Nyonzo bin mvule
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 2,464
- 7,080
Wapi katukanwa papa na unafiki wako,,, hebu onyesha hiyo comentWao waliokua wanamtukana papa hawakuona haya mkuu?????
Wapi katukanwa papa na unafiki wako,,, hebu onyesha hiyo comentWao waliokua wanamtukana papa hawakuona haya mkuu?????
Ona hapa Mita - Wikipedia, kamusi elezo huru. Ni kipimo sanifu cha Kimataifa.Hebu nifafanulie hiyo sentensi Mimi nimeona milimita sasa nashindwa kuelewa hiyo tofauti unaitoa wapi????
Kuna
Milimita
Sentimita
Mita
Kilomita
Mimi mbona hujani-ignore mkuu, maana najijua kwamba ni msumbufu sana hapa jukwaani [emoji28][emoji12]View attachment 2501747
Bonyeza la jina la mtu unayemtakq itatokea kama hivyo halafu bonyeza palipoandikwa "ignore" utakuwa umemaliza
Kama unataka kubadili basi unafanya kama mwanzo halafu hapo kwenye ignore patakuwa pameandikwa unignore utakuwa umemaliza
mbona maelezo yako clear kabisa hapo...mtu anaposema katikati ya A na B...hapo anakuwa amemaanisha A sio..?Hiyo soledar si tuliambiwa imeshanyakuliwa zamani,kwani bado Kuna mapigano huko [emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ivi umesoma mpaka langapi maana naona kiswahili kinakupiga chenga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Hiyo soledar si tuliambiwa imeshanyakuliwa zamani,kwani bado Kuna mapigano huko [emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ebu mpeni darasa kijana maana anaonekana alikimbia shule mapema sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbona maelezo yako clear kabisa hapo...mtu anaposema katikati ya A na B...hapo anakuwa amemaanisha A sio..?
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Roketi za anga-nje mara nyingi zilikuwa na ngazi / sehemu 2-3: sehemu A kufika kilomita za kwanza (penye graviti kali zaidi), halafu ya pili kuingia anga-nja, wakati mwingine pia ya tatu kwenda hadi Mwezi au sehemu za mbali, halafu chombo cha angani kinatengwa na kuendelea peke yake, sehemu ya A iliongezwa wakati mwingine na zie "booster" yaani roketi za kando.Mkuu hizo space vehicle zimekuwa zikiwa re used miaka nenda rudi.Issue Ilikuwa Kwa lunch vehicles boosters ambazo katika height fulani zinakuwa separated na space vehicle na kuanguka duniani Kwa free fall!Hizi kazi yake ni kuipa space vehicle initial velocity!Hizi Huwa haziendi space bali Huwa zinajitenga na chombo
Sasa hizi ndio zinabuniwa mbinu ya kuzifunga parachuti Ili zisiharibike,na juu ya parachuti Kunakuwa na kama kitanzi ambapo baada ya parachuti kufungua,attempt inafanywa na helcopter kudaka kitanzi na Kisha kupeleka sehemu salama Kwa ajili ya kukisafirisha mpaka eneo husika!
Maelezo yako yote hayo umeconfirm nilichokisema awali!So ulivyosema boosters zinazoshuka Kwa parachute ni waste,wewe ndio ulikuwa misinformed!Roketi za anga-nje mara nyingi zilikuwa na ngazi / sehemu 2-3: sehemu A kufika kilomita za kwanza (penye graviti kali zaidi), halafu ya pili kuingia anga-nja, wakati mwingine pia ya tatu kwenda hadi Mwezi au sehemu za mbali, halafu chombo cha angani kinatengwa na kuendelea peke yake.
sehemu ya A iliongezwa wakati mwingine na zie "booster" yaani roketi za kando.
Kwa jumla roketi zote zilikuwa takataka na za kutupa, hali iliyochangia kwenye gharama kubwa sana.
Ni kweli kwamba hapa pale kulikwa na majaribio ya kutumia roketi tena zilizoanguka zikishushwa kwa parachuti, ila bila mafanikio makubwa kwa sababu gharama za kuzikusanya, kupeleka kiwandani, kuzisafisha na kutengeneza upya ni kubwa. Hapa mapindizi ya Musk na makampuni yaliyojitokeza juzi tu ambazo zinarudisha ngazi ya kwanza duniani (Musk bado alitupa ngazi ya pili ya Falcon) maana baada ya kubadilsha vipuli kadhaa na kujaza mafuta, roketi inaenda tena. Kwa njia hiyo gharama zimeshuka kupita kiasi. Starship ya Musk (iliopo kwenye majaribio) itarudi yote, bila kutupa sehemu. (fully reusable).
Na hapo Warusi bado hawana kitu, kwenye mradi mpya ya Amur (iliyopo bado kwenye karatasi) walipanga kutumia tena ngazi A) irudi na kuruka tena, ila hadi wameanza (wakifaulu kukamilisha kufuatana na mpango) Musk atakuwa tayari na huduma ya Starship.
Much appreciationView attachment 2501747
Bonyeza la jina la mtu unayemtakq itatokea kama hivyo halafu bonyeza palipoandikwa "ignore" utakuwa umemaliza
Kama unataka kubadili basi unafanya kama mwanzo halafu hapo kwenye ignore patakuwa pameandikwa unignore utakuwa umemaliza
Je unaweza kutaja modeli iliyorudishwa na kutumiwa tena? Labda ziko 1 au mbili, sidhani zaidi lakini, sia uhakika kama ilitokea kweli. Maana changamoto ya gharama kubwa ilijulikana tangu miaka ya 1950 (Werner von Braun alijaribu kujenga moja tayari) lakini miradi yote ninayoona yalikuwa majaribio tu na sioni kama moja ilitekelezwa kweli. Yaani ni kweli kama sehemu za roketi zilishushwa kwa parachuti duniani, ili zifanyiwe utafiti, lakini kutumiwa tena kweli ???Maelezo yako yote hayo umeconfirm nilichokisema awali!So ulivyosema boosters zinazoshuka Kwa parachute ni waste,wewe ndio ulikuwa misinformed!
Tuliwatahadharisha sana hapa ya kwamba RUSSIA sio ZIMBABWEIMF wamesalimu amri...imebidi wawe wakweli tu:
According to the Moscow Times leo 31/01/2023...(Hawa Moscow times ni pro West..na waliishakimbizwa Urusi, sasa hivi wanatoa online copy..kutokea Uholanzi)..
Uchumi wa Urusi unatarajiwa kukua kwa 0.3% mwaka huu. Ikumbukwe taarifa ya mwaka jana October, IMF ilitoa taarifa kuwa uchumi wa Urusi utapungua kwa 2.3% mwaka 2023.
Kwa makadirio hayo ya sasa Urusi itakuwa mbele Ujerumani - ambaye uchumi wake utapungua kwa 0.1% na U.K uchumi wake utashuka by 0.6%.
Ikumbukwe sababu walizotoa kwenye report ya mwaka jana kwa Urusi ni VIKWAZO...
Je mabadiliko kwenye taarifa kutoka kwenye taifa kubwa kama IMF, kuna jenga taswira gani..kwamba effects za vikwazo kwa Urusi sio kama ambavyo ulimwengu hasa West walitarajia???
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Kumbe?Tuliwatahadharisha sana hapa ya kwamba RUSSIA sio ZIMBABWE
kuna watu wasichokijua nikwamba kuna haya mataifa hasa hasa US na RUSSIA
Hawa mabwana ukiona wanapigana ujue waliangalia mambo makubwa mawili USALAMA na UCHUMI wao na sana sana UCHUMI
Hao jamaa ukiona sehem wanaenda kuua watu ujue hawakukurupuka walikaa chini watu wakila sekta wakapiga hesabu wakatoa na na kujumlisha watakachopoteza na kuingiza
Jamaa wakiona watapoteza sana kuliko kuingiza hapo hawatapigana abadan watatafta sababu yakuepuka hilo jambo hata kwanjia za uongo
RUSSIA lakwanza anaipigania RUSSIA IMARA pale UKRAINE anajua UKRAINE ilikua karata yamwisho kuiangamiza RUSSIA jamaa ililua wanafika point wanaingia RUSSIA kuijaribu CRIMEA iko wazi wangepigwa ila RUSSIA asingesahau maana sidhanii kama ingekua tena kama ilivyokua baada ya USSR
RUSSIA anapigana vita ila UCHUMI unaimarika kwasasa viwanda vingi vya RUSSIA nazaidi vya silaha wanasema vinapiga kazi mpaka mara tatu zaidi yaani SMO imekua fursa kubwa sana kwa RUSSIA na anajua kama sio suala la mwaka mmoja tukifanya maskhara SMO itachukua miaka kadhaa hata PUT IN aliishasema SMO is a long time process hapa kuna maana mbili kwaupande wangu eidha ilipangwa muda sana kabla ya kuja kuamuliwa kufanywa ama itachukua muda mwingi kwenye ufanywaji na mpaka ukamilifu wake
Sidhanii kama RUSSIA alikurupuka kiasi kwamba SMO ya mwaka mmoja eti jamaa wawe hoi bin taaban
Kwa vikwazo zaidi ya 16k ambavyo anakabiliwa navyo RUSSIA nampaka sasa alipo ukiambiwa utoe maneno kadhaa unaweza tu ukasema kwamba kwampaka sasa tokea kuanza kwa SMO nikwamba kwenye nyanja ya KIUCHUMI jamaa kawavua nguo western maana mambo yamekua tooofauti nawalivyodhania kwasasa tunangojea uwanja wa mapambano utaishaje ingawaje napo RUSSIA hajashinda ila anamiliki mchezo
Mwisho :- kama RUSSIA ataishinda hii SMO kwawestern kukubali kwamba iwe rasmi abebe maeneo ya UKRAINE aloyakwapua basi niwazi western wanakua rasmi wametangaza kuipigia magoti RUSSIA hadharani tutakua tumetangaza rasmi MULTIPOLAR system sio kwamba western hawajui kama UKRAINE inaangamia ila kukaa chinu na RUSSIA wanajua nikwafaida ya RUSSIA na hasara kwao
Mawazo yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi we jamaa huwa unaandika comment kwa lugha nyingine then unaitafsiri google ndo unaiweka hapa!Mkuu sielewi jinsi unavyoona mambo. Wakati HIMARS inafaulu kupiga vituuo kwa umakini, inafanya kazi yake. Kwa nini mtu yeyote akiri kitu??
warusi wakijifunza kuweka stoo za grenedi na vituo vya wakubwa mbali na mstari wa mapigano, basi umbali wa roketi za karibu hautatosha tena. Hapo itatokea swali kama Marekani inakubali kutoa roketi ya ngazi ya pili- Hadi sasa Marekani imelinda Urusi kwa kukataa roketi zinazofikia zaidi ya kilomita 70/80.
Kuhusu silaha mpya za Urusi - sijasikia kwamba kuna watu wenye hofu. Maana Warusi wana mahandisi wazuri wanaoweza kubuni kitu kipya. Ila hadi sasa tasnia yao haikufanikiwa sana kutoa tekinolojia mpya kwa idadi kubwa na ubora unaohitajika.
Ona T14 Armata.
Hivi unaelewa lakini maana ya rocket boosters?Maana isije ikawa hatuelewani hapa!!!Je unaweza kutaja modeli iliyorudishwa na kutumiwa tena? Labda ziko 1 au mbili, sidhani zaidi lakini, sia uhakika kama ilitokea kweli. Maana changamoto ya gharama kubwa ilijulikana tangu miaka ya 1950 (Werner von Braun alijaribu kujenga moja tayari) lakini miradi yote ninayoona yalikuwa majaribio tu na sioni kama moja ilitekelezwa kweli. Yaani ni kweli kama sehemu za roketi zilishushwa kwa parachuti duniani, ili zifanyiwe utafiti, lakini kutumiwa tena kweli ???
Kwa hiyo tafadhali tutajie modeli ya roketi, nchi na mwaka!
Huo uso uko wapi?Uso wa putin unaonyesha hana furaha kama zamani tatizo nini?????Au kuongoza vita ni kazi inayochosha roho na mwili???
Au jamaa ni robot?😃😃😃Hivi we jamaa huwa unaandika comment kwa lugha nyingine then unaitafsiri google ndo unaiweka hapa!