Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,451
- 17,939
Uraaaah uraaaah RosiyaaaahDawa ya wale Leopard 2 wenu hiyo hapo. Japo tutaanza kusafisha ghala kwa kutumia 12mm Mango Amor-piercing She'll
View attachment 2503857
Uraaaah uraaaah RosiyaaaahDawa ya wale Leopard 2 wenu hiyo hapo. Japo tutaanza kusafisha ghala kwa kutumia 12mm Mango Amor-piercing She'll
View attachment 2503857
Itafika muda the so called..'Collective West'... watasanda tu wenyewe...!!!...aisee...hapa nao watabakia na assignment ni kipi hicho Putin atakuja nacho as a response to German & American Tanks..Putin:"Incredibly, but a fact,we are again threatened by German tanks - "Leopard" - with crosses on board, and they are again going to fight with Russia on the land of Ukraine by Banderites.We do not send our tanks to their borders, but we have something to respond with."
Yaani Crimea Inakuuma Sana kuliko Mauaji ya Waafrika wenzio wanaokufa kila uchao hapo tu DRC kwa uovu unaotendwa na US na washirika wake?-kuhusu hoja ya uvamizi, Russia ilishavamia Crimea ikapora eneo la Crimea, wakafanya referendum feki, US imepora eneo gani na kulifanya sehemu ya USA?, japo kweli US sometimes Ina makosa yake kama States nyingine ulimwenguni
-Unaamini nchi kubwa inayoongozwa na Putin kama ndio 'Muamuzi Mkuu' haiwezi kukurupuka?
- kwenye sheria za Vita Kuna principle inasema Vita vinapiganwa kwa lengo la kisiasa lililo Hali kabisa that is to say Legitimate aim, Sasa hebu tafakari legitimacy ya hiyo Vita, chambua mkakati wa Ukraine kujiunga NATO vs Russia
Jaman jaman Putin mzee baba maliza.Dawa ya wale Leopard 2 wenu hiyo hapo. Japo tutaanza kusafisha ghala kwa kutumia 12mm Mango Amor-piercing She'll
View attachment 2503857
Hebu taja mafanikio ya SMO mpaka Sasa.SMO ilienda vizuri na kweli ingeisha muda mchache na kwa hakika imefanikiwa kwa miwango kikubwa sana.....!
Uraàaaaaaaaa[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Russian MLRS Destroys Foreign Military Equipment Provided To Ukrainian Army
The Russian Ministry of Defense has published a video of “Hurricane” and “Hail” multiple-launch rocket systems fulfilling combat tasks as the conflict between Russian and Ukraine continues.
Subscribe to RT
Hata mimi naendelea kujifunza, nimegundua watu wanaoshabikia Urusi ni wenye misimamo mikali ya kidini na wenye chuki na Marekani
Aliyewafanyia hayo madhila ni pamoja na Ukraine ?....Kama unaishi Hii Dunia unajua madhila yote tumepitia Hasa Sisi Waafrika Yamesababishwa na Hao mashoga yameua watu wetu kwa maelfu..Yameua Viongozi wetu wazuri akina Patrice Lumumba...Sankara...Chris Hani..Yametuibia sanaaaaa....Na yanaiba Kule Congo na kuleta silaha kwa waasi...central Afrika na kila pembe yanatuibia ....
Kwa hiyo mnashabikia Uvamizi wa Urusi huko Ukraine ili kuikomoa Marekani ?......kwamba Ukraine ikiharibiwa nyie ndio mnalipiziwa kisasi na Urusi ?Yaani Crimea Inakuuma Sana kuliko Mauaji ya Waafrika wenzio wanaokufa kila uchao hapo tu DRC kwa uovu unaotendwa na US na washirika wake????
Crimea inakuuma sana kuliko Mamilioni ya Watu waliokufa kwa uvamizi wa US kule Iraq....Crimea inakuuma sana Kulikoni mauaji Rais wa Libya na Walibya kibao waliouwawa na Marekani na NATO....
Vita na madhira mabaya Yaliyotokea Dunia hii yote ni Mkono wa Marekani...Ila unajifanya hamnazo....
Mbona libya ilipovamiwa mlikaa kimyaKwa hiyo mnashabikia Uvamizi wa Urusi huko Ukraine ili kuikomoa Marekani ?......kwamba Ukraine ikiharibiwa nyie ndio mnalipiziwa kisasi na Urusi ?
Yaani Crimea Inakuuma Sana kuliko Mauaji ya Waafrika wenzio wanaokufa kila uchao hapo tu DRC kwa uovu unaotendwa na US na washirika wake????
Crimea inakuuma sana kuliko Mamilioni ya Watu waliokufa kwa uvamizi wa US kule Iraq....Crimea inakuuma sana Kulikoni mauaji Rais wa Libya na Walibya kibao waliouwawa na Marekani na NATO....
Vita na madhira mabaya Yaliyotokea Dunia hii yote ni Mkono wa Marekani...Ila unajifanya hamnazo....
By conductWapi nimesema sijataka chifu?
Mbona libya ilipovamiwa mlikaa kimya
....Mjadala ni Russia vs Ukraine, na si vingine,
Kwanini urusi ichukue Crimea umeshawahi kujiuliza?kwanini urusi ichukue maeneo mengine Ukraine umeshawahi kuuliza?usisahau urusi anaeneo kubwa kijiografia mpka maeneo mengine yapo Tu hayakaliwi na watu.mshabiki wa NATO Kwa harakaharaka atakuambia urusi ana Tamaa ya ardhi bila kufikiria.sasa wewe kama great thinker kwanini urusi anayachukua hayo maeneo?marekani Hana uwezo wala uhalali wa kuchukua maeneo katika hii dunia ya sasa.-kuhusu hoja ya uvamizi, Russia ilishavamia Crimea ikapora eneo la Crimea, wakafanya referendum feki, US imepora eneo gani na kulifanya sehemu ya USA?, japo kweli US sometimes Ina makosa yake kama States nyingine ulimwenguni
-Unaamini nchi kubwa inayoongozwa na Putin kama ndio 'Muamuzi Mkuu' haiwezi kukurupuka?
- kwenye sheria za Vita Kuna principle inasema Vita vinapiganwa kwa lengo la kisiasa lililo Hali kabisa that is to say Legitimate aim, Sasa hebu tafakari legitimacy ya hiyo Vita, chambua mkakati wa Ukraine kujiunga NATO vs Russia
That's ur opinionBy conduct
-lete majibu tuone Kama unaelewa unachoandika hapa, au na wewe huna majibu?!.Kwanini urusi ichukue Crimea umeshawahi kujiuliza?kwanini urusi ichukue maeneo mengine Ukraine umeshawahi kuuliza?usisahau urusi anaeneo kubwa kijiografia mpka maeneo mengine yapo Tu hayakaliwi na watu.mshabiki wa NATO Kwa harakaharaka atakuambia urusi ana Tamaa ya ardhi bila kufikiria.sasa wewe kama great thinker kwanini urusi anayachukua hayo maeneo?marekani Hana uwezo wala uhalali wa kuchukua maeneo katika hii dunia ya sasa.
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
By necessary implicationsThat's ur opinion