Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

U
Russia anakwama wapi?? Mbona anakuwa kama mfamaji??..,hiyo issue ilishaitimishwa kwamba ni uhakika asilimia mia kwamba ni UK kahusika kulingana na maafisa wa urusi wenyewe..,Leo Tena mambo yamebadilika??
Kweli mfamaji haachi kutapatapa!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
We unataka Russia ifanye kitu unachowaza ww .we jamaa Ni mwehu 😂....mbona pulizo la China lilivoingia marekani ujasema USA wanakwama wapi kuwavamia wachina 😎c waliishia kulitungua tuh .tena kwa shiiiiidaaa kweli kweli,hapo jifunze sio kila ukichokozwa upigane
 
U

We unataka Russia ifanye kitu unachowaza ww .we jamaa Ni mwehu [emoji23]....mbona pulizo la China lilivoingia marekani ujasema USA wanakwama wapi kuwavamia wachina [emoji41]c waliishia kulitungua tuh .tena kwa shiiiiidaaa kweli kweli,hapo jifunze sio kila ukichokozwa upigane
Kwanza ulichokijibu hakiendani na ulichokikwot,au umeshapiga mafunda kadhaa ya vodka??

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mmekomboa vijiji vingapi??
Sio vijiji tu,tumekomboa majiji kadhaa ikiwemo

Kyiv [emoji56][emoji56][emoji56]

Khakivu [emoji56][emoji56][emoji56]

Kheson [emoji56][emoji56][emoji56]

Izium [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]

Kupyansk [emoji56][emoji56][emoji56]

Snake island [emoji56][emoji56][emoji56]

Lyman [emoji56][emoji56][emoji56]

Mycolaiv [emoji56][emoji56][emoji56]

Na bahadhi ya maeneo ya luhansik

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Umeteua picha zuri ya makaburi ya vifaru vya Urusi ! Maana sehemu kubwa ya vifaru 12,000 vya Urusi vilioza vile kwa miaka mingi . . sasa wanajaribu kurudisha uhai. Maana katika uzalishaji wa vifaru vya kisasa walikwama, kumbuka hatma ya T14 Armata. Ila: penye nia kuna njia (labda...)
Vilioza ??? Ushabiki huu Ni too much 😂😂hata hivyo waswahili wanasema mtu chake ,.vimeoza ila hapo c tunaona vitu new new 😎idadi yake hapo hata nato ijichange vipi kumpa Ukraine havifiki hata robo ...msije bisha maana Kuna nchi imetoa msaada wa vifaru 14 aliyejitaidi katoa 31 cjui 😃😃😃xx jiuluze vikiisha wataeza kuwapa tena ...Kama kakupa vifaru 14 hiv unategemea ukija tena kuomba utapewa vingapi
 
Vilioza ??? Ushabiki huu Ni too much [emoji23][emoji23]hata hivyo waswahili wanasema mtu chake ,.vimeoza ila hapo c tunaona vitu new new [emoji41]idadi yake hapo hata nato ijichange vipi kumpa Ukraine havifiki hata robo ...msije bisha maana Kuna nchi imetoa msaada wa vifaru 14 aliyejitaidi katoa 31 cjui [emoji2][emoji2][emoji2]xx jiuluze vikiisha wataeza kuwapa tena ...Kama kakupa vifaru 14 hiv unategemea ukija tena kuomba utapewa vingapi
Kama urusi ana vifaru vingi kias hicho kwa nini kashindwa kuiteka Kiev ndani ya saa 72 kama ilivyokuwa lengo lake!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Sio vijiji tu,tumekomboa majiji kadhaa ikiwemo

Kyiv [emoji56][emoji56][emoji56]

Khakivu [emoji56][emoji56][emoji56]

Kheson [emoji56][emoji56][emoji56]

Izium [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]

Kupyansk [emoji56][emoji56][emoji56]

Snake island [emoji56][emoji56][emoji56]

Lyman [emoji56][emoji56][emoji56]

Mycolaiv [emoji56][emoji56][emoji56]

Na bahadhi ya maeneo ya luhansik

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app

Na hiyo 30% ya ardhi inayokaliwa na Urussi imetoka wapi??
 
Usisahau pia allepo na miji mingine iliyotekwa na urusi inavyopendeza! Japo uwezo wa kuilinda milele Hana

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Huo ni mtazamo wako wewe usiyefanya uchambuzi zaidi ya kushabikia mabeberu....Russia haina nia ya kukalia Allepo na kwa hiyo mkakati wake ni tofauti...Ila Mariupol sasa ni ardhi ya Russia na kamwe haitaweza kurtudi tena huko Ukrasine...Kwa hiyo ujenzi umefanyika kule....Wewe utaiacha dunia hii na kamwe hutashuhdia mariupol ikirudi kwa Ukraine na kama kweli Ukraine itaendelea kuwepo......Hivi unadhani Zele ameenda kufanya nini huko UK na Europe kwa ujumla? Kuelezea hali halisi ya Ukraine na kuomba msaada wa nmna ya kuiondoa Russia kwenye maeneo inayoyashikilia na ukweli kuwa Russia ipo kwenye hatua za mwisho katika maandalizi ya offensive bab kubwa na ambayo lengo lake hasa kwa hakika ni kuuondoa utawala wa Zele...Kama unafuatilia Russia imo mbioni ku-declare kuwa the NAZI regime in Kiev is illegitimate...Unafahamu maana yake hapa??? ni kwamba Russia huenda ikatangaza kuwa utawala wa Zele siyo halali n a hivyo ni halali kwa Russia kuuondoa madarakani ...Kazi mnayo mwaka huu
 
Nakukumbusha tu ya kwamba hata kheson tuliambiwa ni ardhi ya urusi milele, mpaka mitaala ya shule za kirusi ikaanzishwa huko , lakini kilichotokea ni super pawer kukimbizwa kama mbwa mwizi na hakuna kitu alifanya [emoji16][emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Vilioza ??? Ushabiki huu Ni too much 😂😂hata hivyo waswahili wanasema mtu chake ,.vimeoza ila hapo c tunaona vitu new new 😎idadi yake hapo hata nato ijichange vipi kumpa Ukraine havifiki hata robo ...msije bisha maana Kuna nchi imetoa msaada wa vifaru 14 aliyejitaidi katoa 31 cjui 😃😃😃xx jiuluze vikiisha wataeza kuwapa tena ...Kama kakupa vifaru 14 hiv unategemea ukija tena kuomba utapewa vingapi
Ndiyo vilioza! Unafikiri ni nini inayotokea ukiacha vifaru vizee huko hewani katika mvua, jua, theluji na barafu miaka baada ya miaka?? Mkuu hii si swali la ushabiki ni matumizi ya akili tu.
Taarifa zilezile tunapata hata kutoka Ulaya (Ujerumani, Uholanzi) kuhusu vifaru ambavyo vilitunzwa nje hewani. Wanaanza sasa kuviandaa vile Leopard I kwenda Usrusi lakini vile vilivyokaa nje tu vimejaa kuvu upande wa ndani.
Marekani afadhali kwa sababu wanatunza vifaru vilivyotolewa kwenye huduma kwao jangwani pasipo na mvua nyingi, hakuna barafu.
Ulaya angalau kuna idadi ya vifaru vilivyotunzwa ndani za ghala, hivyo uharibifu kutokana na mvua na barafu haiko ila kutu ya kawaida, pamoja na panya...
Picha zote nilizoona tangu miaka kuhusu akiba ya Urusi- vilikaa nje. Hivyo vimeoza.
Kuviandaa kwa mapigano ni kazi ya miezi mingi, vingine vimekwisha, unaweza kutoa vipuri tu. Ila T14 Armata hatujaona maana walishindwa kuvitengeneza, wana vicache tu kwa paredi ya mwaka.
Halafu vingi vya Urusi ni vizee mno... Tumeshaona T64 (!!! Je unajua ni nini??) kwenye mapigano.
Hapa hata makumi aina ya Abrams na Leopard -vikitumiwa kwa busara- vitaleta mabadiliko fulani.
Kiasi gani - tutaona
 
Jiandaeni na sanctions, team putin kutoka mwembe ladu
- team putin mutatoboaaa?

EU's Von Der Leyen: New Russian sanctions will target Putin's propagandists
Maadam package za vikwazo bado zipo basi zitaendelea kuwa imposed tu hakuna namna.., lakini Kwa nini huyu super pawer asifanye retaliation ya hivi vikwazo kwa kuimpose vya kwake?? [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Nakukumbusha tu ya kwamba hata kheson tuliambiwa ni ardhi ya urusi milele, mpaka mitaala ya shule za kirusi ikaanzishwa huko , lakini kilichotokea ni super pawer kukimbizwa kama mbwa mwizi na hakuna kitu alifanya [emoji16][emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobil

Unaelewa na kufahamu what is going on in Kherson??? Unaifahamu na kuielewa jiografia ya Kherson?!! Pole, ndugu..
 
Hizi helmets hawakuvaa kama fashion show. Tutarajie ndege anga la Ukraine. Wakati huo vifaru vinakuja. Ukraine itapewa hata silaha za miaka 30 iliyopita na zitatoshaView attachment 2511213
Hizo silaha zitakazokuja kwamaoni yako na mawazo yako unahisi zitafanikiwa

A-kuyaondoa majeshi ya RUSSIA katika maeneo wanayoyadhibibi hapo UKRAINE

B-kuyaondoa kabisa majeshi ya RUSSIA hapo UKRAINE nakuyarejesha RUSSIA

Halaf zile silaha za awali walizopewa zimeenda wapi na kama zimeisha zimeleta mafanikio gani huko fild

Mwisho bila ya NATO kuingia mazima huko UKRAINE hakuna kitakacho badilika ila pia tusidanganyane UKRAINE imegeuka jehannam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom