Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kila la Kheri vinu vyetu - Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani akiviagana na mizinga ya Leopard 2 inavyokwenda Ukrane jana.

AP23032579249794.jpg

German Defense Minister Boris Pistorius, right, sits on a Leopard 2 tank at the Bundeswehr tank battalion 203 at the Field Marshal Rommel Barracks in Augustdorf, Germany [Martin Meissner/AP]
 
🤣🤣🤣🤣🤣 naona Ukraine wanavyotapatapa hii vita ishawashinda wanataka US iwawekee vikwazo vya kiuchumi China na India eti kisa tu wanaifinance Russia kwa kuendelea kununua mafuta na gas kutoka Russia

Ukraine lawmaker calls on US to target China, India energy purchases​

A senior Ukrainian lawmaker has called for the United States to impose secondary sanctions on China and India if they keep buying Russian energy, urging total solidarity against Moscow’s invasion
 
Putin anazijua hizi na ndiyo maana kaaza kuhimiza mtu / watu ama makampuni yatakayojitolea kuharibu vifaa hivi vya kivita kabla ama baada ya kufika Ukraine atawazawadia.
Boss hiyo Ni kwajili ya kupandisha morali tu. Kama Wakurdi kwa kutumia Atgm za kizamani Kama Konkurs waliweza kuisambaratisha Leopard 2 ya Kituruki it's kuwa kitisho dhidi ya taifa la Russia?
Nb
Unaambiwa kombora kutoka mlrs yoyote linaweza kuisambaratisha kifaru chochote ulimwenguni kua vumbi ndo Iwe Russia yenye Mlrs mamia Frontline?


Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Unaambiwa kombora kutoka mlrs yoyote linaweza kuisambaratisha kifaru chochote ulimwenguni kua vumbi ndo Iwe Russia yenye Mlrs mamia Frontline?
ndugu vita haipigani hivyo utanavyofikiri weye, kuna some stage baadhi ya silaha huwezi kuzitumia - kama ingekuwa hivyo kwa nini asitumie MLRS yake kama usemavyo kusambaratisha kila kitu kiwe udongo - mwaka sasa vita imemshinda kuimaliza.

Unafikiri Ukraine wao haina silaha ya kupiga Moscow? kwa nini hawatumii?
 
Safari ya kuelekea Bakhmut imeiva sasa ni suala la muda tu Bakhmut na Lyman itakuwa mikononi mwa Russia officially

Fierce fighting unabated in eastern Ukraine, deputy minister says​

Russian troops are trying to gain ground near the strategic town of Lyman as fierce fighting continues in eastern Ukraine, Deputy Defence Minister Hanna Malyar says.
Malyar, writing on the Telegram messaging app, said that despite heavy losses, the Russians are also pressing ahead with an offensive near the towns of Bakhmut and Avdiivka.
 
Safari ya kuelekea Bakhmut imeiva sasa ni suala la muda tu Bakhmut na Lyman itakuwa mikononi mwa Russia officially

Fierce fighting unabated in eastern Ukraine, deputy minister says​

Russian troops are trying to gain ground near the strategic town of Lyman as fierce fighting continues in eastern Ukraine, Deputy Defence Minister Hanna Malyar says.
Malyar, writing on the Telegram messaging app, said that despite heavy losses, the Russians are also pressing ahead with an offensive near the towns of Bakhmut and Avdiivka.
keep on dreaming...
 
Yaani hili Taifa Linajiona Ndio Kila kitu kwenye Hii Dunia Washenzi kweli!

[emoji3518][emoji3542][emoji631][emoji635]"United States calls on the Russian Federation to resume inspections of American specialists at its facilities under START III Treaty " - US State Department
Hiyo kawaida mkuu hata warusi hufanya hivyo huko kwao kwa mujibu was mkataba wa 1993

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Washington is ready for constructive work with Russia in order to fully implement the provisions of START—White House

Earlier, the United States claimed that Russia allegedly violated the terms of the treaty on the reduction and limitation of strategic offensive arms.
Kimombo same time ni kugumu kupata meaning ya maneno[emoji853][emoji853]
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Russia Warns West Would Be Responsible For Kiev’s Possible ‘Dirty Bomb’

Washington has declined to comment on whether the ammunition it's supplying to Ukraine includes depleted uranium. Russia warns that if the West provides any uranium armament, it could be considered a “dirty bomb,” with it responsible for the ensuing consequences.

Subscribe to RT
 
[emoji779]️Boris Johnson Lied About Putin Threatening Him — Kremlin

Points from Kremlin spokesman Dmitri Peskov’s daily briefing:

[emoji830]Former UK PM Boris Johnson’s claim that Vladimir Putin threatened him with a missile strike during a phone call is a lie

[emoji830]The West abiding by Ukraine’s weapon demands leads to a further escalation of the conflict

[emoji830]Russia and NATO are not communicating as the bloc broke off any dialogue with Moscow

[emoji830]Russia’s unique services are looking into the recent drone attacks in Iran

Subscribe to RT
 
[emoji779]️Putin Discusses OPEC+ Cooperation With Crown Prince Of Saudi Arabia In Telephone Conversation — TASS

The Kremlin press service also reported that Russia and Saudi Arabia would further develop cooperation in trade and energy.

Subscribe to RT
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
[emoji779]️Iran Demands Explanation From Ukraine Over Drone Attack Comment

Tehran demanded an explanation from Kiev after presidential adviser Mikhail Podoliak commented on the news of mysterious drone attacks in Iran with the words, “Ukraine did warn you.”

Earlier in the day, Podoliak’s controversial tweet saw the Ukrainian charge d’affaires in Iran be summoned to the foreign ministry.

Subscribe to RT
 
[emoji779]️Russian MLRS And Howitzers Destroy Ukrainian Combat Positions — MoD Footage

The Defense Ministry has released footage of Tornado-G MLRS and 152mm Giatsint-B howitzers operating to support the Russian Armed Forces in an offensive jointly.

UAVs and artillery spotters conduct round-the-clock monitoring and reconnaissance of enemy positions.

Subscribe to RT
 
Yaani hili Taifa Linajiona Ndio Kila kitu kwenye Hii Dunia Washenzi kweli!

☢️⚛️🇺🇸🇷🇺"United States calls on the Russian Federation to resume inspections of American specialists at its facilities under START III Treaty " - US State Department
SIYO WAKATI WAKE HUU..
nchi iko vitani na US waziwazi anamsaidia adui.

Then waendelee kukagua silaha zetu. NI COMEDY
 
Back
Top Bottom