma article acha kuniuliza mimi maswali sijatunga mimi hio habariImekaaje hii? South Korea sio ndio hawa wanaowezeshwa ni US kumdhibiti North Korea kule na vishindo vyake? sasa aje amsaidie US tena kwa vipi, lete habari kidogo inayoingia akilini sio porojo porojo
Hhhh acha MKUUHiyo ya Urusi hajui vyakula vya kwenda navyo vitani nimeikumbuka hahaha aisee na uchambuzi kibao tukatajiwa mpk aina ya vyakula vya vitani. Tukabakia na maswali kama mtu yuko jf anavijua vyakula vya vitani na yeye sio mwanajeshi iweje majenerali na wataalamu wote wa vita wa urusi wasivijue tena wakiwa namba mbili kwa ubora wa majeshi duniani!? Kama Urusi hawajui hivyo vyakula vipi KDF au TPDF au UDF etc!?
Propaganda
Yupi huyo?,huyu anayewachangisha vifaru.Tena naidharau hadi basi tu, maana Urusi niliyokua naijua, niliyokua naiogopa...iliyokua inategemewa na waarabu wenu...kama ndio hii, kwa kweli dunia tumebaki pabaya maana tuna mbabe mmoja tu.
Yupi huyo?,huyu anayewachangisha vifaru.
😃😃😃,hii vita imepigwa propaganda za kutosha sana!Mpaka Kuna wengine wakiangalia nyuma na waliyowahi kitamka au kuyaleta humu jukwaani basi wanapata aibu!Hiyo ya Urusi hajui vyakula vya kwenda navyo vitani nimeikumbuka hahaha aisee na uchambuzi kibao tukatajiwa mpk aina ya vyakula vya vitani. Tukabakia na maswali kama mtu yuko jf anavijua vyakula vya vitani na yeye sio mwanajeshi iweje majenerali na wataalamu wote wa vita wa urusi wasivijue tena wakiwa namba mbili kwa ubora wa majeshi duniani!? Kama Urusi hawajui hivyo vyakula vipi KDF au TPDF au UDF etc!?
Propaganda
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamaa bado yuko mwaka 2022Afu Kipanya44 anasema Putin anapokea kchapo kikali[emoji38]
Washenzi sana hao na ufaransa ni nyoko kabisaKabla sijafa Mungu nijaalie nishuhudie kusambaratika kwa Uingereza.
Wana dhambi nyingi sana
Aameen tuishuhudie wote MKUU
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutumia infinix kunauhusiano na hoja zenu kumbe.... Hahaha, Ama kweli kuishi kwingi. Juzi juzi tu hapa tuliokuwa tunatumia siemens ile yenye mnara tulikuwa tunaheshimika kweli.Kumbe unatumia infinix mkuu basi bana 🙌🙌
Kama alikuwa ni mshabiki wa nato basi ujue kakimbizwa na ukweli wa vitaMulokozi ameenda wapi ? Uzi umekosa facts tumebaki malumbano ya watu wawili kujaza server .Tupeni updates wandugu. Uzi umejaa ushabiki wa kitoto na kukwepa mada kuanzisha vijimada mfu
Boris Johnson alikuwa anajua kumpa makavu live Putin bila kupepesa macho..,kama uwezo wa kumpiga kombora Boris Johnson ungekuwepo , Putin alikuwa tayari kufanya hivyo.., lakini ni bahati mbaya sana kwamba kitendo hicho ni sawa na kufanya suicide mission kwa Putin mwenyewe pamoja na urusi Kwa ujumla,Ukraine: Boris Johnson says Putin threatened him with missile strike
Boris Johnson has said Vladimir Putin threatened him with a missile strike in an "extraordinary" phone call in the run-up to Russia's invasion of Ukraine.
The then-prime minister said Mr Putin told him it "would only take a minute".
Mr Johnson said the comment was made after he warned the war would be an "utter catastrophe".
The claim is made in a BBC documentary on Mr Putin's interactions with world leaders over the years. The Kremlin spokesman said it was a "lie".
Mr Johnson warned Mr Putin that invading Ukraine would lead to Western sanctions and more Nato troops on Russia's borders.
![]()
Ukraine: Boris Johnson says Putin threatened him with missile strike
Boris Johnson says he had an "extraordinary" call with President Putin before the Ukraine invasion.www.bbc.com
Zele Naona anawatoa sadaka askari wake!the Russia-Ukraine war on Saturday, January 28.
Ukrainian troops are locked in a fierce battle with Russian fighters for control of the town of Vuhledar southwest of Donetsk.
President Volodymyr Zelenskyy says the situation at the front remains acute, particularly in the eastern Donetsk region where Russia is stepping up its offensive.
Moscow says Latvia’s ambassador has two weeks to leave Russia, accusing the EU Baltic country of “total Russophobia”.
A total of 321 heavy tanks have been promised to Ukraine by several countries, Ukraine’s ambassador to France told local media
Mkuu wewe ni Mrusi kama mimi au wewe ni 🏳️🌈?Kutumia infinix kunauhusiano na hoja zenu kumbe.... Hahaha, Ama kweli kuishi kwingi. Juzi juzi tu hapa tuliokuwa tunatumia siemens ile yenye mnara tulikuwa tunaheshimika kweli.