Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,662
- 27,112
Na Ukraine ni mara ngapi ya JWTZ?😃😃😃Sio mipasho, tumekua humu, urusi ilivyo jaribu kuparamia Kyev na msafara wao wakafukuziwa mpaka leo wanagombea kamji ka chumvi, wameuawa zaidi ya 127,000 hiyo ni idadi mara nne ya JWTZ.
Hizo figure si za uhakika ila za Ukraine tuna uhakika Nazo maana mlijiumbua wenyewe!