Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tuendelee kuwa pamoja ndugu zangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

[emoji95][emoji95][emoji95]In the area of the Sakkoi n Vantsetti, units of the PMC Wagner expanded the zone of control and are advancing in the direction of Vasyukivka.[emoji95][emoji95][emoji95]View attachment 2507473
Nyamizi sogea huku.
 
Rudia tena kusoma, niliandika kabla ya SMO Ukraine alitakiwa ayamalize mambo kwenye meza ya mazungumzo lakini alifeli hapa, lakini pia hata wakati vita vinaanza angekubali masharti ya kuachia donbase. Sasa unadhani nini kitatokea akiendelea kukaza fuvu?
Kulikua na nchi inaitwa Uikraine,,,,,,,walimu wataanza fundisha hivyo.
 
[emoji635] In Russia, for the needs of the special operation, the production of Krasnopol guided artillery shells has increased several times, which will become one of the means of effectively destroying Abrams and Leopard tanks, a source told RIA Novosti

We hope that the build-up is also going on with conventional shells. This is critically important, because once again artillery is showing itself as the god of war.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiachana na taarifa rasmi kutoka vyombo vya habari, mengine yote ni maoni binafsi.
Chombo kipi?[emoji1787]
IMG_20230120_102545.jpg
 
Pro ukraine ebu niambieni Kama urusi anayo hali mbaya mbona hajawai Lia Lia kwenye media Wala kuanza kuomba msaada ...
Pili Kama uSA ndio superpower halisi kwann bhc asifazili vita yote mpka nae anageuka dalali au mkusanya michango [emoji23][emoji23]
Puto limemsumbua,lingekua na siraha za maangamizi ingekuaje?

Yangetumwa maputo 100 ingekuaje?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Puto limemsumbua,lingekua na siraha za maangamizi ingekuaje?

Yangetumwa maputo 100 ingekuaje?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alafu Kuna kenge akaja kujisifu apa kua washalitungua ,..yaani pulizo limefika mpka ndani ya nchi .ndio wwtu wanaanza kukimbizana na ma Patriots Mara Abram 😂 kwa pulizo 😂😂afu wanajitetea kwa kusema ilo pulizo Ni kubwa c la kawaida Ni lakijasusi 🤣🤣🤣🤣
 
[emoji1255][emoji298][emoji298] clemlin orders overhaul of boms shelters across Russia - media [emoji1255][emoji298]

Naona super pawer anajiandaa kupokea za uso [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
1030 wamechinjwa siku ya Jana tu....,sisi hatutachoka kuwaletea updates,ndio maana tunawaambia hii vita imekuwa Janga haswa kwa super pawer 🥱🥱🥱View attachment 2509320

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Waletee na ile picha ya kikao Cha kujadili pulizo 😁nasikia nchi zote za nato zimeshiriki kulitungua puto la mtoto wa jack Chan 😎....
Source:kijiwe nongwa
 
[emoji635] In Russia, for the needs of the special operation, the production of Krasnopol guided artillery shells has increased several times, which will become one of the means of effectively destroying Abrams and Leopard tanks, a source told RIA Novosti

We hope that the build-up is also going on with conventional shells. This is critically important, because once again artillery is showing itself as the god of war.

Sent using Jamii Forums mobile app
Guided shell ya Tornado au Smerch Ina uwezo wa kufanya kifaru chochote kuwa chuma chepesi.
Ni hatari. Kila la kheri kwa Abrams na Leopard zipatazo 301

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
RUSSIA sio ZIMBABWE

[emoji1099] [emoji635] #oil #ceiling
The EU has excluded oil products produced from Russian oil outside the Russian Federation from sanctions

Ceiling the oil price will also not apply when mixing Russian petroleum products and products from other countries

Sent using Jamii Forums mobile app
Vikwazo waeke wao ,Mara watoe ila mwanaume bdo anapeleka Moto kila upande 😎😎😎
 
Back
Top Bottom