Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hahahaaaa, mobilization Ilikuwa hiari,watu walioondoka ni wale wenye roho nyepesi Tena wachache!
Na wengi wao tayari wamesharudi Urusi!
Sasa Nyie komaeni kwamba jeshi rasmi limefyekwa wakati Wagner wanawatembezea moto!
Russia Aliingiza full force ndio mtajua hamjui!
Zele alikuwa anatoa data fake Hadi alipoumbuliwa na wanaompa silaha Kwa kusema zaidi ya wajeda laki weshafyekwa!
Endelea kushupaza shingo!

Hehehe kweli yaani maustadhi mumelishana mauwongo ya Putin hadi mkaiva, watu walikua wanaswagwa kwa viboko kama mifugo.
Hata mtume wenu mpya bwana Putin kakiri mwenyewe kulikua na kasoro kubwa sana kwenye hilo zoezi la kukusanya mateja Putin says Russia’s mobilisation mistakes must be ‘corrected’
 
Zoezi halikueleweka,hoja nimeandika kibao umekimbilia kamstari kamoja😃😃😃!
Elimu ilipaswa kutolewa kuwa zoezi Hilo ni hiyari,ingekuwa lazima si Putin angefunga mipaka wanaume wasitoke nje ya nchi kama ambavyo Zelensky amezuia Hadi wanaume wanajipodoa na kuvaa kama wanawake Ili wasipelekwe vitani😃😃😃😃
 
Urusi sio Zimbabwe
The head of the CIA, Burns, came to Kyiv with a proposal to give Russia 20% of the territory in exchange for a cessation of hostilities, writes the Neue Zürcher Zeitung.
IMG_20230203_122726.jpg
 
Zoezi halikueleweka,hoja nimeandika kibao umekimbilia kamstari kamoja😃😃😃!
Elimu ilipaswa kutolewa kuwa zoezi Hilo ni hiyari,ingekuwa lazima si Putin angefunga mipaka wanaume wasitoke nje ya nchi kama ambavyo Zelensky amezuia Hadi wanaume wanajipodoa na kuvaa kama wanawake Ili wasipelekwe vitani😃😃😃😃

Hizo hoja unaandika andika ni kama insha kwangu maana tulikua humu sote na tuliyashuhudia, tumeshuhudia jeshi ya Urusi likijaribu kuparamia Ukraine likafyekwa kama senene, Urusi ikaishiwa wanajeshi na kwenda kuokoteza wafungwa na pia kuswaga mateja mitaani, leo unakuja kuanidka insha eti hoja, hehehe na bado subiri silaha zaidi zimeshushwa.
 
Hilo lilitatuliwa kwa mazungumzo tu na Cuba haikuvamiwa mpaka leo.
Elewa,ilikaribia itokee world war 3 na maelewano yakafikiwa!
US hakuwa tayari Russia aweke base huko Cuba!
Lakini huyo huyo US amekuwa akijitanua kumsogelea Russia kinyume na makubaliano!
Ukitaka kujua uchokozi wa US kwa mataifa ambayo ni threat Kwake kiuchumi na kivita,angalia anavyotafutana partners kijeshi na mataifa yanayopaka na maadui zake!Ona huko Philippines tayari wameingia deal na US atapeleka military force huko,angalia Taiwan!Hii yote anamchokoza China!
Sasa itokee China au Russia waende Waweke base Cuba,hapo US atachukia na kuanzisha vita!
Mkuki Kwa nguruwe!!!!
 
Hizo hoja unaandika andika ni kama insha kwangu maana tulikua humu sote na tuliyashuhudia, tumeshuhudia jeshi ya Urusi likijaribu kuparamia Ukraine likafyekwa kama senene, Urusi ikaishiwa wanajeshi na kwenda kuokoteza wafungwa na pia kuswaga mateja mitaani, leo unakuja kuanidka insha eti hoja, hehehe na bado subiri silaha zaidi zimeshushwa.
Endelea kuandika mipasho ila ndio hivyo dawa inawaingia!
Endeleeni kujipodoa na kuvaa nguo za kike Ili msipelekwe frontline kufagiwa😃😃😃
 
Elewa,ilikaribia itokee world war 3 na maelewano yakafikiwa!
Kulikua na kitisho cha nuclear war..

Ila bado diplomasia ilitumika na Cuba haikuvamiwa.

Ukitaka kujua uchokozi wa US kwa mataifa ambayo ni threat Kwake kiuchumi na kivita,angalia anavyotafutana partners kijeshi na mataifa yanayopaka na maadui zake!Ona huko Philippines tayari wameingia deal na US atapeleka military force huko,angalia Taiwan!Hii yote anamchokoza China!
Sasa itokee China au Russia waende Waweke base Cuba,hapo US atachukia na kuanzisha vita!
Mkuki Kwa nguruwe!!!!
Hayo mataifa yanayopakana na Urusi na China ndio hutafuta ushirikiano wa kiulinzi na US kwa manufaa yao ya kiusalama na sio kinyume chake.
 
- twende kwenye value ya miradi, na wellbeing ya miradi hapa Tanzania, kuanzia US AID,UK AID,MCC,JICA,KOICA,SIDA,DANIDA,EU, hiyo miradi yote ni ya US na Washirika wake, hebu tutajie Mashirika ya Russia and it's allies yalioyopo hapa Tanzania yanayotoa misaada hapa Tanzania kwenye aspects tofauti, health nk
Uchunguzi unatakiwa ufanyike Mara moja kwa huyu kijana huwezi kijana mwenye umri mdogo utuambie habari ya misaada yaani wa Ukraine suala la misaada kwenu mmelichukuliaje? Ni udhaifu mkubwa kwa mwanaume kutegemea misaada yaani kuolewa kupo karibu Sana tunakukemea achana na hyo point kuanzia Sasa.
 
Urusi ilinyakua Crimea mwaka 2014 kibabe, hawakutosheka bado wakaasisi na kufadhili uasi huko Donbas na Luhansk ulioua maelfu ya watu, Sasa imeamua kuyamega kabisa hayo majimbo kwa kisingizio cha Ulinzi....yaani inawalinda watu iliyowaanzishia Vita.
Kumbe hujui kitu vita Kati ya Ukraine na hayo majimbo yameanza since hayo majimbo yatolewe urusi na kupelekwa ukraine.matatizo yalianzia since hayo majimbo yahamishiwe Ukraine sio 2014.nimeshajua tatizo lenu team NATO hamuelewi vizuri Huu mgogoro.since day one hayo majimbo yalikaa kuwa Chini ya serikali ya Ukraine by the way yamesharudi nyumbani tayari.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
839 kuongeza mmoja wamechinjwa ndani ya saa 24 tu.., ndio maana Putin haishi kulalamika kwamba anapigana na wanazi..,hiki kipigo sio Cha kawaida hasa inapotokea kwa jeshi hambalo tuliaminishwa kwamba ni mahili miaka nenda Rudi View attachment 2504668

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Jana na leo umeondoa sifuri. Yaani mpaka tukufundishe kudanganya.

Kipanya kweli kweli
 
Kulikua na kitisho cha nuclear war..

Ila bado diplomasia ilitumika na Cuba haikuvamiwa.

Hayo mataifa yanayopakana na Urusi na China ndio hutafuta ushirikiano wa kiulinzi na US kwa manufaa yao ya kiusalama na sio kinyume chake.
Utajuaje hayo?Unajua yanayoongewa chini ya Kapeti?
US Kwa miaka 6 amekuwa akijaribu kuishawishi Philippines Ili iweke base ya kijeshi huko lakini Rais aliyepita aliwasikiliza wananchi ambao walikuwa hawataki tension yoyote kati ya Philippines na China na badala yake wawe na ujirani mwema!
Rais huyu aliyeingia,amepuuza ya mtangulizi wake na ndani ya muda mfupi,a deal is made na tutaona US troops zikitua nanga Philippines!

US ni taifa chochezi,litafanya chochote kuendelea kuwa namba Moja duniani!
Mpaka wamarekani wenyewe walishaanza kutabiri vita kati ya china na US by 2025!

Kwa wengine ambao hawakupata kusoma Cuban missile crisis wapitie hapa ndio wajue unafiki wa US!

In 1961 the US Government put Jupiter nuclear missiles in Italy and Turkey, and attempted to invade Cuba. Starting in November of that year the US Government engaged in a campaign of terrorism and sabotage in Cuba, referred to as the Cuban Project, which continued throughout the first half of the 1960s. The Soviet administration was concerned about a Cuban drift towards China, with which the Soviets had an increasingly fractious relationship. In response to these factors, Soviet First Secretary, Nikita Khrushchev, agreed with the Cuban Prime Minister, Fidel Castro, to place nuclear missiles on the island of Cuba to deter a future invasion. An agreement was reached during a secret meeting between Khrushchev and Castro in July 1962, and construction of a number of missile launch facilities started later that summer.

Meanwhile, campaigning for the 1962 United States elections was underway, and the White House denied charges for months that it was ignoring dangerous Soviet missiles 90 mi (140 km) from Florida. The missile preparations were confirmed when a US Air Force U-2 spy plane produced clear photographic evidence of medium-range R-12 (NATO code name SS-4) and intermediate-range R-14 (NATO code name SS-5) ballistic missile facilities.

When this was reported to President John F. Kennedy, he then convened a meeting of the nine members of the National Security Council and five other key advisers, in a group that became known as the Executive Committee of the National Security Council (EXCOMM). During this meeting, President Kennedy was originally advised to carry out an air strike on Cuban soil in order to compromise Soviet missile supplies, followed by an invasion of the Cuban mainland. After careful consideration, President Kennedy chose a less aggressive course of action, in order to avoid a declaration of war. After consultation with EXCOMM, Kennedy ordered a naval "quarantine" on October 22 to prevent further missiles from reaching Cuba.[4] By using the term "quarantine", rather than "blockade" (an act of war by legal definition), the United States was able to avoid the implications of a state of war.[5] The US announced it would not permit offensive weapons to be delivered to Cuba and demanded that the weapons already in Cuba be dismantled and returned to the Soviet Union.

After several days of tense negotiations, an agreement was reached between Kennedy and Khrushchev: publicly, the Soviets would dismantle their offensive weapons in Cuba and return them to the Soviet Union, subject to United Nations verification, in exchange for a US public declaration and agreement to not invade Cuba again. Secretly, the United States agreed with the Soviets that it would dismantle all of the Jupiter MRBMs which had been deployed to Turkey against the Soviet Union. There has been debate on whether or not Italy was included in the agreement as well. While the Soviets dismantled their missiles, some Soviet bombers remained in Cuba, and the United States kept the naval quarantine in place until November 20, 1962.[5]

When all offensive missiles and the Ilyushin Il-28 light bombers had been withdrawn from Cuba, the blockade was formally ended on November 20. The negotiations between the United States and the Soviet Union pointed out the necessity of a quick, clear, and direct communication line between the two superpowers. As a result, the Moscow–Washington hotline was established. A series of agreements later reduced US–Soviet tensions for several years, until both parties eventually resumed expanding their nuclear arsenals.
 
Jana na leo umeondoa sifuri. Yaani mpaka tukufundishe kudanganya.

Kipanya kweli kweli
Huyo jamaa mm nilishamshtukia mda mrefu Sana Mia nane wamechinjwa hao Mia nane haleti link,picha Wala source ila ana edit tu sifuri zake sijui anazipata wapi hizo data tupuuze habari kutoka kwa huyu jamaa za kuchinjwa hazina ushirikiano Wala uhalisia.
 
Back
Top Bottom