Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
East ndio upande sahihi MKUU muweze musiwezeMtaweza au utaungana wewe tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
East ndio upande sahihi MKUU muweze musiwezeMtaweza au utaungana wewe tu?
Endelea na kukashifu dini za watu tukuchomeshe JF wakugonge life ban
🤣 🤣 Zelensky ni shoga mwenzie si unajua mashoga kwa nguvu za mdomo wanajiaminigi sana.Ila katika wote hao Kipanya 44 kazidi kujitoa ufahamu kabisa.yani unaweza ukacheka mpaka uzimie kwa post zake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Sasa jana anakuja kutuambia kuwa Bakhmut haiwezi tena kuanguka kisa eti Zelensk kasema[emoji23][emoji23][emoji23].
Sasa swali la kujiuliza Zelensk yeye ndo yupo front.
Hahahahahah Ukraine yote inakwenda kwa Mrusi 🤣🤣🤣Mji wa Lyman na Mji wa Seversk inaemewa na Warusi.muda sio mrefu kitaeleweka.kikubwa usikae mbali na simu yako[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2505667
Kama kawaida yenu, endeleeni na twisheni sisi tunaendelea kusepa na vijiji 🤣🤣🤣Mkuu mbona unatumia kompyuta lakini unaandika kama mtoto mdogo? Ulishindwa kusoma habari? Habari zilisema waziwazi itachukua wiki kadhaa, zaidi miezi hadi silaha hizo zitapatikana Ukraine. Maana Waukraine hawafanyi kama Warusi wanaotuma vijana kwenye mapigano bila mafundisho , wafe tu.
Kifaru cha kisasa si bodaboda unapoingia asubuhi na kuhatarisha uhai wa abiria nusu saa baadaye. Kifaru ni kifaa tata kinachotaka mafunzo na mazoezi ya wiki kadhaa.
Kwa hiyo - utavioona tu. Usiwe na wasiwasi.
Kazi nzuri ya wachoma nyama wa Wagner PMCVikosi vya Urusi vimefika kwenye mpaka wa Donensk na Luhansk baada ya kuwatoa nnje kabisa vikosi vya Ukraine vikivyokuwa kwenye msitu wa mpaka wa Luhansk na Donensk.
Sasa Warusi wana uwezo wa kuanzisha mashambulizi kwa kila sehemu ya Donensk inayoshikiliwa na vikosi vya Ukraine[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2505692
Habari za jumapili ndugu,Leo ni siku ya toba,nikukumbushe kwenda kusali na kupunguza mzigo ulio nao moyoni!Huku taifa la Ukraine likifaidi mbolea ya mizoga ya Warusi.
Hivi Kenya muda wa ibada ni saa ngapi?Naitwa mzee wa battles, ukinijia lazima upokee za uso.
We usiongelee uvunjifu wa kanuni gani wakati tunazungumzia real life, Ukraine imelelewa na Urusi ila imekengeuka wacha itiwe discpline. Mbona huongelei mambo ya shoga yenu USA kutaka kupelekesha nchi zingine kwa maslahi yake.Mkuu, ulipiga makele kuhusu NATO kuvunja makubaliano na Urusi. Ambayo si kweli. Nionyesha ni kipengele gani katika makubaliano nilyotaja kilichovunjwa na NATO. Usisema, taja kifungo, tukio, tarehe. Na imi nimekuonyesha sehemu ya Section One ya makubaliano Founding Act on Mutual Relations, Cooperation and Security ni kuheshimu mipaka ya nchi zote za Ulaya. Imevunjwa na Urusi kwa kuvamia Georgia na Ukraine kinyume cha kanuni za Umoja wa Mataifa na OSCE.
Sasa onyeshe wewe. Kile unachoita upanuzi wa NATO ni kinyume cha mapatano gani???
Wewe ni shoga, Urusi anapigana na NATO indirectly. Ukraine ni nyamafu tu bila msaada wa silaha hata huyo Shoga in Chief Zelensky angekuwa tayari ni mateka au ashakimbilia uhamishoni.Mpaka sasa kwa Ukraine wanfurahia victory maana Urusi tuliyokua tunaijua tulitegemea ichukue Ukraine kwa wiki moja, imeishia kugombea kamji ka chumvi na kupoteza wanajeshi mara nne ya JWTZ.
hao mateja walioswagwa kwenda kupigana hawana jipya.
Habari za jumapili ndugu,Leo ni siku ya toba,nikukumbushe kwenda kusali na kupunguza mzigo ulio nao moyoni!
Hivi Kenya muda wa ibada ni saa ngapi?
Wewe ni shoga, Urusi anapigana na NATO indirectly. Ukraine ni nyamafu tu bila msaada wa silaha hata huyo Shoga in Chief Zelensky angekuwa tayari ni mateka au ashakimbilia uhamishoni.
NATO waingie mara ngapi? 🤣 Tunafumua uchafu wao wanaoleta na wanafunzi wao kwa ujumla.Hivi mbona mnapenda ushoga sana huko Pwani na Pemba...maeneo mlio wengi.
NATO ikitia guu Ukraine itabidi muisahau Urusi.
Wagner wanakukata makende ukigoma kusonga front line.Afu Wagner Kuna makamanda hasa. Tena wenye mioyo halisi ya kivita na kijeshi. Kikundi Cha kivita kisicho na nidhamu maanake hawatasonga mbele vitani kwa kukiuka amri ya mbele songa. Na ukikataa kusonga lazima bila ajizi hutekelezwa adhabu stahiki. Hapo lazima uchague kufia mstari wa mbele au kufa kwa kuuawa na wenzako.
Nb.
Wagner hupewa kila kitu ndege, vifaru na hata airdefences system nk.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
NATO waingie mara ngapi? 🤣 Tunafumua uchafu wao wanaoleta na wanafunzi wao kwa ujumla.
Hamna taifa lolote linaloweza pigana na urusi directly. Halipo na hao US wanajua wakitoa silaha za masafa marefu zikaharibu mazingira Moscow ni WW3 directly. Itakuwa haina msalia mtume bali ni Nuke to Nuke interchange.Kwa mlivyochakazwa na ka-Ukraine, msiombe NATO waingie, hebu mpoteze njia mjichanganye na kushambulia kataifa kamoja ka NATO, kuna siku anti-missile ya Ukraine ilitua Poland, jameni Urusi alijitetea hadi huruma, alilia sana kwamba anabambikiwa...
Ukraine si anapigana nae? Au hawapigani?Hamna taifa lolote linaloweza pigana na urusi directly. Halipo.
Ukraine anasaidiwa kupigana maana kabla ya kuletewa kifurushi cha kwanza mikoa 4 ilikuwa ishakuwa annexed. Angeendelea kupambana mwenyewe hadi sasa ungekuta 50% ya Ukraine ishamezwa na Urusi.Ukraine si anapigana nae? Au hawapigani?