Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa mujibu wa ndugu wa karibu wa Tarimo, alikamatwa kwa kesi ya dawa za kulevya kisha akafungwa, baada ya muda alipatiwa taarifa za kujiunga na kundi la Wagner na kuahidiwa kuachiwa huru baada ya miezi sita ya kupambana katika uwanja wa vita.
‘’Alitupatia taarifa kuwa anajiunga kwenda kwenye vita dhidi ya Ukraine, tulimsihi sana asijiunge lakini akasema huwezi jua nitapata uhuru wangu kwa hiyo akajiunga na mara ya mwisho kuwasiliana ilikua Oktoba 17 na hakupatikana tena, ’’anasema ndugu wa Nemes ambaye hakutaka jina lake
Nemes alienda Urusi kwa ajili ya masomo ya shahada ya uzamili katika Chuo cha Teknolojia cha Urusi, MIREA.
Hiyo mara ya mwisho kuwasiliana,nilitaka kujua hiyo taarifa unayosema alijiunga na Wagner group tar 17 October!
 
HAya, naona umeacha majaribio ya kuonyesha NATO ilivunja mapatano na Urusi. Umefika kwenye "preemptive measures", lugha ya kawaida ya mabepari kama Uingereza zamani, Ujerumani wa Hitler au MArekani......
Nimekuwekea hapo juu,wewe ukadai ni maneno tu ya politicians!Kauli kutoka kwa secretary of state wa US umeita kauli hewa tu!
 
NATO wakitia guu pale Urusi inafutika, hao mateja hawana jipya maana jeshi rasmi limefyekwa wanajeshi 127,000
Kama 'mateja' wa Russia Wana utu kiasi Hiki, Mimi nani niache kuwaunga Mkono?
====
The footage once again confirmed the attitude of Russian servicemen to their enemies. All Ukrainian servicemen remained alive, none of them were wounded. They were asked to lay down their weapons and lie down on the ground. After they submitted, the Russians promised not to harm them.

On the other hand, the video reportedly shows the first experience of mobilized Russian servicemen storming a Ukrainian stronghold. Russian kindness posed a great threat to their own safety. Instead of throwing a grenade into the trenches, they entered the stronghold and began asking the enemy to come out. There is no necessary control over the surrendered Ukrainian soldiers.

The video probably shows the capture of recently mobilized Ukrainian servicemen who were thrown into the trenches without the necessary training.

Russian assault groups are acting cautiously, trying to save the lives of as many Ukrainian soldiers as possible. The Russian side is actively spreading information, confirming that all Ukrainian prisoners of war are treated well and calling on enemy soldiers to surrender and save their lives. Unfortunately, the war in Ukraine is still a bloody battle, but the video above is another proof that Ukrainian servicemen have a choice.

Ya Ukraine inapungua!Nasikia wamekufa wa Ukraine 15000 tu tokea vita imeanza Kwa mujibu wa Zele[emoji2][emoji2]
Ulishaambiwa idadi ya vifo kwa Ukraine ni ndogo ukilinganisha na urusi..,na hii ni Kwa Sababu Ukraine wanajua kila Chocho za mitaa Yao.., hivyo ni rahis kuwatrack warusi na kuwachinja,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wanaume wameshaanza kuiva.., super pawer wa kwenye makaratasi lazima ajiandae kwa mkong'oto wa maana [emoji1255][emoji91]
1675521112734.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kama 'mateja' wa Russia Wana utu kiasi Hiki, Mimi nani niache kuwanga Mkono?
====
The footage once again confirmed the attitude of Russian servicemen to their enemies. All Ukrainian servicemen remained alive, none of them were wounded. They were asked to lay down their weapons and lie down on the ground. After they submitted, the Russians promised not to harm them.

On the other hand, the video reportedly shows the first experience of mobilized Russian servicemen storming a Ukrainian stronghold. Russian kindness posed a great threat to their own safety. Instead of throwing a grenade into the trenches, they entered the stronghold and began asking the enemy to come out. There is no necessary control over the surrendered Ukrainian soldiers.

The video probably shows the capture of recently mobilized Ukrainian servicemen who were thrown into the trenches without the necessary training.

Russian assault groups are acting cautiously, trying to save the lives of as many Ukrainian soldiers as possible. The Russian side is actively spreading information, confirming that all Ukrainian prisoners of war are treated well and calling on enemy soldiers to surrender and save their lives. Unfortunately, the war in Ukraine is still a bloody battle, but the video above is another proof that Ukrainian servicemen have a choice.

Dah aisee wanajeshi wa Urusi waungwana sana.
Na ninafikiri kwa uungwana huu wa kutotaka kuwaua mateka wa Ukraine itakua imewagharimu sana.
 
Warusi wa buza wanakwambia kwenye second world war warusi zaidi ya million 27 walichinjwa.., hivyo hawaoni hao laki Moja karibia na nusu hambao wameshachinjwa si kitu kwao..,wataamini hii vita ni janga,pale watakapochinjwa na kufikia million 27 [emoji28][emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app

Elimu yako ni level gani??
 
Ardhi ina thamani kuliko unavyojua wewe.angalia mogogoro mikubwa yote ni kwa sababu ya ardhi tena unakuta ni sehemu tu ndogo inagombaniwa.

* India na Pakistani

*Palestina na Israel

*Armenia na Azbeijan

Pia vita karibu asilimia.

Pia asilimia kubwa ya vita nyingi zilizotokea ni kwa sababu ya ardhi au madaraka.

Tanzania tulianzisha vita na uganda baada ya kisehemu chetu kumegwa.kwenye nchi ikichukuliwa mikoa 2 tu lazima ukubali kupoteza hata watu milion5

*

Sasa amepoteza jeshi lake lote mpaka anafuata mateja, alipaswa awe ameikamata Ukraine yote kwa ambavyo tulimwogopa sana Urusi, kumbe useless
 
Warusi wa buza wanakwambia kwenye second world war warusi zaidi ya million 27 walichinjwa.., hivyo hawaoni hao laki Moja karibia na nusu hambao wameshachinjwa si kitu kwao..,wataamini hii vita ni janga,pale watakapochinjwa na kufikia million 27 [emoji28][emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app

Na watachinjwa tu maana hamna namna, madubwasha yanaendelea kushushwa.
 
Illusions...unadhani humu JF wanaokuona wewe ni hamnazo ni wangapi?! Ni wengi Sana...hoja zako nyingi ni za kipumbavu, kishenzi, kijinga, kifedhuli na kiwendawazimu...kutukana na kudharau dini na imani za watu wengine ni ushenzi wa kiwango Cha hali ya juu kabisa...kwenu Kenya mmezoea migawanyiko kwenye misingi ya ukabila na udini...inashangaza kuona moderators bado wamekuacha humu...

Kwa taarifa yako nilichaguliwa kama mwanaJF bora kwenye jukwaa la kimataifa, hehehe mimi ndiye komesha lenu humu takbir na napata mzuka hadi basi tu.
 
Sasa wewe ndio umeuliza swali!!!Rudi nyuma afu angalia serikali za Uganda tangu lini zimeanza kununua ndege na vipuri kutoka urusi!!!!Afu angalia manunuzi ya UPDF ya ndege za kivita kutoka urusi miaka yote toka 1986 mpaka leo na ubora wa ndege hizo hasa ukienda Entebbe na ukaweza kuongea na marubani wa ndege za kivita za uganda!!Utanielewa kaka
Hii Ni sehem ya mjadala huru was wazi sema kilichotokea br. Binafsi kumpata former rubani wa migs za Uganda haitawezekana but ninachokijua waganda Ni wapenzi wa Russian weapons na Hapo mnamo mwaka 2014 walijipatia Su 30 dege advanced zaidi kuliko zote zilizomo Afrika Mashariki.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Kama 'mateja' wa Russia Wana utu kiasi Hiki, Mimi nani niache kuwanga Mkono?
====
The footage once again confirmed the attitude of Russian servicemen to their enemies. All Ukrainian servicemen remained alive, none of them were wounded. They were asked to lay down their weapons and lie down on the ground. After they submitted, the Russians promised not to harm them.

On the other hand, the video reportedly shows the first experience of mobilized Russian servicemen storming a Ukrainian stronghold. Russian kindness posed a great threat to their own safety. Instead of throwing a grenade into the trenches, they entered the stronghold and began asking the enemy to come out. There is no necessary control over the surrendered Ukrainian soldiers.

The video probably shows the capture of recently mobilized Ukrainian servicemen who were thrown into the trenches without the necessary training.

Russian assault groups are acting cautiously, trying to save the lives of as many Ukrainian soldiers as possible. The Russian side is actively spreading information, confirming that all Ukrainian prisoners of war are treated well and calling on enemy soldiers to surrender and save their lives. Unfortunately, the war in Ukraine is still a bloody battle, but the video above is another proof that Ukrainian servicemen have a choice.

Mateja hawajui vita, ikiwa jeshi rasmi limefutwa 130,000 sasa mateja si ndio watakua mbolea....
 
[emoji635][emoji1218][emoji635]
[emoji1218][emoji635]
[emoji635]
 
Back
Top Bottom