G-Funk
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 2,397
- 5,562
Ushaambiwa warusi watu wa kusoma mazingira.Zile mbwembe za misafara ya zana za kivita kuelekea Belarus mbona zimepoa siku hizi,au ni mikwara as usual [emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kila sherehe na muongozaji wake. Sahizi mmepewa PMC Wagner wanaongoza shughuli 😀😀😀 vizuri tu. Wakienda Sub mnaletewa Chenchens mruke nao!
Sahizi tuko kwenye level 2 ya kipigo! Hatuwabembelezi kama mwanzoni.