Na Putin alishawanyooshea kidole,,,wasitikise mbuyu[emoji1787]Huyu jirani yangu, ako hana raha kabisa this year. Urusi anatembeza kipigo, Alshabab wanamtaabisha na Gen.Muhozi pale naye anapiga biti la kukiwasha hadi Nairobi.
Na Putin alishawanyooshea kidole,,,wasitikise mbuyu[emoji1787]Huyu jirani yangu, ako hana raha kabisa this year. Urusi anatembeza kipigo, Alshabab wanamtaabisha na Gen.Muhozi pale naye anapiga biti la kukiwasha hadi Nairobi.
Haamini kinachoenda kutokea Daah 😂😂😂Kila la Kheri vinu vyetu - Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani akiviagana na mizinga ya Leopard 2 inavyokwenda Ukrane jana.
![]()
German Defense Minister Boris Pistorius, right, sits on a Leopard 2 tank at the Bundeswehr tank battalion 203 at the Field Marshal Rommel Barracks in Augustdorf, Germany [Martin Meissner/AP]
Nje kabisa ya content.ndugu vita haipigani hivyo utanavyofikiri weye, kuna some stage baadhi ya silaha huwezi kuzitumia - kama ingekuwa hivyo kwa nini asitumie MLRS yake kama usemavyo kusambaratisha kila kitu kiwe udongo - mwaka sasa vita imemshinda kuimaliza.
Unafikiri Ukraine wao haina silaha ya kupiga Moscow? kwa nini hawatumii?
Dah Hadi Tornado Mlrs imeingia mzigoni. Kweli hali lazima I we mbovu zaidi[emoji779]️Russian MLRS And Howitzers Destroy Ukrainian Combat Positions — MoD Footage
The Defense Ministry has released footage of Tornado-G MLRS and 152mm Giatsint-B howitzers operating to support the Russian Armed Forces in an offensive jointly.
UAVs and artillery spotters conduct round-the-clock monitoring and reconnaissance of enemy positions.
Subscribe to RT
sawa Putin, hakuna anayekubisha kwamba Vifaru vyote toka nchi za magharibi zitachakazwa vibaya mno na MLRS ya Mrusi - vitageuka udongo.
Wanaandaa offensive nyingine kutokea BelarusZile mbwembe za misafara ya zana za kivita kuelekea Belarus mbona zimepoa siku hizi,au ni mikwara as usual [emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mmmh ni hatari,ukiona Ukraine analazimisha kurecruit Hadi walemavu Ili wakapigane basi ujue wamepukutika sana![emoji779]️Russian MLRS And Howitzers Destroy Ukrainian Combat Positions — MoD Footage
The Defense Ministry has released footage of Tornado-G MLRS and 152mm Giatsint-B howitzers operating to support the Russian Armed Forces in an offensive jointly.
UAVs and artillery spotters conduct round-the-clock monitoring and reconnaissance of enemy positions.
Subscribe to RT
Wanazidi kutanua WiGo wa front line [emoji848].., ngoja tuone,huu mwezi wa February utakuwa na impact kubwa sana kwenye hii vita maana hata Ukraine wako hatua za mwisho kabisa Ili waanzishe counteroffensive nyingineWanaandaa offensive nyingine kutokea Belarus
Huyu jirani yangu, ako hana raha kabisa this year. Urusi anatembeza kipigo, Alshabab wanamtaabisha na Gen.Muhozi pale naye anapiga biti la kukiwasha hadi Nairobi.
Sudan naye anamsaidia Ukraine....aseee
Hujui unachoongea, ingekuwa ni hivyo Afrika ndio ingekuwa inaongoza kwa maendeleo duniani na hata hawa watu wa mabara mengine wangekuwa wamejazana Afrika kama sisi tulivyo jazana kwenye nchi zao.Napenda viongozi aina magufuli au putin na kwa taarifa yako nchi za wababe ndio zinamaendeleo,
Russia tunawatu waelewa Sana.Ushaambiwa warusi watu wa kusoma mazingira.
Kila sherehe na muongozaji wake. Sahizi mmepewa PMC Wagner wanaongoza shughuli [emoji3][emoji3][emoji3] vizuri tu. Wakienda Sub mnaletewa Chenchens mruke nao!
Sahizi tuko kwenye level 2 ya kipigo! Hatuwabembelezi kama mwanzoni.
Ingekuwa hakuna jipya vita vingeisha kwa siku tatu kama dikteta Putin alivyokuwa akiota ndoto na Ukraine ingekuwa koloni la Russia.Hakuna jipya....hata himars walipatiwa kitchen party mwisho wa siku hakuna game chenja
Hujui chochote mbona mnaiita marekani nchi ya kidemokrasia lakini inapigana Vita sehemu mbalimbali ya dunia Team NATO mnaendelea kuonesha hamna kitu kichwani.Russia ingekuwa nchi ya kidemokrasia isingeingia kwenye vita vya kipumbavu kama hivi lakini kwa kuwa wana utawala kama ule wa kina Mangungo hawana namna.
- Law maker Yuko sahihi, hajakosea Economi sanctions ni mbinu ya kupambana, au hujasoma Public international law?🤣🤣🤣🤣🤣 naona Ukraine wanavyotapatapa hii vita ishawashinda wanataka US iwawekee vikwazo vya kiuchumi China na India eti kisa tu wanaifinance Russia kwa kuendelea kununua mafuta na gas kutoka Russia
Ukraine lawmaker calls on US to target China, India energy purchases
A senior Ukrainian lawmaker has called for the United States to impose secondary sanctions on China and India if they keep buying Russian energy, urging total solidarity against Moscow’s invasion
- fafanuaNinaendelea kujifunza kuwa watu wanaoshabikia NATO au Ukraine ni watu ambao hawajui kitu.
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Tatizo mnashindwa kutofautisha military aid na misaada mingine,Sudan naye anamsaidia Ukraine....aseee