Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Mbona yule mwingine aliyemuanza huyu HAMUMKANYI!!?? ACHENI hizo mambo kama mnakemea hizo maudini kemeeni wote.We jamaa unaonekana mkubwa ila akili huna, ukimtukana mtume muhammad (s.a.w) unapata nini, unatuumiza wengne, hili jukwaa sio la kidini ila wewe unalazimisha udini kwa nini, unapata nini unavyoonesha chuki zako kwa uislamu,