Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huko ndiko ulikokuwa unakutaka na ndio maana nikakuambia wewe ni mnafiki tu,,, sasa huu uzi ni vita ya Ukraine/urusi lkn wewe huishi kutia unafiki wako wako wa kidini utadhani labda urusi unayoichukia ni nchi ya kiislam,, ukitaka mambo ya dini fungulia uzi wako,,
Nyie si mnamtukana papa????Tuendeelee tu kujadili ushoga wa papa kaka!!!
 
Mkuu haitatokea kwamba Warusi wanashambulia satelaiti vile unavyowaza. Kwanza wako wadhaifu zaidi katika mambo ya anga, pili ukisababisha milipuko angani unazalisha vipabde vidogo vitakavyohatarisha satelaiti zako pia, tatu wanajua kwamba Marekani wana vifaa makini zaidi vitakavyomaliza satelaiti za Kirusi haraka sana, nne wanajua kwamba data za satelaiti ni sehemu tu za data zinazoongoza HIMARS... Kwa hiyo wangepata hasara kubwa kwa faida ndogo . . . .
Jitahidi kufuatilia vitu pande zote sio kwa LGBT tu mkuu
 
Asante mkuu, kutuonyesha waziwazi hisabati zako. Haya milimita trilioni 9 ni kilomita milioni 9, kwa hiyo, jeshi la Urusi limeshaondoka duniani, limefika kwenye anga-nje , limepita Mwezi likielekea sijui Zuhura? Ukiamini hii hutakuwa na matatizo kuamini yote mengine unayoambiwa na marafki!
Daaah hivi mnaweza vipi kubishana na mtu kama huyu??????
9mm trillion ni sawa na 9km trillion???????

😂😂😂😂😂😂😂
 
Kwa hiyo kumbe humu ni mabishano kati ya waislam na wakristo na sio vita ya Ukraine inayo endelea?

Yaani ww kazi yako ni kuwasema wenzako kuwa wameathiriwa na dini za kuletwa kumbe ww ndo muathirika wa kwanza wa hizo dini?
Usipoteze mada mimi nilikua nadeal na mdau aliyesema Ukraine na NATO ni makafir na mashoga wakiongozwa na Papa nyie wengine mmedandia tu talking yetu na huyo mdau!!!Nashangaa kakimbia au ndio kaenda kumsaidia putin luhansk???
 
Tujuze kilichomkumba Samora kwa ufupi au weka link kama unayo.
Kifupi warusi wali-balance ile vita na Renamo ili waendelee kuwepo na Kuvuna Mali Asili za Msumbiji!
Samora Alipo gundua janja hiyo akaamua kubadili na kutafuta msaada wa wakufunzi wa Jeshi toka nchi za magharibi!
Kilicho mpata...[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
News|Russia-Ukraine war

Russia: 14 killed in a ‘deliberate’ attack on hospital in Ukraine​

Ukraine strike by US-supplied HIMARS rocket hit medical facility in Russian-held settlement of Novoaidar, defence ministry says.
Ukraine.jpg

Russia accused Ukrainian forces of a 'war crime' after they allegedly shelled a hospital in Novoaidar, Luhansk region, on Saturday [File: Oleksandr Klymenko/Reuters]
Published On 28 Jan 202328 Jan 2023.

Russia accused the Ukrainian military of deliberately attacking a hospital in a Russian-held area of eastern Ukraine in what it said was a war crime that killed 14 people and wounded 24 patients and medical staff.
There was no immediate response to the allegations from Ukraine on Saturday. The attack hit a hospital in the Russian-held settlement of Novoaidar and was carried out using a US-supplied HIMARS rocket launch system, the Russian defense ministry said in a statement.

“A deliberate missile strike against a known functioning civilian medical facility is without doubt a serious war crime by the Kyiv regime,” it said. “All those involved in the planning and execution of this crime will be found and held accountable.”

Civilian and military medics had been working in the hospital for many months treating local people and soldiers, it said.

Ukraine and its Western allies have accused Russian forces of frequent war crimes in the conflict in which thousands of civilians have been killed and cities and towns reduced to rubble by artillery and air raids. Russia denies targeting civilians.
Hivi si tuliambiwa humu kwamba HIMARS zimeshaangamizwa na makombora ya Urusi? Uongo utaendelea kujulikana.
 
Hapa Mada Ni Taarifa Kuhusu Vita Inavyo Endelea Kutoa Taarifa
Hizo Habari za Abunuwasi Mnatuvuruga Mkaanzishe Mada yenu
Upo sahihi Mm nimfuatiliaji sana wa Vita na hii mada lakini Naboeka sana na Hawa Badala yakuleta Habari Ya vita wao Wapo na Ujuaji Kila Mmoja Anajiona Mjuaji kuliko mwingine
Mpaka Kero
 
Kuna kitu nashindwa kuwaelewa watu humu jukwaani, mtu anakashifu, anatukana lakini watu wanapoteza muda wao kujibu

Hivi maelewa kwanini jf wameweka kitufe cha "ignore"????
Ukibonyeza hapo huyo mtu meseji zote anazotuma atakuwa anasoma mwenyewe na wale wanaomsapoti,

Kuendelea kumjibu mtu huyu nyie ndiyo mnakuwa na matatizo na Siyo yeye
 
Daaah hivi mnaweza vipi kubishana na mtu kama huyu??????
9mm trillion ni sawa na 9km trillion???????

😂😂😂😂😂😂😂
Je unaweza kusoma? Kila kijiji kuna taasisi inayofundisha. Nilieleza milimita trilioni 9 ni sawa na milimita "milioni" tisa. Uliza pale walipoandika "shule" kuhusu tofauti kati ya milioni na trilioni. Watakusadia!
 
Kifupi warusi wali-balance ile vita na Renamo ili waendelee kuwepo na Kuvuna Mali Asili za Msumbiji!
Samora Alipo gundua janja hiyo akaamua kubadili na kutafuta msaada wa wakufunzi wa Jeshi toka nchi za magharibi!
Kilicho mpata...[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Vipi kuhusu majeshi ya makaburu waliokuwepo pale eneo la mpakani wakati ndege inaanguka na walikua watu wa kwanza kufika eneo la tukio sababu ndege iliangukia upande wa afrika kusini?????Inasemekana waliwamsilead through radar communication wale marubani wa kirusi waliokua wanaendesha ndege hiyo kuhusu attitude waliyokuwepo kabla hawajagonga mlima!!!!!Inawezekana makaburu walitumiwa na KGB kaka????
 
Back
Top Bottom