We mgonjwa kweliNapenda viongozi aina magufuli au putin na kwa taarifa yako nchi za wababe ndio zinamaendeleo,
Wanachokifanya kwa sasa ni hikiWalikofikia Nato Wanachoogopa kupeleka wanajeshi ni Nini sasa
Duh [emoji28]Soledar, bila shaka mkuu! Nasikia waliobaki huko mabibi 20 wenye umri juu ya 70. Mafanikio mema, jenerali wa mdomoni!
putin kama mshamba shambaRussia ingekuwa nchi ya kidemokrasia isingeingia kwenye vita vya kipumbavu kama hivi lakini kwa kuwa wana utawala kama ule wa kina Mangungo hawana namna.
Hebu eleza maana ya maendeleo [emoji56][emoji101]Napenda viongozi aina magufuli au putin na kwa taarifa yako nchi za wababe ndio zinamaendeleo,
Tangu mwezi wa nne mwaka Jana wimbo ni uleule wa bakhumut kuzungukwa..,hamchoki?[emoji28]Bakhmut, Ukraine within 10KM of encirclement; Supply routes for Ukraine troops CUT OFF
01 FEBRUARY 2023
The city of Bakhmut, Ukraine is besieged and all available highway routes to supply Ukrainian troops, have been captured by Russian forces.
The final state highway #00506 remains uncaptured, but is now well within range of Russian artillery, so for all intents and purposes, Bakhmut has been captured.
The mass-media has been reporting that Ukraine is "winning" its conflict with Russia.But this is not what "winning" looks like!
Urusi imeanza kuingia kwenye mapori ya bakhamut mwaka Jana mwezi 10 hadi Leo wameshaingia NDANI ya jiji kabisa kwa Sikh wanakifa wanajeshi 400 wa Ukraine hapo bakhamut wamejazana sapo ila ndo hivyo safari hii wanachemshwa na kijana wa waginaTangu mwezi wa nne mwaka Jana wimbo ni uleule wa bakhumut kuzungukwa..,hamchoki?[emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Russian forces were not within 10 km of city and city not encircled,now it is.And also not all highways were captured,now they are.Anyway tusubiri,kwa nini tuandikie mate na wino upo?Tangu mwezi wa nne mwaka Jana wimbo ni uleule wa bakhumut kuzungukwa..,hamchoki?[emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Naona urusi kamaliza zile silaha za USSR na sasa anazalisha Kwa wingi silaha za kisasa
Habari kama izi hata kula uwa nasahauUkraine inapa kichapo kikali huko bakhamut na Zaporozhye balaa siku MAJESHI ya URUSI yakijiandaa kurudi kharkiv juzi walianza kuteka vijiji kadhaa huko