Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Msadieni mwenzenu
Screenshot_20230130-205847.jpg
 
utake usitake mrusi bado ni world millitary superpower; USA waliwasaidia waasi kumwondoa Bashar al asad, urusi wakapeleka vikosi vyake mpaka leo Asad anadunda na Syria yake, USA walitaka kumwondoa Maduro wa venezuela, baada ya mrusi kupeleka vikosi vyake USA akafyata mkia bila hata mapigano, USA ilishindwa vibaya vita vyake na Somalia/vietnum baada ya mrusi kuingilia kati, Ukraine ikisaidiwa na mataifa ya magharibi hadi sasa imeshapoteza zaidi ya 18% ya ardhi yake! ni mtu asiyekuwa mwelewa tu anayeamini mrusi ni dhaifu kijeshi
[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
 
Mkuu kumbuka hata Putin mwenyewe amekiri siku chache zilizopita kwamba maeneo waliyojinyakulia huko Ukraine wanapitia Hali ngumu.., hivyo Sion kipya kwenye hayo matamshi ya rais zelensiky..,mbali na Hilo,hiyo inaweza kuwa lugha ya kuwashawishi west wafanye haraka kutuma silaha huko Ukraine,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Unaambiwa vitu vinashuka Kama mvua ya mawe.
 
Achana na hizo concept za urusi na upinde. Nilichofanya ni kuhoji palipohitaji kuhojiwa, baada ya ww kusema jambo lililoonyesha uhitaji wa kuhoji.

Je infinix anayotuma kp kipanya44 ina uhusiano na hoja mnazojadili? Kama kuna uhusiano ijulikane kabisa kuwa kuna uhusiano wa hoja na aina ya simu unayotumia.
Akili zao matope ndio hoja zao hizo wakati nyumbani mwao labda kina babazao huko wanachezea mifagio ya mimb. ..oo
 
Walio panga kuivamia Ukreine, walio amrisha kuivamia Ukreine, walio ivamia Ukrene, na wanao shabikia kuvamiwa Ukreine Na kuuawa Watu na Viumbe vingine visivyo na hatia...LAANATULAAH!!! HAO WOOTE NI FINNAR JEHANNAM HALIDINA FIHA ABADAN [emoji91][emoji91][emoji35] TUTÙBWI HAWATATOKA HUMU ASILAN
Labda kama una jahannam yako MKUU ila jahannam ya Mungu hatutaenda

Wapenda amani tunasimama na RUSSIA mpaka kieleweke kama alivyosimama shujaa wetu Nemes Tarimo

RUSSIA hajawahi kuua mtu asiokua na hatia huko UKRAINE nakama aliua basi ni colateral damage hua inatokea kwenye ukombozi

Wapenda haki amani na usawa wa DUNIA tutaendelea kusimama na RUSSIA hatakama mtachukia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom