Akili yangu si muhimu sana katika jambo hilo, tuombee zaidi akili ya Putin Mungu amjalie abaki na angalau kidogo . .Russia atatumia nuclear pale TU atakapoonna Russia iananguaka; weka hiyo akilini
Akili yangu si muhimu sana katika jambo hilo, tuombee zaidi akili ya Putin Mungu amjalie abaki na angalau kidogo . .Russia atatumia nuclear pale TU atakapoonna Russia iananguaka; weka hiyo akilini
Wiki mbili zilizopita tuliambiwa imebaki kilometer 10 tu Ili bakhumut iwe completely incicled [emoji28][emoji28]Ina maana hadi leo Bakhmut bado tu?
saivi father anaitwa parent 1 na mama parent 2 haya mambo yaendana na haya ya wanaume kuowana ndo kuondoa nguvu ya wanaume. Tafakar na hilo pia. Na mpka saivi wanatumia nguvu kubwa sanaa kwenye haya mambo ya LGBT+ na mpka watoto wanafundishwa shule haya mambo.Mkuu tafadhali tafakari kidogo. Katika swali ya ushoga hakuna tatizo la He- She (maana wako he-he au she-she). Hili kweli ni tatizo ya lugha hizo za kijinsia ambako Mungu alielezwa tangu karne kama dume na wakinadada wengine siku hizi wameanza kuuliza "Kwa nini".
Najua katika uwanja huu kuna fesheni kubwa kulia "shoga" kuhusu kila kitu kuanzia hali ya hewa hadi rangi ya shati, ila sioni inasaidia...
😂😂 Hilo puto mpaka sasa hivi wako busy kutafuta mabaki yake😂😂Puto limemsumbua,lingekua na siraha za maangamizi ingekuaje?
Yangetumwa maputo 100 ingekuaje?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kipanya wewe vipi,kama mtoto vilee.Yaani ukishaambiwa kitu hujiongezi hata,unang'ang'ania hicho hicho.Hii ni vita Kipanya,changes can occur anytime at the battle front.Wiki mbili zilizopita tuliambiwa imebaki kilometer 10 tu Ili bakhumut iwe completely incicled [emoji28][emoji28]
Wapi Mathanzua
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nakuambia hivi.Nadhani wewe ni mgeni katika mfumo wa Uingereza. King Charles hana Serikali. Kile Cheo ni cha heshima tu. Mwenye Serikali ni Waziri Mkuu ambapo tangu enzi za Boris Uingereza ilikuwa kinara wa kupeleka misaada na vifaa vya kivita Ukraini. Uingireza nui Mbwa mzee asiye na meno kwa zama hizi.
Vita ya Bakhmut sasa ni "Urban warfare" na ndo maana yachukua muda kidogo. Russia huwa hawapendi aina hii ya vita na ndo maana wao hutembeza kapeti na kuharibu kila kitu.Wiki mbili zilizopita tuliambiwa imebaki kilometer 10 tu Ili bakhumut iwe completely incicled [emoji28][emoji28]
Wapi Mathanzua
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ha ha haa ,utachoka hapo.
Km 900 hiviSyria kwa jumla walitumia vituo vya Kirusi nchini. Urusi ulikodi kituo cha Lattakia tangu miaka mingi, pamoja na vituo vingine ambako walifanya majaribio ya ndegevita zao... (Ila wameona sasa kuna tofauti kutupa mabomu kwenye migambo ya IS au kwenye wanajeshi wa Ukraine....) Nakumbuka safari moja walirusha kombora kutoka maowari kwenye bahari NYeusi kwa kibali cha Uturuki hadi Syria.
Slavery mentality!!Unafikiri Putin na yeye Hana tamaa ya kupiga picha na viongozi makini kama Lish sunak?? Joe Biden?? Olaf wa ujerumani?? Sachols wa ufaransa?
Atakaa kupiga picha na akina lukashenko mpaka lini?
Acha masihara bwana [emoji28][emoji2]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwanini SMO imalizike muda huu BOSS hii SMO hata PUT IN aliishasema ni long processHiyo regular army mnayoipamba kila siku eti itajitokeza kwani imefichwa wapi ?....kama ipo kweli kwanini isitumike kumaliza hivi Vita kwa haraka ?
Kwa AD zilizopo kwa sasa hapo Ukraine hayo ma Tu-160, SU's ni hatari mno kutumika kwenye mji kama Kyiv labda huko Bakhmut
[emoji28][emoji28][emoji28]Hivi kumbe sacholz bado ni raisi wa ufaransa ????Unafikiri Putin na yeye Hana tamaa ya kupiga picha na viongozi makini kama Lish sunak?? Joe Biden?? Olaf wa ujerumani?? Sachols wa ufaransa?
Atakaa kupiga picha na akina lukashenko mpaka lini?
Acha masihara bwana [emoji28][emoji2]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Unafikiri Putin na yeye Hana tamaa ya kupiga picha na viongozi makini kama Lish sunak?? Joe Biden?? Olaf wa ujerumani?? Sachols wa ufaransa?
Atakaa kupiga picha na akina lukashenko mpaka lini?
Acha masihara bwana [emoji28][emoji2]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Stoltenberg: "NATO countries have already transferred $120 billion worth of all kinds of aid to Ukraine.
A similar European conflict could happen again in Asia as China rapidly expands its military capabilities, including nuclear".
sizitaki mbichi hizi...!!!...maninnaa...mpaka waitapike Ukrein yote!!!... wapi ki-rat..mida hii...Punde watu watakimbia BAKHMUT [emoji23][emoji16][emoji23]
[emoji635][emoji3538][emoji1255]"From a strategic point of view, Bakhmut is not very important, since it is completely destroyed". -Zelensky
Sent using Jamii Forums mobile app
Kalala kwanza anaugulia maumivu ya kutwa nzima huko Ukreinsizitaki mbichi hizi...!!!...maninnaa...mpaka waitapike Ukrein yote!!!... wapi ki-rat..mida hii...
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Imeisha hiyo februari 24 siku ya kula supu tuPunde watu watakimbia BAKHMUT [emoji23][emoji16][emoji23]
[emoji635][emoji3538][emoji1255]"From a strategic point of view, Bakhmut is not very important, since it is completely destroyed". -Zelensky
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni kweli, maana Donbass yote itakuwa imekombolewa [emoji12]Imeisha hiyo februari 24 siku ya kula supu tu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app