Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ebu kua seriously na maisha mdogo wangu!!!Marekani air defence hana!!!!Wewe sio mchambuzi ni mshabiki!!!!!!Hata sisi tusio mashabiki wa vita tunajua capablity ya USA AIR DEFENCE SYSTEM,S!!!Tofautisha ulinzi wa air space ya korea kusini na air space ya marekani!!!Ni vitu viwili tofauti
Yaani mmeshindwa kutungua puto ndugu zanguni? MAREKANI air defense hana ndo maana Korea kaskazini ilipitisha drone yake NDANI ya Korea kusini bila tabu
 
Leo ni siku ya 17 toka Ujerumani na Poland watangaze kusafirisha Leopard tank kuja Ukraine.

*Kutoka Polanda mpaka Ukraine ni km 1200

* Kutoka Germany mpaka Ukraine ni km 1700.

*Kutoka Dar mpaka Bukoga ni km 1300.kwa malori ni safari ya siku 2.

NATO mnakwama wapi jamani

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Na vikifika huko,utasikia vimegoma kuwaka kama vile vya USA.[emoji34][emoji34][emoji34]
 
Ebu kua seriously na maisha mdogo wangu!!!Marekani air defence hana!!!!Wewe sio mchambuzi ni mshabiki!!!!!!Hata sisi tusio mashabiki wa vita tunajua capablity ya USA AIR DEFENCE SYSTEM,S!!!Tofautisha ulinzi wa air space ya korea kusini na air space ya marekani!!!Ni vitu viwili tofauti
Kijana hilo putoe mbona mlishindwa kutungua likiwa nje tu ya anga LA MAREKANI? MAREKANI INA early warning air defense system INA maana wangepata information mapema kuhusu uwepo wa hilo puto angani kisha wange deploy fighter jet kwenda Ku intercept hilo puto. lakini bado walishindwa MPAKA watu walipo lions kwa macho ndo wakaenda KUTOKA taarifa kwenye vyombo vya ulinzi
 
Sasa morogoro wewe mshabiki sio mchambuzi wa mada za kijeshi!!!Unaniuliza kuhusu puto????Tangu lini drone ya kijeshi ikawa puto na nani kasema drone za north korea ni maputo????Afu unaniuliza kuhusu tukio kama mimi nilikuwepo kaka?????Nachosema mimi ni utofautishe ulinzi wa air space ya south or north korea na air space ya marekani!!!!!Ukitaka kujifunza mada za kijeshi duniani lazima kwanza uweke ushabiki pembeni na uwe msomi anaetaka kujua
 
Kijana hilo putoe mbona mlishindwa kutungua likiwa nje tu ya anga LA MAREKANI? MAREKANI INA early warning air defense system INA maana wangepata information mapema kuhusu uwepo wa hilo puto angani kisha wange deploy fighter jet kwenda Ku intercept hilo puto. lakini bado walishindwa MPAKA watu walipo lions kwa macho ndo wakaenda KUTOKA taarifa kwenye vyombo vya ulinzi
Ili tukio lilitokea lini na katika anga la state ipi ya marekani!!!!Unaweza kunijuza kaka???
 
Kuna wale wengine wakiongozwa na T14-Armata walionekana ile siku Iran aliposhambuliwa na Drone.mpaka nikashangaa kumbe jamaa wapo mjini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Toka siku ile sijawaona tena.
@Figanniga yupo kuleeee,anarusha picha za wanajeshi wa Ukraine walivyo smart na wenye akili.

Nkamuuliza,Kwa Nini wanarudi nyuma kwenye uwanja wa mapambano?nikapewa majibu mepesi mepesi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimeuliza tu maana kuna watu wanajua urusi hakuna mashoga ila hapa zanzbar tunapokea gays na lesbians kibao tu kutoka urusi!!!!Au wewe unaongea kishabiki hata hoteli za kitalii hapa zanzbar hujawahi kufika au kulala @ Somoche!!!
mkuu tulia! Hii lugha ya ushoga
1) haina kazi kabisa katika habari hizo za vita. Marafiki wa Putin wanataka tu kuchochea watu dhidi ya Ukraine na "magharibi" kwa kudai eti hao wanatawaliwa na "mashoga" hivyo watu wazuri labda wanapaswa kuwapinga. Bila kujali ukweli au hali halisi.
2) hao wanaoitwa "mashoga" wako kila nchi ya dunia, hata TZ au wapi. Wanaweza kujificha nchi fulani au kutembea wazi nchi nyingine kutegemeana na mazingira. Wako takriban asilima 2-3 za binadamu kote. Hivyo hao ni sehemu tofauti ya uumbaji wa Mungu, sawa na watu waliozaliwa vipofu, wenye mguu mmoja, au wanaokosa mkono tangu kuzaliwa. Wasipoudhi watu wengine hawana madhara wanastahili heshima kama kila binadamu (na sawa na watu walio "kawaida" wanapaswa kudharauliwa na kuadhibiwa wakishambulia watoto au watu wasioweza kuwazuia)
3) Kwa hiyo bila shaka washoga Warusi wanaonekana kwa sababu Zanzibar siku hizi ni kati ya mahali pachache dunianini ambako Warusi wanaweza kufika. Kati wa watalii 1000 lazima wako 20-40 na kwa sababu Zanzibar tabia hizo zinafichwa, basi wanaonekana sana!
Ila usikate tamaa, zile 2-3% za washoga Warusi si tofauti na umati huohuo wa Watanzania, Wakongo, Waingereza, Waafrika Kusini au Waukraine.
 
Back
Top Bottom