Wako wapi waliotabiri Uchumi wa Russia utaanguka kabisa mwezi mey 2022? Na hivyo kutatokea maandamano yatakayomuondoa Leutenant colonel Vladimir Putin?
Wako wapi waliosema Uchumi wa RF utadondondoka ifikapo mwezi wa tisa mwaka 2022 na hivyo Putin kuangushwa na baadae majeshi ya Russia kuondoka kwa aibu kwenye occupied regions ?
Wako wapi walioweka vikwazo maelfu kwa Russian Federation? Vikwazo vinawageukia. Vikwazo Bado havijabadilisha chochote kule vitani. Uwezo wa Russia kivita umekuwa wazi zaidi. Wanazalisha silaha nyingi zaidi Mara dufu zaidi ya NATO kwa mujibu wa Putin.Tukiachana na Alichosema Leutenant Colonel Putin uhalisia unaonekana.Russia Wana maelfu ya silaha. Hawajatetereka kwa namna yoyote kwenye Jambo Hili.
Dunia imebadilika vikwazo kwa Sasa Ni kitisho kwa nchi Kama Zimbabwe na Kenya lakini sio kwa Russian Federation na Iran. They are great powers! Any questions so far?
Ukraine wanasema wameteka vifaru 400+ vya kirusi ikiwemo T 72 na T 90 M. Kwa muda wote huu kwanini wasitumie kufanya counter offensive? Wajaribi kila la Kheri.
Nb.
Counter offensive ya Ukraine inafeli kwa ukosefu wa uwepo coordination ya kamandi za ardhini , angani, na majini. Ambapo humo angalau vikosi vya ardhini vina silaha lakini airforce na majini Ni total failure.
Kila la Kheri kupambana na Suma Jkt ya kirusi.Russian are there to stay.
Sent from my TECNO RA7 using
JamiiForums mobile app