kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Lakini msijisahaulishe kwamba Us alikuwa amekataa katakata kutuma HIMARS.., ingawaje hatujui hata ni kipi kilitokea..,yaani kulala na kuamka tu tukasikia jamaa wameamua kutuma HIMARS..,Kuna warusi wa buza walileta Uzi hapa wakidai kwamba rais zelensiky alimpigia simu Biden na kumtishia kwamba silaha za HIMARS zisipotumwa huko Ukraine basi zelensiky angeachana na hii vita hambayo ni kama anapigana kwa niaba ya marekani..,kwa mujibu wa warusi wa buza,Biden baada ya kupigwa mkwara na rais zelensiky akaona isiwe kesi, akaaamua kuruhusu HIMARS zitumwe huko Ukraine.
Kuhusu hii vita usiwaamini sana west maana wanachokisema na wanachotenda ni vitu viwili tofauti.., kumbuka hata kutumwa battle tanks huko Ukraine mwanzoni ilionekana kama kitu kisichowezekana kabisa, lakini mpaka Sasa hatujajua nini kimewafanya wabadili mtazamo
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app