Mkuu nadhani nimeshakushauri kujielimisha kidogo kabla ya kuandika! Basi tekinolojia mpya si parachuti. parachuti ni mbinu uliotumiwa tangu miaka mingi.
Roketi mpya hutumia injini na fueli; baada ya kufikisha mzigo huko juu zinashuka kwa nguvu ya injini halafu zinafika tena kwenye kituo kilichoandaliwa, si kuanguka baharini jinsi zinavyofanya zile kwa parachuti.
Roketi zinazorudishwa kwa parachuti hazina kazi tena. (Ukiona tofauti: taja mifano, majina, tarehe na mahali!!!).
Ona hapa roketi mbili zinazorudi (tarehe 6 Februari 2029)
View attachment 2501232
Warusi hawana kitu kama hicho hata kidogo.