"Maana yake alipelekwa kwenye mapigano bila kufundishwa (labda siku 2 kujifunza amri na kutofautisha mbele na nyuma ya bunduki)."
"Waukraine wanatoa taarifa mara kwa mara kwamba hao mamluki wa Wagner wanatumwa mbele bila usalama au tahadhari wowote."
Zelensky "Situation in Bakhmut very difficult"
Unapigana na watu wasio na mafunzo na bado unalalamika situation is difficult. Vipi wakiletwa wenye mafunzo!? Nafkiri kupelekewa askari wasio na training hapo bakhmut ni advantage kwao (Ukraine) inakuwaje wao ndio wanacomplain!? Ina maana wanataka waletewe wenye mafunzo!?
Unapambana na watu waliojifunza amri na kujua nyuma na mbele ya bunduki tu ndani ya siku mbili alafu unashindwa how come!?
Ukraine is considering retreating from Bakhmut (formerly Artemovsk), according to Ukrainian military personnel cited in The Washington Post, in order to save manpower and supplies in anticipation of a counteroffensive elsewhere.
Unataka kukimbia adui asiye na mafunzo kwa nini!? Au ni wewe ndio hauna mafunzo unasingizia adui!?
Alafu ulivyompropagandist angalia tamshi zako
"Kila jeshi duniani inafundisha askari wapya angalau miezi 2 hadi 3. Ila ukipata watu ambao hutaki warudi, basi unawatumia kama Wagner"
'Kila jeshi... kama wagner...', sasa Wagner ni jeshi!? Unaweza kutuonesha kwa ushahidi kuwa JESHI la urusi lina askari wasio na mafunzo!?
Hao Wagner (wasio na mafunzo) wameichukua Soledar iliyokuwa inalindwa na brigedy kibao za Ukraine (wenye mafunzo ya hali ya juu). Tena wako karibu kuichukua Bakhmut na wenye mafunzo wanaangalia mpango wa kurudi nyuma
achana na propaganda za bei rahisi