Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kama Urusi alirudishwa nyuma na Himars kwa nini wasiongeze himars?.vifaru vya nini sasa wakati kilichomrudisha kinajulikana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Himars zimekwisha zote marekani mwenyewe kabaki nazo pisi chache tu ...na wanaofia mrusi anaweza kuwa butua kwenye mojawapo ya nchi za nato hiyo kuleta aibu kubwa kwao ..kwa sababu watakosa cha kumfanya maana ghala zao zimebaki tupu ..
 
Mkuu ikikusaidia endelea tu kuota ndoto. Ila NATO haipigani na Urusi. Kama ineingia katika mapigano, hali ingekuwa tofauti sana.
Hadi sasa NATO inalinda Urusi kwa kuzuia roketi zenye masafa marefu yasifike Ukraine. Hivyo jeshi la Ukraine ina matatizo kupiga vituo vya ndege na manowari ambako Urusi inarusha roketi zake kwenye miji ya Ukraine.
Wamefaulu mara chache tu kwa kubadilisha roketi chache za zamani walizokuwa nazo . Lakini hawapewi zile za kisasa.
Unaona: Bado NATO inalinda Urusi, kwa matumaini kwamba akili itarudi siku moja.
Baba NATO hawailindi Urusi Bali NATO wanahofia response ya Russia kwenye ishu hii. Hebu fikiria komboras la masafa marefu Tena kutoka NATO linapiga Moscow, Mara , Petersburg nk na warusi wanakufa. Huwezi kuamini mataifa makubwa hupigania ugenini sio nyumbani.

Kwanamna hiyo haitapita wiki nyuklia itatua kyv na kuibinua

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu wanaogopana. Mbali na kila kelele na propaganda Warusi wanajua kwamba Marekani ina uwezo kuharibu nchi yao na Marekani inajua Warusi wana uwezo huo vilevile. Angalau wanajeshi wanaijua bila shaka. Hatari tu kama wanasiasa wasio na elimu ya kutosha wangeongezeka mamlaka - kila upande.

Ila bado naona NATO inalinda Urusi maana swali si masafa hadi Moscow. Kilomita 200, 300 tu zingeleta mabadiliko tena.
 
Wewe unazungumza ushabiki wa pitin, wewe unamuona zelensky mtakatifu. Sasa kuwa objective kati ya Putin na Zelensky Nani ameuwa watunwengi kwanzia 2008 mpaka sasa?? UKIPATA JIBU NDO UJE KULETA INJILI ZAKO MICHONGO HUMU
toka lini kosa linafuta kosa?
Mbwa apigwe kwenye tukio! Sasa unaongeza idai ya wahalifu! Kushabikia uovu kutakugharimu bro!
 
Hii inaonyesha wazi wazi kwamba you know so little about outer space exploration history - FYI, mapioneers wa masuala haya ni Warusi si Wamerican labda nikusaidie kidogo kwamba taifa la kwanza kuunda na kurusha satellite kwa mara ya kwanza Duniani walikuwa ni wana sayansi wa Urusi sio America, Wamerika walicopy tu kutoka Urusi, Urusi ndilo lilikuwa taifa la kwanza kupeleka binadamu wa kwanza in outer space Wamerika baadae na wao wakaiga kama kawaida yao na majigambo mengii lakini watu wenye akili wanajua mbabe ni nani katika masuala hayo, Warusi ndio taifa la kwanza kujenga space station na wana anga kuishi humo kwa muda mrefu, imedumu huko kwa muda mrefu - Wamerika warijaribu kuwaiga Warusi na Sky Lab yao sikumbuki kama ilidumu hata miezi sita huko angani ilidondoka kutoka angani karibu iwamalize raia wa Australia waliponea chupuchupu - hata hii ya international space station imedumu kwa muda mrefu anga za juu kutokana na taaluma ya wanasayansi wa Urusi, Urusi ikijitoa kwenye shirika hilo, Space station haitaweza kudumu zaidi ya miezi sita bila ya kudondoka airidhini re entry notewithstanding bado panaweza kuwepo vipande vina weza ku-survive vika haribu infrastructure na watu.

Bottom line, is: zungumza mambo mengine lakini linapokuja suala la roketi sayansi na space exploration Russia is light years ahead ya maadui zake wote, take it or leave it Up2U.
Mkuu naona umjisomea kidogo katika historia ya usafiri wa anga, ila hii haisaidii kama huna habari kuhusu yale yayoendelea. Ni kweli kabisa kwamba katika miaka ya nyuma Warusi walishindana vizuri na Marekani hivyo mara nyingi walikuwa mbele.

Ila tayari katika mbio kufika Mwezini walishindwa (1969) wakaacha (hadi leo). Zamani walikuwa mbele katika ugunduzi wa Mirihi na Zuhura - yote historia iliyopita. Wapi magari ya Kirusi kwenye sayari na miezi?

Na kuhusu roketi - kuna ile injini moja ya RD180 ya Kirusi iliyotumiwa kwenye roketi za Atlas za Marekani (pia tekinolojia ya zamani inayokwisha sasa) - wapi roketi za kizazi cha kisasa ? Zile zinazorudi (badala ya kutupwa) na kutumiwa tena?

Wapi mradi wa Kirusi kufika Mwezini (Marekani wanaandaa safari mwaka ujao)? Ukipenda kujifariji, basi soma historia iliyopita.

Habari za leo - kuna nini?
 
Mkuu, kwa nini wafiche identity? Tena kwa njia hizo? Tangu miezi propaganda ya ya Kirusi inadai askari wa NATO wako , maana wanahitaji maelezo kwa nini hawapati maendeleo katika vita yao...
Na katika miezi hii yote, pamoja na maelfu waliokamatwa, hawakumpata hata mmoja wa NATO... Wala Mariupol (sijui si wewe mwenyewe ulitutangazia kuna askari wa NATO au special forces huko Mariupol??)
Walipata mavolunteer kadhaa walijitolea kama mamluki kwa Ukraine ila hakuna "mwanajeshi wa NATO" .
Tena hao wanajeshi wa Nato wangefanya nini? Waukraine wanajua kupiga Warusi hawamhitaji mtu atakayewasaidia kulenga bunduki... Kama wangekuja siku mmoja wangefika vikosi si mtu mmoja mmoja.
Na kama wangekuwepo hao maspecialist wanaodaiwa kuwepo (ambayo si kweli), wasingepelekwa mstari wa mbele ila kama washauri kwa miambo ya tekonilijia ya juu mbali na mstari wa mapigano.
Jamani acheni hiyo propaganda ambayo kweli ni kitoto.
Source yangu naiamini 100% kwa kuwa kwanza ni independent source na haina conflict of interest on either side.Wewe unatetea mafedhuli wa Ukraine kwa kuwa una conflict of interest.What I have reported is nothing but the truth.
 
Maliza Kama ulivyoanzisha.
Screenshot_20230131-123219.jpg
 
Source yangu naiamini 100% kwa kuwa kwanza ni independent source na haina conflict of interest on either side.Wewe unatetea mafedhuli wa Ukraine kwa kuwa una conflict of interest.What I have reported is nothing but the truth.
Ila je nakumbuka sawa kwamba wewe ulitangaza kuna special forces za NATO kwenye handaki chini ya Mariupol??
 
Mkuu naona umjisomea kidogo katika historia ya usafiri wa anga, ila hii haisaidii kama huna habari kuhusu yale yayoendelea. Ni kweli kabisa kwamba katika miaka ya nyuma Warusi walishindana vizuri na Marekani hivyo mara nyingi walikuwa mbele.
Ila tayari katika mbio kufika Mwezini walishindwa (1969) wakaacha (hadi leo).
Zamani walikuwa mbele katika ugunduzi wa Mirihi na Zuhura - yote historia iliyopita.
Wapi magari ya Kirusi kwenye sayari na miezi???
Na kuhusu roketi - kuna ile injini moja ya RD180 ya Kirusi iliyotumiwa kwenye roketi za Atlas za Marekani (pia tekinolojia ya zamani inayokwisha sasa) - wapi roketi za kizazi cha kisasa ? Zile zinazorudi (badala ya kutupwa) na kutumiwa tena???
Wapi mradi wa Kirusi kufika Mwezini (Marekani wanaandaa safari mwaka ujao)??
Ukipenda kujifariji, basi soma historia iliyopita.
Habari za leo - kuna nini??
Ivi unaelewa unachoandika kweli old teknoloji ni ipi unayosemea ww kwa ufupi bado russia anarusha satelite za nchi nyingine angani kwa kulipwa na nchi mbalimbali russia hanaga mbwembwe kama awoo wengine mabadiliko ya teknolojia ya saivi ambayo musk anaitumia si kwamba rusia au china hawajaanza kuzimasta ni jambo la mudaa tu wataanza kutumia wenzetu si mbumbumbu kama sisi tunao chelewa kwenda na dunia ilivyo

Kuwa na miradi mbali mbali kwenye mwezi au kwenye sayari nyingne ivyo ni vipaumbele vya nchi husika tka safari yao ya kwenda mwezini ilipofel russia hana matamanio hayo ya kwenda uko

Sent from my Infinix X571 using JamiiForums mobile app
 
[emoji778]️ماکرون: اوکراین نباید با تسلیحات غرب به خاک روسیه حمله کند

[emoji617] رئیس جمهور فرانسه با بیان اینکه فعلا درخواست جدیدی از اوکراین برای دریافت تسلیحات بیشتر ندارند، گفت که کی‌یف نباید با سلاح‌هایی که کشورهای غربی به او داده‌اند، به قلمرو روسیه حمله کند.

[emoji778]️Macron: Ukraine should not attack Russian territory with Western weapons

[emoji617] President of France stated that they do not have a new request from Ukraine to receive more weapons, and said that Kiev should not attack Russian territory with the weapons given to it by Western countries.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ivi unaelewa unachoandika kweli old teknoloji ni ipi unayosemea ww kwa ufupi bado russia anarusha satelite za nchi nyingine angani kwa kulipwa na nchi mbalimbali russia hanaga mbwembwe kama awoo wengine mabadiliko ya teknolojia ya saivi ambayo musk anaitumia si kwamba rusia au china hawajaanza kuzimasta ni jambo la mudaa tu wataanza kutumia wenzetu si mbumbumbu kama sisi tunao chelewa kwenda na dunia ilivyo

Kuwa na miradi mbali mbali kwenye mwezi au kwenye sayari nyingne ivyo ni vipaumbele vya nchi husika tka safari yao ya kwenda mwezini ilipofel russia hana matamanio hayo ya kwenda uko

Sent from my Infinix X571 using JamiiForums mobile app
Mkuu wewe unagusa jambo tofauti ni kweli hadi miaka kadhaa Urusi ulirusha pia satelaiti angani maana walikuwa na roketi zao zilizokuwa na guvu ya kutosha, pia walitoa huduma hiyo kwa bei nafuu kuloko tuseme NASA ya MArekani. Ila kizazi kipya kinaleta bei nafuu zaidi kwa sababu Musk hatupi tena roketi zake anazitumia tena. Hivyo bei zake zinashuka chini ya zile za Urusi. Roketi nafuu ya Urusi ni Proton ambako unlipa $4,320 kwa kupeleka kilogramu 1 hadi angani. Linganisha na Falcon ya Musk inayofana kazi hiyohiyo chini ya nusu (Falcon Heavy: $ 1400 kwa kilogramu 1).

Bila shaka Warusi watajitahidi kuiga mafanikio yake ila hadi sasa hawana tekinolojia hiyo. Hata NASA hawana, wala Wachina. Programu ya Urusi imekuwa nyuma sana kulingana na Marekani na China.
 
Back
Top Bottom