EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,719
Acha wenge soma vizuri ni 500k sio 5000 halafu hao wa awali naomba link nijiridhishe idadi uliyoisemaKabla ya hao 5000 anaoongeza ungemuuliza kwanza wale laki 200,000 wa awali waliokuwa wakifanya mazoezi mpakani na Ukraine kabla ya uvamizi wameishia wapi? wako wapi?, wale vijana wake wa kirusi waliosajiliwa kwa mtutu wa bunduki wako wapi? wafungwa akiwempo Raymond mtanzania wako wapi?
Juzi mulisema kuna Wagner group hamjakaa sawa mnaleta hao elfu 5., aulizwe bwana putini askari wote hao tokea February 24 wameishia wapi? wako wapi? alikodi kutoka syria wapiganaji wakali zaidi duniani wako wapi?