Mkuu mbona unatumia kompyuta lakini unaandika kama mtoto mdogo? Ulishindwa kusoma habari? Habari zilisema waziwazi itachukua wiki kadhaa, zaidi miezi hadi silaha hizo zitapatikana Ukraine. Maana Waukraine hawafanyi kama Warusi wanaotuma vijana kwenye mapigano bila mafundisho , wafe tu.Leo ni siku ya 17 toka Ujerumani na Poland watangaze kusafirisha Leopard tank kuja Ukraine.
*Kutoka Polanda mpaka Ukraine ni km 1200
* Kutoka Germany mpaka Ukraine ni km 1700.
*Kutoka Dar mpaka Bukoga ni km 1300.kwa malori ni safari ya siku 2.
NATO mnakwama wapi jamani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Kifaru cha kisasa si bodaboda unapoingia asubuhi na kuhatarisha uhai wa abiria nusu saa baadaye. Kifaru ni kifaa tata kinachotaka mafunzo na mazoezi ya wiki kadhaa.
Kwa hiyo - utavioona tu. Usiwe na wasiwasi.