President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Hiyo theory inafanya kazi akati unapambana na vitaifa vidogo vidogo. Kutafuta watu wengine wawe na wewe ni weakness. Russia hana mpango wa kumtafuta mwingine, maana alisha fanya hivyo vita vingi tu hapa duniani."The Art and Power of War is to influence others to join your fight"
Mark Arthur.
Hii ndio Sera ya Marekani. Kama hauwezi kuwashawishi wengine kuungana na wewe kupigana Vita Basi you are weak.
Kuwashawishi wengine kupigana bega kwa bega na wewe Ni Nguvu kubwa Sana. Ndio maana unaona Urusi imeshindwa kuishawishi hata Beralus kupigana upande wake.
Weakness of USA ndio hiyo ya kuwaingiza wengine katika ugomvi usio wahusu. South Korea wakiingizwa kwenye mkenge huu ujue uchumi wao utaporomoka. Hata hiyo South Korea hana ni sisimizi.
Umeongelea Belarus, Kwanza huu ni utoto. Russia tangu mwanzo anasema hii ni SMO na siyo vita. Sasa amwingine Belarus kwa lengo lipi?