Viongozi wakipindi kile hasahasa USSR..ambao tayari walikuwa wameweka baadhi ya makombora Cuba tayari, na mengine yalikuwa bahari kwenye meli..-walikubali kukaa chini na kusolve.....Matokeo yake USSR akaondoa makombora yake Cuba, na US wakaondoa makombora yao Turkey...
Unajua kingetokea nini kama USSR wangeendelea kumpa kiburi Cuba na wao kukataa kuondoa hayo makombora???
US wangeisambaratisha CUBA...na wangekua na hiyo haki..
Ukraine acha avune alichopanda
Sent from my SM-A205F using
JamiiForums mobile app