Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

News|Russia-Ukraine war

Russia: 14 killed in a ‘deliberate’ attack on hospital in Ukraine​

Ukraine strike by US-supplied HIMARS rocket hit medical facility in Russian-held settlement of Novoaidar, defence ministry says.
Ukraine.jpg

Russia accused Ukrainian forces of a 'war crime' after they allegedly shelled a hospital in Novoaidar, Luhansk region, on Saturday [File: Oleksandr Klymenko/Reuters]
Published On 28 Jan 202328 Jan 2023.

Russia accused the Ukrainian military of deliberately attacking a hospital in a Russian-held area of eastern Ukraine in what it said was a war crime that killed 14 people and wounded 24 patients and medical staff.
There was no immediate response to the allegations from Ukraine on Saturday. The attack hit a hospital in the Russian-held settlement of Novoaidar and was carried out using a US-supplied HIMARS rocket launch system, the Russian defense ministry said in a statement.

“A deliberate missile strike against a known functioning civilian medical facility is without doubt a serious war crime by the Kyiv regime,” it said. “All those involved in the planning and execution of this crime will be found and held accountable.”

Civilian and military medics had been working in the hospital for many months treating local people and soldiers, it said.

Ukraine and its Western allies have accused Russian forces of frequent war crimes in the conflict in which thousands of civilians have been killed and cities and towns reduced to rubble by artillery and air raids. Russia denies targeting civilians.
 
Mkuu haitatokea kwamba Warusi wanashambulia satelaiti vile unavyowaza. Kwanza wako wadhaifu zaidi katika mambo ya anga, pili ukisababisha milipuko angani unazalisha vipabde vidogo vitakavyohatarisha satelaiti zako pia, tatu wanajua kwamba Marekani wana vifaa makini zaidi vitakavyomaliza satelaiti za Kirusi haraka sana, nne wanajua kwamba data za satelaiti ni sehemu tu za data zinazoongoza HIMARS... Kwa hiyo wangepata hasara kubwa kwa faida ndogo . . . .
Kwamba warusi ni wadhaifu kwenye mambo ya Anga.kumbe hujui chochote Bora unyamaze Tu upunguze kujiaibisha.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Jifunze kuandika mkuu.Ila comment yako haina mantiki kama nimekuelewa vizuri.Kuua askari wenzenu for any reason inatokea sana vitani,so askari wa Ukraine kuwaua askari wa NATO, ili kuficha identity, si ajabu sana,it can happen.
Mkuu, kwa nini wafiche identity? Tena kwa njia hizo? Tangu miezi propaganda ya ya Kirusi inadai askari wa NATO wako , maana wanahitaji maelezo kwa nini hawapati maendeleo katika vita yao... Na katika miezi hii yote, pamoja na maelfu waliokamatwa, hawakumpata hata mmoja wa NATO... Wala Mariupol (sijui si wewe mwenyewe ulitutangazia kuna askari wa NATO au special forces huko Mariupol??) Walipata mavolunteer kadhaa walijitolea kama mamluki kwa Ukraine ila hakuna "mwanajeshi wa NATO" .

Tena hao wanajeshi wa Nato wangefanya nini? Waukraine wanajua kupiga Warusi hawamhitaji mtu atakayewasaidia kulenga bunduki...

Kama wangekuja siku mmoja wangefika vikosi si mtu mmoja mmoja. Na kama wangekuwepo hao maspecialist wanaodaiwa kuwepo (ambayo si kweli), wasingepelekwa mstari wa mbele ila kama washauri kwa miambo ya tekonilijia ya juu mbali na mstari wa mapigano.

Jamani acheni hiyo propaganda ambayo kweli ni kitoto.
 
Kwamba warusi ni wadhaifu kwenye mambo ya Anga.kumbe hujui chochote Bora unyamaze Tu upunguze kujiaibisha.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Mkuu ujielimishe kidogo kabla ya kuandika. Siyo hado leo wanasafirisha wanaanga hadi Kituo cha Anga kwa ile Soyuz ambayo ni kifaa kilichobuniwa miaka 40 iliyopita... Ilhali nchi mbalimbali wanaandaa vituo kwenye Mwezi, Warusi hawana mradi. Magari ya Marekani, China, hata Uarabuni yanazunguka Mwezini na kwenye Mirihi, ila Waarusi hawana kitu.
Roketi za kisasa zinapaa na kurudi kwa matumizi tena (roketi za Musk) - Urusi haina uwezo kuunda kitu kama hicho . . .
 
Aisee wewe kumbe hujui kitu.acha kujiaibisha kila mara Tu warusi wanarusha masatelaiti ya kijeshi.Alafu marekani huwa wanatumia Engine za kirusi kwenye vyombo vyao kabla ya hii vita.mkuu Bora unyamaze Tu usijiaibishe hujui kitu Yani.

Wanaficha aibu kuwa urussi anapigana na NATO YOTE NA KUWASHINDA
 
Mkuu ikikusaidia endelea tu kuota ndoto. Ila NATO haipigani na Urusi. Kama ineingia katika mapigano, hali ingekuwa tofauti sana.

Hadi sasa NATO inalinda Urusi kwa kuzuia roketi zenye masafa marefu yasifike Ukraine. Hivyo jeshi la Ukraine ina matatizo kupiga vituo vya ndege na manowari ambako Urusi inarusha roketi zake kwenye miji ya Ukraine.
Wamefaulu mara chache tu kwa kubadilisha roketi chache za zamani walizokuwa nazo . Lakini hawapewi zile za kisasa.

Unaona: Bado NATO inalinda Urusi, kwa matumaini kwamba akili itarudi siku moja.
 
Mkuu ujielimishe kidogo kabla ya kuandika. Siyo hado leo wanasafirisha wanaanga hadi Kituo cha Anga kwa ile Soyuz ambayo ni kifaa kilichobuniwa miaka 40 iliyopita... Ilhali nchi mbalimbali wanaandaa vituo kwenye Mwezi, Warusi hawana mradi. Magari ya Marekani, China, hata Uarabuni yanazunguka Mwezini na kwenye Mirihi, ila Waarusi hawana kitu.
Roketi za kisasa zinapaa na kurudi kwa matumizi tena (roketi za Musk) - Urusi haina uwezo kuunda kitu kama hicho . . .
Hii inaonyesha wazi wazi kwamba you know so little about outer space exploration history - FYI, mapioneers wa masuala haya ni Warusi si Wamerican labda nikusaidie kidogo kwamba taifa la kwanza kuunda na kurusha satellite kwa mara ya kwanza Duniani walikuwa ni wana sayansi wa Urusi sio America, Wamerika walicopy tu kutoka Urusi.

Urusi ndilo lilikuwa taifa la kwanza kupeleka binadamu wa kwanza in outer space Wamerika baadae na wao wakaiga kama kawaida yao na majigambo mengii lakini watu wenye akili wanajua mbabe ni nani katika masuala hayo, Warusi ndio taifa la kwanza kujenga space station na wana anga kuishi humo kwa muda mrefu, imedumu huko kwa muda mrefu.

Wamerika warijaribu kuwaiga Warusi na Sky Lab yao sikumbuki kama ilidumu hata miezi sita huko angani ilidondoka kutoka angani karibu iwamalize raia wa Australia waliponea chupuchupu - hata hii ya international space station imedumu kwa muda mrefu anga za juu kutokana na taaluma ya wanasayansi wa Urusi, Urusi ikijitoa kwenye shirika hilo, Space station haitaweza kudumu zaidi ya miezi sita bila ya kudondoka airidhini re entry notewithstanding bado panaweza kuwepo vipande vina weza ku-survive vika haribu infrastructure na watu.

Bottom line, is: zungumza mambo mengine lakini linapokuja suala la roketi sayansi na space exploration Russia is light years ahead ya maadui zake wote, take it or leave it Up2U.
 
Aisee wewe kumbe hujui kitu.acha kujiaibisha kila mara Tu warusi wanarusha masatelaiti ya kijeshi.Alafu marekani huwa wanatumia Engine za kirusi kwenye vyombo vyao kabla ya hii vita.mkuu Bora unyamaze Tu usijiaibishe hujui kitu Yani.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Achana naye huyo mwanamkiwi mpya
 
Mkuu ikikusaidia endelea tu kuota ndoto. Ila NATO haipigani na Urusi. Kama ineingia katika mapigano, hali ingekuwa tofauti sana.
Hadi sasa NATO inalinda Urusi kwa kuzuia roketi zenye masafa marefu yasifike Ukraine. Hivyo jeshi la Ukraine ina matatizo kupiga vituo vya ndege na manowari ambako Urusi inarusha roketi zake kwenye miji ya Ukraine.
Wamefaulu mara chache tu kwa kubadilisha roketi chache za zamani walizokuwa nazo . Lakini hawapewi zile za kisasa.
Unaona: Bado NATO inalinda Urusi, kwa matumaini kwamba akili itarudi siku moja.
Nimefuatilia kwa umakini kidogo unachoandika humu..., aisee...ww jamaa with no doubts....hujui mambo mengi sana...yaani unaunganisha unganisha vitu humu hata uhakika navyo huna....,itoshe tu kusema ww ni KIPANYA uliechangamka..!!!...

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu haitatokea kwamba Warusi wanashambulia satelaiti vile unavyowaza. Kwanza wako wadhaifu zaidi katika mambo ya anga, pili ukisababisha milipuko angani unazalisha vipabde vidogo vitakavyohatarisha satelaiti zako pia, tatu wanajua kwamba Marekani wana vifaa makini zaidi vitakavyomaliza satelaiti za Kirusi haraka sana, nne wanajua kwamba data za satelaiti ni sehemu tu za data zinazoongoza HIMARS... Kwa hiyo wangepata hasara kubwa kwa faida ndogo . . . .
Umelewa Wewe Sio Bure Eti wako Wadhaifu
Huoni hata Aibu Humu Kuna watu wana Akili zao huo upuuzi Peleka FB
 
Mkuu ujielimishe kidogo kabla ya kuandika. Siyo hado leo wanasafirisha wanaanga hadi Kituo cha Anga kwa ile Soyuz ambayo ni kifaa kilichobuniwa miaka 40 iliyopita... Ilhali nchi mbalimbali wanaandaa vituo kwenye Mwezi, Warusi hawana mradi. Magari ya Marekani, China, hata Uarabuni yanazunguka Mwezini na kwenye Mirihi, ila Waarusi hawana kitu.
Roketi za kisasa zinapaa na kurudi kwa matumizi tena (roketi za Musk) - Urusi haina uwezo kuunda kitu kama hicho . . .
Soma ulichoandika.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom