Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,700
Nchi zilizosaidia Tz kwa percent kubwa zilikuwa niHizo mig21 ambazo jeshi la Tanzania lilikuwa linatumia zilitoka wapi?. Wadanganye wasioelewa.
Kwa taarifa yako hata falsafa za uongozi za Nyerere ilikuwa ni idiology za akina V. I Lenin wa Urusi. Kimsingi kipindi cha 60's na 70's Tanzania ilikuwa na mafungamano ya karibu na kimahusiano na Urusi na China kuliko nchi za magharibi. Tanzania kuwa kitovu cha ukombozi kusini mwa Afrika ilikuwa na ufadhili mkubwa wa Urusi kifedha, zana na mafunzo.
1.Algeria
2.China (hawa walikuwa na task maalumu ya kuelekeza jinsi ya kupiga maeneo ya kimbinu ya amin hasa ngome za milimani
3.Msumbiji