Hao wamarekani wamekuzidi sana akili,wewe mmatumbi huwezi kuelewaHapa Mtu Unaweza Jiuliza Ukrein ni Ya Marekani Au na Wanahaki gani wao!
Na mtu mwenye Akili Anaweza Kuisapoti US kwa Upumbavu inao ufanya Kwenye Hii Dunia yaan Yaani Yeye ndio Aamue Kuhusu Ardh ya Ukrein Kama nani!? NDIO WATU WAJUE URUSI HAPIGANI NA UKREIN
Nimejaribu Kuibadilisha Habari kuwa Lugha ya Kiswahili
wapiga kura wa Chama cha Republican wako tayari kuipa Urusi sehemu ya eneo la Ukraine. Gazeti la Washington Post linaandika kuhusu hili, likichambua matokeo ya kura za maoni.
"Hotuba ya Rais Volodymyr Zelensky kwa Bunge la Congress haionekani kuwa imebadilisha hali sana: nusu au zaidi wa Republican wanasema kwamba tunafanya mengi sana kuisaidia Ukraine, au kwamba tunapaswa kuacha kufadhili ulinzi wake," makala hiyo inasema.
Idadi ya wale wanaoamini kwamba Marekani inafanya "mengi" kwa ajili ya Ukraine imeongezeka kwa 18% kati ya Republican, kulingana na kura ya maoni ya Washington Post-ABC News.
Na kura ya maoni ya NBC News wiki iliyopita ilionyesha kuwa 63% ya Warepublican wanapinga kuongezeka kwa uungwaji mkono kwa Waukraine.
"Imani yao katika juhudi za kijeshi za Ukraine inashuka na shaka inaongezeka kwamba uvamizi wa Urusi unaleta tishio kwa Marekani," makala hiyo inasema.
Lakini "mashuhuri zaidi" ni hamu inayokua ya kuipa Urusi sehemu ya eneo la Kiukreni, ambalo Shirikisho la Urusi linadai.
Kura mpya ya maoni ya Gallup iliwapa Wamarekani chaguo: kati ya kuunga mkono juhudi za Ukraine kurejesha eneo lake - na kumalizika kwa haraka kwa vita, hata kama ingemaanisha kwamba Urusi itaruhusiwa kuondoka katika kile ilichokishinda.
"Warepublican wengi walichagua wa zamani. Lakini 41% walikuwa tayari kuidhinisha uhifadhi wa eneo la Ukraine kwa Urusi kwa jina la kumaliza vita. Hii inalinganishwa na asilimia 16 ya Wanademokrasia ambao wanataka sawa," makala hiyo inasema.
Gazeti hilo linasema kwamba sehemu ya wale wanaofikiri hivyo miongoni mwa Warepublican inaongezeka.
"Sehemu inayokua ya Chama cha Republican inaamini kwamba gharama hazifai, kwa kuzingatia matarajio yasiyoeleweka ya mafanikio ya Ukraine. Au, labda, Warepublican ambao wanapendelea sera ya kutoingilia Ukraine wanatafuta sababu za kutoka nje ya vita. .
Lakini matokeo ni yale yale: takriban nusu au zaidi Wanachama wa Republican sasa wana shaka kabisa juu ya kuendelea kwa ushiriki wa Marekani, na wengi katika Chama cha Republican wako tayari kuipa Urusi angalau sehemu ya kile ilichoivamia Ukraine," makala hiyo inahitimisha.
Wameteka vifaru vingi ila sio kwa wingi wa kufanyia counter offensive.Any questions so far?
Ukraine wanasema wameteka vifaru 400+ vya kirusi ikiwemo T 72 na T 90 M. Kwa muda wote huu kwanini wasitumie kufanya counter offensive? Wajaribi kila la Kheri.
Nb.
Kwani uchumi wa Urusi haujatetereka hata kidogo sababu ya vikwazo ?...Wako wapi waliotabiri Uchumi wa Russia utaanguka kabisa mwezi mey 2022?
Counter offensive ya Ukraine ipo njiani na silaha ikiwemo vifaru vya kimagharibu vipo njiani.Counter offensive ya Ukraine inafeli kwa ukosefu wa uwepo coordination ya kamandi za ardhini , angani, na majini. Ambapo humo angalau vikosi vya ardhini vina silaha lakini airforce na majini Ni total failure.
Tazama ramani. Sehemu za kijivu ziko ndani ya Ulaya (hadi mstari wa Milima ya Ural, ambayo ni mpaka wa Asia na Ulaya), sehemu za rangi ni zile katika Asia. Ukraine nilitia buluu. (ona pia https://sw.wikipedia.org/wiki/Siberia; jina la "Siberia" linatumiwa kisiasa (jimbo la Urusi) na kijiografia (kubwa zaidi, yaani Asia yote ya Kirusi)Sawa, lakini Kwa ujumla Hilo eneo linahesabika liko wapi mkuu,liko ulaya?? Liko Asia?? Liko marekani??
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nitajie sehemu ya USA ambayo ni ya Wazungu kutoka Europe?Mkuu ukitazama ramani utumie akili kidogo. Eneo lile kubwa ni hasa mapori ya barafu au matope (kutegemeana na majira) pasipo na watu. Tanzania ina watu 67 kwa km², Urusi nwako 9 pekee. Sehemu kubwa si Urusi kweli ni koloni zake anazoendelea kushika katika Asia.
Sasa hapa madai yako ni nini?Tazama ramani. Sehemu za kijivu ziko ndani ya Ulaya (hadi mstari wa Milima ya Ural, ambayo ni mpaka wa Asia na Ulaya), sehemu za rangi ni zile katika Asia. Ukraine nilitia buluu. (ona pia https://sw.wikipedia.org/wiki/Siberia; jina la "Siberia" linatumiwa kisiasa (jimbo la Urusi) na kijiografia (kubwa zaidi, yaani Asia yote ya Kirusi)
Siberia ambayo ni eneo kubwa zaidi la Urusi kuna watu 0.5 kwa km²
View attachment 2509644
Kwa nini?Nitajie sehemu ya USA ambayo ni ya Wazungu kutoka Europe?
Nikamjibu jamaa aliyeshangaa jinsi gani nchi ndogo kama Ukraine inapigana na nchi kuuuubwa kama Urusi akionyesha ramani. Naonyesha Urudi kweli ni nchi kubwa lakini si kubwa vile jinsi inavyoonekana kwenye ramani maana sehemu nyingi za ardhi yake hakuna watu. Ni hiyo.Sasa hapa madai yako ni nini?
Kumetenganishwa na bahari au tectonic plate?
Vipi Alaska Ile si Kanada?
Hawaii je?
Visiwa vya USA vilivyopo kwenye bahari ya Pacific?
Nilikujibu baada ya kusoma komenti yako Moja ikisema kuwa Urusi Ina makoloni?Nikamjibu jamaa aliyeshangaa jinsi gani nchi ndogo kama Ukraine inapigana na nchi kuuuubwa kama Urusi akionyesha ramani. Naonyesha Urudi kweli ni nchi kubwa lakini si kubwa vile jinsi inavyoonekana kwenye ramani maana sehemu nyingi za ardhi yake hakuna watu. Ni hiyo.
Hawana hela ya kulipa wastaafu.View attachment 2509656
[emoji779]️Mass Pension Reform Protests Continue To Rock France
Demonstrators continue to fill the streets in multiple French cities to protest against President Macron’s intended pension reforms.
His government says people must work longer, meaning for most, that their pension will come at age 64.
“Retirement should be a second life, not a waiting room for death,” one protester told Reuters.
Subscribe to RT
Huku Urusi anakaribia kuimeza Bakhmut Askari wa Ukraine wanaojifundisha kutumia vifaru vya UK wameonekana kufanya vizuri kwenye mafunzo yao.Wameteka vifaru vingi ila sio kwa wingi wa kufanyia counter offensive.
Kwani uchumi wa Urusi haujatetereka hata kidogo sababu ya vikwazo ?...
Counter offensive ya Ukraine ipo njiani na silaha ikiwemo vifaru vya kimagharibu vipo njiani.
Sindiyo? Katika miaka 400 iliyopita Urusi ilishindana na Uingereza tu kutwaa sehemu kubwa za Dunia. Uingereza ilitumia njia za maji, Urusi ilitumia njia za nchi kavu (walijaribu pia maji, mfano Eritrea, lakini kule hawakufaulu).Nilikujibu baada ya kusoma komenti yako Moja ikisema kuwa Urusi Ina makoloni?
Miaka 400 iliyopita ni Karne ya 17?Sindiyo? Katika miaka 400 iliyopita Urusi ilishindana na Uingereza tu kutwaa sehemu kubwa za Dunia. Uingereza ilitumia njia za maji, Urusi ilitumia njia za nchi kavu (walijaribu pia maji, mfano Eritrea, lakini kule hawakufaulu).
Baada ya vita za karne ya 20, Uingereza ilikosa uwezo kuendelea kutawala maeneo hayo yote kwa njia ya bahari. urusi ilikuwa tofauti, maana waliweza kutumia reli na barabara kwa hiyo gharama za kuendeleza ukoloni wao zilikuwa nafuu.
Sehemu ya koloni zao walipaswa kuacha 1991 baada ya mwisho wa ukomunisti (Kazakhstan, Azerbaijan, Uzbekistan, Latvia, n.k.) sehemu nyingine walizuia zisiondoke (kama vile Tatarstan, Chechnya, Yakutia na kadhalika). BAdo ziko.
Asante Mkuu Kwa kuniita. Nina swali.worked for Soviet intelligence while living in Switzerland in the 1970s, according to reports.
Citing declassified archives,
Na zile tanks mlizokuwa mnapewa msaada Ni scania? Kweli nyani alioni kundule.
Safi sana mkuu,maelezo mazuri kabisaMiaka 400 iliyopita ni Karne ya 17?
Je Urusi ilianza kujitanua East kuanzia Karne ya 17?
Wazungu wanaopatikana Mashariki ya Ulaya ni Maslav, kwa nini Mataifa yote hutumia rangi Nyeupe, Blue na Nyekundu.
Je Wachechen sio Slav? Kama ni Slav kwa nini unadhani wapo colonized na Russia?
Swali lako ni sawasawa nikuulize Wahehe wapo Tanzania si ndio? Je ni raia wa Tanzania? au Tanzania imeikoloni nchi ya Mkwavinyika?
Kama ni Watanzania Ina tofauti gani na Ingushetia kuwa Warusi?
Unafahamu namna Urusi ilivyosimama?
Unadhani baada ya kumshinda Mongolia, wangefuata mfumo wa Western Europe au East Europe ambapo utaifa ni zaidi ya kabila Moja na race Moja?
Siku nyingine ukianzisha mada jipe muda utafakari kwanza.
Mwisho naomba utupe historia ya Makazkh kwa ufupi?
Ili tuone hawana mizizi na Urusi?
Cheki kwenye ramani ya vita utaona.wala usisikilize habari za upande mmoja[emoji23][emoji23][emoji23]Duh! Hiyo taharifa utakuwa nayo peke Yako current news ni hii hapa[emoji16][emoji116][emoji116][emoji116]
[emoji298][emoji1255][emoji298] Russian troops are attempting to push though the defense of ukranian force in the Lyman and bakhumut directions but suffering huge loses [emoji298][emoji1255][emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ebu cheki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].washafika mlangoniDuh! Hiyo taharifa utakuwa nayo peke Yako current news ni hii hapa[emoji16][emoji116][emoji116][emoji116]
[emoji298][emoji1255][emoji298] Russian troops are attempting to push though the defense of ukranian force in the Lyman and bakhumut directions but suffering huge loses [emoji298][emoji1255][emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app