Hakika!!Hata mimi naendelea kujifunza, nimegundua watu wanaoshabikia Urusi ni wenye misimamo mikali ya kidini na wenye chuki na Marekani
Vitu vya kawaida sana hivyo vinaeleweka point yangu ni kuwa Ukraine wanatapatapa kwa sasa- Law maker Yuko sahihi, hajakosea Economi sanctions ni mbinu ya kupambana, au hujasoma Public international law?
Kwanini iishe blaza,,,mbona ikiendelea ndo mrusi anapata advantage nzuri,,,,,ingeisha mapema kuna watu wasingeelewa kinachoendelea ila kwa sasa kila mtu taarifa anayoIngekuwa hakuna jipya vita vingeisha kwa siku tatu kama dikteta Putin alivyokuwa akiota ndoto na Ukraine ingekuwa koloni la Russia.
Ni hiviii Ukraine WANATAPATAPA na wakati huohuo WANAIPATAPATA fresh ..... UraaaaaVitu vya kawaida sana hivyo vinaeleweka point yangu ni kuwa Ukraine wanatapatapa kwa sasa
Sana Mkuu.Ndio maana nasema Russia Ina watu waelewa Sana[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Aisee watu mnaongea ma pointi Hadi mnatisha.Kwa mfano kuna mmoja sehemu kasema kuwa Russia ingekuwa ni nchi ya kidemocrasia wasingevamia Ukraine anasahau kuwa hata hizo nchi anazoita za kidemocrasia zimevamia nchi nyingi sana pale walipoona kuwa maslahi Yao yamekiukwa.pia wengi wao wanaamini Russia atarudisha maeneo aliyoyachukua,napia wanasema Russia Hana sababu genuine ya kuvamia Ukraine wanasahau Ile nchi ni kubwa Sana yenye majeshi na intelligence Bora hawawezi kukurupuka.
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Vyote viwili kwa wakati mmoja lazima wapagaweNi hiviii Ukraine WANATAPATAPA na wakati huohuo WANAIPATAPATA fresh ..... Uraaaaa
- wanatapa tapa, Sasa mbona hutaki watumie MSHIRIKA wake mwenye nguvu (USA) aweke vikwazo?!Vitu vya kawaida sana hivyo vinaeleweka point yangu ni kuwa Ukraine wanatapatapa kwa sasa
Ukraine angekuwa kajiandaa kwa vita ingekuwa ngumu kwa Russia.Wanazidi kutanua WiGo wa front line [emoji848].., ngoja tuone,huu mwezi wa February utakuwa na impact kubwa sana kwenye hii vita maana hata Ukraine wako hatua za mwisho kabisa Ili waanzishe counteroffensive nyingine
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
KweliHata mimi naendelea kujifunza, nimegundua watu wanaoshabikia Urusi ni wenye misimamo mikali ya kidini na wenye chuki na Marekani
Kwa hiyo, Mkuu, unamzidi Bibi Merkel kansela wa zamani wa Ujerumani aliyekuwepo kwa nafasi hiyo Toka mzozo unaanza 2014 mpaka miaka ya hivi majuzi kabla ya kuachia ngazi? Bibi Merkel alisema Ukraine ilijiandaa Toka mkataba wa kuizubaisha Russia wa Minsk ulivyosainiwa.Ukraine angekuwa kajiandaa kwa vita ingekuwa ngumu kwa Russia.
UKRAINE alijiandaa kwa vita siku nyingi.......! baada ya yote hayo ndipo RUSSIA akaanda SMO ya DE-MILLITARISATION na DE-NAZIFICATION.....!Ukraine angekuwa kajiandaa kwa vita ingekuwa ngumu kwa Russia.
Ni kwamba alishtukizwa ghafla, hakuwa na silaha akaamua retreat...
Kwa sasa Russia hawezi kuja kirahisi
Tuletee update za front line tafadhali. Ili turejee kwenye mada iliyopo mezani.Kweli
Waislamu wengi huichukia Marekani, ila wakipata shida wanakimbilia Marekani
TULIA MZEE BABA ACHA KULALAMAMwaka tena sio siku3
Kabla ya hao 5000 anaoongeza ungemuuliza kwanza wale laki 200,000 wa awali waliokuwa wakifanya mazoezi mpakani na Ukraine kabla ya uvamizi wameishia wapi? wako wapi?, wale vijana wake wa kirusi waliosajiliwa kwa mtutu wa bunduki wako wapi? wafungwa akiwempo Raymond mtanzania wako wapi?Kyiv warns of Russian mobilisation on eastern border
06:00 Jonathan Yerushalmy
Russia is planning a major offensive to coincide with the one-year anniversary of the war in Ukraine on 24 February, according to the country’s defence minister, Oleksii Reznikov.
Speaking to French media, Reznikov warned that Russia would call on a large contingent of mobilised troops. Referring to Russia’s general mobilisation of 300,000 conscripted soldiers in September last year, he claimed that numbers at the border suggest the true size could be closer to 500,000.
“We do not underestimate our enemy,” Reznikov said. “Officially, they announced 300,000, but when we see the troops at the borders, according to our assessments it is much more.”
The Guardian was unable to independently verify these figures.
On Wednesday evening, President Volodymyr Zelenskiy said Russian forces were trying to make gains that they could show on the February anniversary of their invasion, and issued a dire account of the situation in the eastern province of Donetsk.
“A definite increase has been noted in the offensive operations of the occupiers on the front in the east of our country. The situation has become tougher,” Zelenskiy said in a video address.
Reznikov said the offensive would probably be concentrated in two areas: the country’s east, which has seen heavy fighting over recent weeks; and the south.
“We think that, given that [Russia] lives in symbolism, they will try to try something around February 24.”
Kramatorsk apartment block attack kills three
05:43
A Russian missile destroyed and damaged seven more in the eastern Ukrainian city of Kramatorsk on Wednesday night, killing at least three people and injuring 20, regional police said.
Local authorities initially said Russia had fired a rocket but the police force later said an Iskander-K tactical missile had struck at 9:45 pm local time (19:45 GMT).
“At least eight apartment buildings were damaged. One of them was completely destroyed,” police said in a Facebook post. “People may remain under the rubble.”
At least 44 people were killed last month when a Russian missile hit an apartment building in the eastern city of Dnipro.
The situation on the front lines in eastern Ukraine 'has become tougher' as Russian forces push for gains that they could show on the first anniversary of their invasion, on February 24, President Volodymyr Zelenskyy said in a sombre assessment.
A Russian missile destroyed an apartment building in the eastern Ukrainian city of Kramatorsk late on Wednesday and at least two people were killed and seven wounded injured, the regional governor said.
Russian forces were maneuvering to try to surround the eastern city of Bakhmut, where troops were fighting building to building for gains of barely 100 metres (yards) a night amid constant Russian shelling, a soldier in a Ukrainian unit of Belarusian volunteers told Reuters from inside the city.
View attachment 2503423
Halafu kuna kichaa mmoja anatumia free WiFi pale Uhuru Park anlialia kwamba Russia ameishiwa wanajeshi MK254
DuhUkraine angekuwa kajiandaa kwa vita ingekuwa ngumu kwa Russia.
Ni kwamba alishtukizwa ghafla, hakuwa na silaha akaamua retreat...
Kwa sasa Russia hawezi kuja kirahisi
hahahaMwaka tena sio siku3