mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Mig ni kampuni ya Warusi.kwa iyo ukishajua ilo uwezi ukaumiza kichwa.Israel katengeneza F-35 kwake.kwa iyo F-35 tutasema zipo mbili.Upo sawa kabisa Watu waekalili wakiona Mig-21 na BM-21 wanajua ni za warusi tu
F-35 ya Marekani na F-35 ya Israel[emoji23][emoji23][emoji23]