Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nmepata uchungu sana kwenye nafsi kubaini upofu wa waziwazi sana uliopo kwenye fikra zako Muafrika mwenzangu.

Jaribu kufatilia kwa umakini na kuwaza vizuri bila chuki zozote.

Na ili ufunguke vzr akili/upeo basi jaribu kusimama kama mwanaume mwenye msimamo imara(Alone) na kujiamini.

Nmekushauri hivyo kwasababu Mataifa ya Western wana kawaida ya kupumbaza watu(Wanaume) kifikra kwa kuwaza kama wanawake.

Ni ngum kuona mabaya yao ya waziwazi kabisa kama utakua umeshaingia kwny mtego wao wa Kupumbazwa na kuwaza kama Mwanamke.

Sifa kubwa ya mwanamke ni udhaifu na kutojiamini (Kutoweza kuishi kwa kujitegemea), na hili sio tusi kwao wakike ila tu ndiyo asili yao na ndivyo wanapaswa kuwa.

Naamini ukiweza kusimama na ku-act kama mwanaume anavyopaswa kuwa, basi upofu ulio nao utakuondoka kwa wepesi mno (Bila hata kushawishiwa).


Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Brother umeongea kwa uchungu sana
 
Hehehe!! Yaani hapa mumesalia kufuatilia matamko ya Zelensky, sikujua ipo siku mtakua desperate kiasi hiki, hao mateja mliokoteza huko baada ya kuishiwa wanajeshi waleteni wanasubiriwa mizoga yao iwe mbolea Ukraine
e7877a86b9effe3769093e2c343ca8f5.png
 
Brother umeongea kwa uchungu sana
Kaka hatuna uwezo wa kubadilika ghafra na kuleta maendeleo tunayostahili.

Tunaamini, uzao ujao huko mbele ndio utakaokuja kufanya hayo.

Ila sasa kwa mawazo yaliyojifunga aina ile, hata hivyo vizazi vinavyokuja havitaweza chochote.

Umeshajiuliza mtt wa shoga atajifunza au kufunzwa nn na babake?
Kama sio tu kuendeleza fikra za kike kwa mwanaume.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Takataka kama hizi huwa nachukua muda sana kuwajibu..nimeona nijibu hii mbuzi ya nato..unasema USA hajawah pora eneo la nchi nyingine!! Unajua hawaii ilikuwa ya nani? New mexico city unaijua ilikuwa ya nani! Wajinga kama hawa ndo wanaosumbua humu na hoja za kishoga..ndo kina kipanya hawajui hata historia wanakurupuka tuu huko kwenye vifusi vya mihogo
Amemleta nani hapa jukwaani,???
 
  • wapi nimesema nafurahia sufferings za Africa? Onyesha, nikiposema na kama ulisoma statement yangu ya kwanza ilikuwa ni qualified na sio absolute kuhusu US.
  • Kuhusu Mauaji wa DRC hakuna ushahidi wa Moja Kwa Moja i.edirect evidence kwamba US na its allies wanaunga mkono but Rather walimuonya Paul Kagame aacha kuunga mkono M23.
  • Kuhusu Libya, marekani walikuwa 'wanasema' eti wanaondoa utawala wa kidicteta .
  • halafu hapa Mjadala ni Russia vs Ukraine, na si vingine,
  • Kama Unasema USA and it's allies,ni mbaya Mbona ndiyo TAIFA linaloongoza kwa kutoa Msaada Africa especially Tanzania, US hapa Tanzania Wana Mashirika ya kutoa misaada kama US AID, Uingereza Wana UK-AID, US wanatoa misaada ya ARV, hujawahi kuona miradi imeandikwa 'KWA MSAADA WA WATU WA MAREKANI'?, Mradi wa HIV wa PEPFAR ni WA US huo, miradi ya JICA -japan MSHIRIKA wa US, haya tutajie miradi ya RUSSIA hapa Tanzania tuone
  • Kuhusu Crimea lile ni kosa Chini ya sheria za kimataifa limefanyika
Wewe unadhani mradi wa gesi Tanzania anashughulikia nyanya ako, we unadhani Tanzania na Russia hakuna biashara yoyote haha wake the f
 
Nmepata uchungu sana kwenye nafsi kubaini upofu wa waziwazi sana uliopo kwenye fikra zako Muafrika mwenzangu.

Jaribu kufatilia kwa umakini na kuwaza vizuri bila chuki zozote.

Na ili ufunguke vzr akili/upeo basi jaribu kusimama kama mwanaume mwenye msimamo imara(Alone) na kujiamini.

Nmekushauri hivyo kwasababu Mataifa ya Western wana kawaida ya kupumbaza watu(Wanaume) kifikra kwa kuwaza kama wanawake.

Ni ngum kuona mabaya yao ya waziwazi kabisa kama utakua umeshaingia kwny mtego wao wa Kupumbazwa na kuwaza kama Mwanamke.

Sifa kubwa ya mwanamke ni udhaifu na kutojiamini (Kutoweza kuishi kwa kujitegemea), na hili sio tusi kwao wakike ila tu ndiyo asili yao na ndivyo wanapaswa kuwa.

Naamini ukiweza kusimama na ku-act kama mwanaume anavyopaswa kuwa, basi upofu ulio nao utakuondoka kwa wepesi mno (Bila hata kushawishiwa).


Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Wasipokuelewa pro NATO,nitashangaa.
 
Jf siku hizi kuna ujana mwingi.watu wanaonyesha sana hisia kuliko facts.mtu anauliza swali anajibiwa kwa swali.matusi ,lugha zisizo na staha zimetawala.humu nowdays kila anayetetea Ukraine ni shoga(sina hakika) na wa Russia ni ustadhi (si kweli)Yaani humu habari ikitoka BBC,CNN,AL JAZEERA ni propaganda ila RT ,TASS ni ya kweli(japo ni russia-ukraine war).kuna boa sana .ila kuna member humu walikuwa watu makini sana but siwaoni RTI ,T-ARMATA.
 
Kaka hatuna uwezo wa kubadilika ghafra na kuleta maendeleo tunayostahili.

Tunaamini, uzao ujao huko mbele ndio utakaokuja kufanya hayo.

Ila sasa kwa mawazo yaliyojifunga aina ile, hata hivyo vizazi vinavyokuja havitaweza chochote.

Umeshajiuliza mtt wa shoga atajifunza au kufunzwa nn na babake?
Kama sio tu kuendeleza fikra za kike kwa mwanaume.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kweli mkuu, tunakoelekea ni kubaya sana, na kuna watu wanadrive ajenda za kishetani bila kujua.
 
Kumiliki Hapo hata sehemu ndogo ndani ya Ukraine na kuitumia Kama uwanja wa Vita we fikiria mtu anakuja kukaa sebuleni kwako na kuanzishwa Vita uoni Ni moja ya mafanikio? We chumani kaa kila ukirusha silaha unaharibu makabati yako[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kauliza swali la kipumbaf sana
 
Mrusi mbabe wa mizinga anashindwaje kuyapiga makombora hapo yashushwa kwenye meli, hehehe jameni supapawa kaishiwa kweli...
Atakayeisaidia Ukraine atapata moto...haya sasa.
 
Pro Western hamjachelewa kuungana na mkombozi PUT IN anapambana na MAGAIDI na MASHOGA kwawakati


[emoji636] [emoji2380] [emoji1255] Great Britain will allocate 21 million rubles (for each project) for LGBT development in Ukraine

On January 6, applications began to be accepted for the grant program "Program Fund for Recovery and Reconstruction" in Ukraine. This alleged "reconstruction" also includes creating new institutions, opening new youth centers, supporting democratic processes, and promoting LGBT values.

[emoji1751] Against the backdrop of the real problems in Ukraine, Britain's infusion of money to promote pro-Western and anti-Russian "values" looks like subtle mockery.

Source: Ostashko!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji635] FM Lavrov: Kiev Forced to Drop Negotiations in March - Political Solution Off Table Since

The Russian Foreign Minister stressed that Ukraine and its backers have not tried to negotiate since dialogue was scrapped, and do not intend to.

Sergey Lavrov added that no one even questioned Vladimir Zelensky signing a decree to ban talks with Russia. (Interview to Sputnik)

Watch the interview live NOW.

Just In @RT_India_official
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
[emoji298]️Battle of Minds, Money & US Matters: Sergey Lavrov gives wide-ranging interview on Ukraine conflict - Key points:

[emoji625]West demanding victory on battlefield, by openly supporting far-right, neo-Nazi organisations
[emoji625]US' top diplomat says it must dominate world - this is a frontline geopolitical battle
[emoji625]US wants to strip away roots and history - defines democracy as right to impose its values on rest of world
[emoji625]Clear similarities between today and WWII - Europe has united against Russia in way it did against Nazis
[emoji625][emoji635] must promote its stance and truth on international stage - fight against fake news
[emoji625]West claims no conflict without Crimea joining Russia, but region was against coup in Kiev
[emoji625]Most developing nations state their neutrality, but US trying to force them to act against Russia - threatens them if they do not
[emoji625]US forcing Europe to give its weapons to Ukraine, meanwhile it forces the continent to buy US-made arms

Follow @RT_India_official
 
Back
Top Bottom