IMF wamesalimu amri...imebidi wawe wakweli tu:
According to the Moscow Times leo 31/01/2023...(Hawa Moscow times ni pro West..na waliishakimbizwa Urusi, sasa hivi wanatoa online copy..kutokea Uholanzi)..
Uchumi wa Urusi unatarajiwa kukua kwa 0.3% mwaka huu. Ikumbukwe taarifa ya mwaka jana October, IMF ilitoa taarifa kuwa uchumi wa Urusi utapungua kwa 2.3% mwaka 2023.
Kwa makadirio hayo ya sasa Urusi itakuwa mbele Ujerumani - ambaye uchumi wake utapungua kwa 0.1% na U.K uchumi wake utashuka by 0.6%.
Ikumbukwe sababu walizotoa kwenye report ya mwaka jana kwa Urusi ni VIKWAZO...
Je mabadiliko kwenye taarifa kutoka kwenye taifa kubwa kama IMF, kuna jenga taswira gani..kwamba effects za vikwazo kwa Urusi sio kama ambavyo ulimwengu hasa West walitarajia???
Sent from my SM-A205F using
JamiiForums mobile app