Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Kinacho nifurahisha zaidi mimi kinahusu wana sayansi wa Urusi walivyo fanikiwa ku-modify software zinazo tumiwa na rada za air defense systems pamoja na rocket interceptors zinazo rushwa na ADS zenye mfumo wa kulipuka kivingine kabisa wakati wa ku deal na HIMARS rockets hata ziwe ngapi angani zinalipuliwa juu kwa juu - by the way Russia imekwisha design hata shells zenye teknolojia yaku-deal na HIMARS rockets kama second tier ya ulinzi connected in a mesh network.
 
Source:wale wale waliotuambia Urusi kaishiwa makonbora? Wale wale waliosema Putin anaumwa atakufa anytime? By the way,hivi unajua hasara ya kupoteza ardhi kubwa kama DONBAS yenye rotuba,madini,bandari watu n.k na hasara ya vifaru ambavyo vitapatika?
Alafu unajua maana ya Neno "may"?
 
modern tanks. We are talking about the production, modernization of thousands of tanks" - D. Medvedev
View attachment 2511774
Kwishaaaaaaaaaa[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Nawashangaa mnaposema Donbass imepotea.., nawakumbusheni tu kwamba ukraine alikuwa ameshaipoteza

Khakivu


Kyiv


Kupyansk


Mycolaiv


Lyman


Snake island


Izium

Na bahadhi ya maeneo ya luhansik tayari yamekombolewa,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Zana za kusaidiwa upambane na adui utapigwa mpaka uchakae.
 
[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]andriy yermak,head of the office of the president of Ukraine ; The issue of long range weapons and fighter jets for Ukraine has been resolved [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
modern tanks. We are talking about the production, modernization of thousands of tanks" - D. Medvedev
View attachment 2511774
Umeteua picha zuri ya makaburi ya vifaru vya Urusi ! Maana sehemu kubwa ya vifaru 12,000 vya Urusi vilioza vile kwa miaka mingi . . sasa wanajaribu kurudisha uhai. Maana katika uzalishaji wa vifaru vya kisasa walikwama, kumbuka hatma ya T14 Armata. Ila: penye nia kuna njia (labda...)
 
Mbona urusi anasaidiwa na Iran pamoja na north Korea na Bado kaishia kutembezewa mkong'oto mpaka anakimbilia kwenye tumiji tudogo twa huko mpakani [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Karibu 30% ya Ukraine imetekwa na Russia wana ijenga upya.
Endeleeni kusema Iran,...Iran haina silaha kuzidi Urusi. Yaani msaada wa Jirani upigane na Russia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Putin karudia kusema tena bado haja anza vita. Bado ni SMO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…