kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Ni boya kwa sababu nawapa takwimu jinsi warusi wanavyochinjwa.,sio?[emoji28]Ni boya huyo
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ni boya kwa sababu nawapa takwimu jinsi warusi wanavyochinjwa.,sio?[emoji28]Ni boya huyo
Boya tenaNi boya kwa sababu nawapa takwimu jinsi warusi wanavyochinjwa.,sio?[emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Vipi game changer 'HIMARS' zinaendeleaje?
Ndiyo mkuu, tunakubali sote. Wapi maeneo hayo ukilinganisha na hali ya miezi 6 iliyopita?Endeleeni kupika data, cha muhimu tunakamata maeneo
Hakuna jipya....hata himars walipatiwa kitchen party mwisho wa siku hakuna game chenjaHivi sasa tayari kuna askari wapatao 30 wa Ukraine wako mafunzoni nchini Marekani kuja kutumia ndege za F-16 C, sasa nyie wa mnadani Kibaigwa kaeni hapo na hizo habari za mchongo.
Soledar, bila shaka mkuu! Nasikia waliobaki huko mabibi 20 wenye umri juu ya 70. Mafanikio mema, jenerali wa mdomoni!Tena Wakinituma Ukraine kulinda amani watanikoma wanawake wao.
nitazaa Mitoto miiingi sana Huko Lviv na Soledar...Kazi itakua ni kuwajaza mimba tu....sitatumia Condom...
Hii vita bado mbichiMsaada wa kwanza wa Magari ya kivita ya BRADLEY INFANTRY FIGHTING VEHICLES Umewasili nchini Ukraine. Msaada huu unaojumuisha Magari 60 aina ya IFV ni Moja ya msaada wa Marekani uliotangazwa tangu mwezi November mwaka Jana ambapo Ujerumani na Uingereza ziliahidi kutuma Magari zaidi ya 100 ya aina hiyo.
Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani amesema Magari hayo yamepelekwa nchini Ukraine baada ya wanajeshi 500 wa Uraine kumaliza mafunzo ya utumia Magari hayo nchini Ujerumani yaliyoanza mwezi November mwaka Jana.
Pia,Wanajeshi 600 wa Ukraine wanamalizia mafunzo ya kutumia Magari hayo ya Uingereza na Ujerumani kabla ya Ujerumani kutuma Magari yake aina ya MARDERER INFANTRY FIGHTING VEHICLES Katikati ya mwezi February ikifuatiwa na Uingereza mwezi March.
Ujerumani na Marekani zimeahidi kutuma vifaru nchini Ukraine. Nchi ya Ujerumani imeingia mkataba na Nchi ya Poland ya kuwapatia mafunzo wanajeshi 250 wa Ukraine kutumia vifaru vya Ujerumani aina ya Leopard 2 kabla ya kutuma vifaru hivyo nchini Ukraine mwezi April.
Pia,Marekani inajiandaa kuwapatia mafunzo wanajeshi 400 wa Ukraine wa kutumia vifaru aina ya M1 Abrams kabla ya vifaru hivyo kuwasili nchini Ukraine mwezi Juni.
View attachment 2502480
Wana Magufuli waoRussia ingekuwa nchi ya kidemokrasia isingeingia kwenye vita vya kipumbavu kama hivi lakini kwa kuwa wana utawala kama ule wa kina Mangungo hawana namna.
Napenda viongozi aina magufuli au putin na kwa taarifa yako nchi za wababe ndio zinamaendeleo,Wana Magufuli wao
Kwahiyo Dunia ya nani??
Warusi katika wazungu wao ni masikini sana sana tu.Napenda viongozi aina magufuli au putin na kwa taarifa yako nchi za wababe ndio zinamaendeleo,