Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwanini SMO imalizike muda huu BOSS hii SMO hata PUT IN aliishasema ni long process

Kwahio vumilieni tu huenda tukaishi nayo kama ile ya SYRIA nk

Hii SMO haitakiwi kumalizika mapema inatakiwa iendelee sana ili RUSSIA izidi kuheshimika maana MSM kina BBC nawenzie walituaminisha kwamba RUSSIA hawez vita yamuda mrefu sasa anataka kushuhudisha kwamba hata wakitaka miaka 30 awe anapigana yupo tayari

SMO ni long process kwahio kama mnatarajia kumalizika hv punde POLENI

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha haa,aisee unajua kukatisha watu tamaa.
 
Hizi helmets hawakuvaa kama fashion show. Tutarajie ndege anga la Ukraine. Wakati huo vifaru vinakuja. Ukraine itapewa hata silaha za miaka 30 iliyopita na zitatosha
20230209_010312.jpg
 
Mikwara mbuzi ya Putin inaendelea.. Balazi wake wa U.K anena mazito..

Russia’s embassy to the UK warned London against sending fighter jets to Ukraine, saying such a move would have ramifications for the entire world, Russia’s state-owned TASS news agency reported.
 
Ufaransa walitamka kbs kuwa kama Urusi watatumia nuclear wao hawatajibu au hawatakuwa miongoni mwa watakaojibu kwa nuclear.

France will not respond with nuclear weapons should Russia use them against Ukraine, French President Emmanuel Macron said.

Kuna watu wanafikiri nuclear ni silaha za kawaida.
Hapa msemo wa stive nyerere unahusika kabisa 😂😂😂😂😂😂 (YAA NINI MIE)

Mfaransa mduanzi sana
 
Hapa msemo wa stive nyerere unahusika kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] (YAA NINI MIE)

Mfaransa mduanzi sana
Wasiwasi ndo akili. Hivi kujaribu kuirushia Russia nyuklia si kujimaliza huko we na uzao wa taifa lako?
Unatupa nyuklia kiss flani kapigwa! Sio chizi wewe?


Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Wasiwasi ndo akili. Hivi kujaribu kuirushia Russia nyuklia si kujimaliza huko we na uzao wa taifa lako?
Unatupa nyuklia kiss flani kapigwa! Sio chizi wewe?


Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Mkuu mimi nipo Moscow saivi naona masela wanacheza mziki na kucheka...

Hawana habari na vita ndogo kama hiyo ndio mana wameachiwa walinzi.

KK SECURITY na G4S SECURITY
 
Hizi helmets hawakuvaa kama fashion show. Tutarajie ndege anga la Ukraine. Wakati huo vifaru vinakuja. Ukraine itapewa hata silaha za miaka 30 iliyopita na zitatoshaView attachment 2511213
Na ukiona uingereza kafanya kitu automatically wengine wanafuatisha.., uingereza ndiye alikuwa wa kwanza kutangaza kwamba anatuma vifaru vya Challenger huko Ukraine.., baada ya hapo shinikizo likapanda ghafla ujerumani naye akafuata nyayo zilezile

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Stoltenberg: "NATO countries have already transferred $120 billion worth of all kinds of aid to Ukraine.

A similar European conflict could happen again in Asia as China rapidly expands its military capabilities, including nuclear".
Hiyo ni twice amount ya entire Russian defence budget ndani ya kipindi cha mwaka mmoja tu

Ila bado mbombo ngafu bakhmut inakwenda
 
AFU lost drones in Artemovsk due to "trench" electronic warfare: details

Since January 2023, UAV operators of several large AFU formations in Artemovsk have lost at least a hundred commercial drones used to adjust artillery and mortars. Drones do not have time to reach the positions of the Armed Forces of the Russian Federation—they are suppressed by previously unknown electronic warfare complexes.

For the first time, units of the 80th separate airborne assault brigade of the Armed Forces of Ukraine encountered such a phenomenon in November last year in the area of Kremennaya; however, mass failures of drones since the end of January have been recorded only in the area of Artemovsk (Bakhmut).

The mass neutralization of Ukrainian drones may be related to the operation of portable electronic warfare stations that appeared at the front relatively recently. According to the AFU radio intercepts, we may be talking about a small device placed either in the nearest forest or directly on the ground, in the same trench as the infantry.

According to captured UAV operators of the armed forces of Ukraine, when enemy drones are detected in the sky, the system automatically begins intercepting and forcibly landing the drone outside the positions of the Ukrainian infantry.

Due to the operation of such devices near settlements in the south of Artemovsk (Bakhmut), liberated from the Ukrainian army in the autumn and early winter of 2022, the Armed Forces of Ukraine almost completely stopped conducting aerial reconnaissance, dropping grenades, and spraying toxic substances over the positions of ground units of the Armed Forces of the Russian Federation.
 
Back
Top Bottom