triga
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 1,029
- 5,712
Hii ni hatari hizi namba ukiziangalia kwa makini
Utagundua misaada aliyopata Ukraine ni mingi sana probably zaidi ya inavyotangazwa kwenye media.
Hii ni hatari hizi namba ukiziangalia kwa makini
Na zile tanks mlizokuwa mnapewa msaada Ni scania? Kweli nyani alioni kundule.Mnaulizwa , mbona idadi ya hizo tanks zilizoharibiwa Inazidi idadi aliyokuwa nayo Ukraine kabla ya uvamizi?? [emoji16][emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo operation yetu ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo imingiliwa!! Sio??[emoji28][emoji28]Siyo kwamba ni mwaka Mmoja Ukraine akisaidiwa na NATO bado anapigana na "mateja" kama alivyoelekeza MK254 !
====
Kwa kweli NATO Katia aibu, ameangaishwa na kampuni ya ulinzi, Wagner . Ha ha haaaa!
Maana hata ndege na helicopter zimetajwa nyingi kuliko alizowahi kuwa nazo.Hawa Jamaa wanaumizwa na takwimu tunazowaletea kila siku hapa, hivyo wanajitaid kwa Kila Hali kuficha aibu ya hasara aliyolamba super pawer 🥱[emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Dikiteta hawezi kutaja uelekeo wake.., maana wajanja wanaweza kusoma radar na kumla kichwa!!Putin will visit one of the “new regions of Russia next week”, which one is not specified — Russia 1
Halaf utakuja kusema huna upande kwa hapa umeegemea upande maalum
Unapochonganisha watu wapigane na kweli wakapigana wakaumizana matokeo kesi ikaamuliwa kwa mtoa hukumu wa haki
Lazima atataka kujua chanzo na chanzo ikiwa mmegombanishwa tutaanza kuhoji nani alowagombanisha na kwanini afanye hvyo tutadeal na mchochea ugomvi
Jengine hapo kwenye maslahi kwasasa RUSSO na UKRAINE wanapigana ila pia haya mapigano yamegeuka fursa kwa US na RUSSIA ingawaje RUSSO hakuitaka hii SMO ila kaigeuza kua fursa nandio maana anashinda ndani na nje ya SMO yake
Ukisikia kuifanya changamoto kua fursa ndio hiki anachokifanya kwasasa RUSSIA maana mambo yamekua upande wake zaidi ya watesi wake!
Ahsante!
Sent using Jamii Forums mobile app
Takwimu halisi na zinazokuwa updated kila siku ni hizi hapa,hizo nyingine mmeamua kupika tu Ili kumfichia aibu huyu super pawer wa kwenye makaratasi..,Na zile tanks mlizokuwa mnapewa msaada Ni scania? Kweli nyani alioni kundule.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]we jamaa hata bongo tu hapa hujui tuna helicopter ngapi vifaru vingapi .lakini idadi ya ukraine unaijua.Maana hata ndege na helicopter zimetajwa nyingi kuliko alizowahi kuwa nazo.
Hizo artillery ni mara 20 ya alizokuwa nazo.
ADS nazo wameweka idadi kubwa, waulize kwanini hawafanyi Air Attack ndani ya Ukraine kama wamefyatua idadi hiyo ya ADs, majibu hawana
Kwahiyo unataka kutuambia hiki kifaru chenye uzito wa tani 62+ kitabebwa na hii ndege?Hii ni Air force aircraft ya Canada ikibeba kifaru Cha reopard 2 tayari kwa kusafirishwa kuelekea Ukraine..,mzigo unazidi kuandaliwa .., super pawer wa kwenye makaratasi lazima achakae kwa jinsi wanaume walivyompania🥱🥱View attachment 2507360View attachment 2507362View attachment 2507361
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hasara ama maumivu kupitia hii SMO ipo hasa roho za watu ila mali anajibebea na atajibebea zaidi ya anazoondoaUtakuwa sahihi iwapo Urusi vita haimuumizi au hakuwa na resources za kuishawishi ukraine kidiplomasia isidanganyike na mataifa mengine.
Ila Kama vita inamuathiri Mrusi au resources za kukwepa vita na mdogo wake alikuwa nazo kwa kuhakikisha kuwa dogo halubuniwi na mmarekani basi hata yeye lawama anazo.
Vifaru na silaha zitaingizwa mapema maana Russia ana plan another Attack.
Kama NATO hamutatangaza rasmi kua munaingia UKRAINE kuisaidia isile kipondo utasahau na hakuna total war itakayotangazwa hapo dhidi ya UKRO NAZIYaani kwa sasa Russia hawezi kufanya major offensive kubwa sana, sababu, Ukraine amejiandaa kuliko mwaka jana, pia anasilaha bora zaidi, na upande wa Russia itabidi atumie jeshi lake hata lile linalolinda maeneo mengine, which itaifanya so called Special Military operation iwe vita kamili
6000+ tanks and armored vehicles.Wakuu, hapa mnashangilia data bila kujali akili. Ukraine ilikuwa na vifaru 6000 vilivyoharibika na Urusi???? Namba kama hii mnasamabaza na kuamini ????????????
Picha inajieleza Mzee..,hata Mimi nilishangaa kidogo, ndio mambo ya teknolojia hayo,Kwahiyo unataka kutuambia hiki kifaru chenye uzito wa tani 62+ kitabebwa na hii ndege?
Hii Hadithi yako inatufundisha nini mkuu [emoji28]Ila hii SMO inanikumbusha miezi.kadhaa nyuma wakati SMO inaendelea
Alikuja mchafuzi mmoja hapa anaeijua vyema wizara ya ulinzi ya RUSSIA akasema kua idara hio inaupigaji mkubwa kiasi kwamba wanajeshi wake wangekosa nguo zakupigana kwenye kipindi hiki cha winter
Ila hatimae kipindi hiki cha winter RUSSO ndio wanapata mafanikio zaidi
Naomba tu kujua MKUU zile nguo zao zilizopigwa na wizara ya ulinzi zakujikinga na winter zilirudishwa ama ndio ilikua habari tu za MSM media
RUSSIA imeitendea haki sana taaluma yake ya kijasusi hasa kupitia hii SMO
Mwisho :-Muangalieni PUT IN anavyoeka mkono wake akitembea mtagundua tu kua anaumwa na hayupio sawa [emoji16][emoji23][emoji16][emoji23][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi unayoHawa Jamaa wanaumizwa na takwimu tunazowaletea kila siku hapa, hivyo wanajitaid kwa Kila Hali kuficha aibu ya hasara aliyolamba super pawer
southfront.org
Kuna mwingine amesema ukipelekwa kule unaishi ndani ya nusu saa tuKazi unayo
====
A Ukrainian journalist came to Bakhmut to interview soldiers deployed in the city. She revealed surprising statistics of the Ukrainian military.
According to Ukrainian servicemen who are evacuating the wounded and dead from the city, an untrained soldier remains alive for only 4 hours in the Bakhmut grinder. Another soldier interviewed by a journalist was not surprised by such statistics. After some quick calculations, he came to the conclusion that there might be more time.
The Ukrainian media can no longer hide the heavy losses of the Armed Forces of Ukraine. On the one hand, journalists are trying to embellish the feat of Ukrainian soldiers. On the other hand, they confirm their defeat to Russian fighters.
![]()
Untrained Soldier Remains Alive In Bakhmut For Only 4 Hours - Ukrainian Media
A Ukrainian journalist came to Bakhmut to interview soldiers deployed in the city. She revealed surprising statistics of the...southfront.org
Unaweza kutupa idadi ya M777 zilizopelekwa huko? Au umejizimisha data kwamba wamepewa silaha za kutosha kutoka West!Maana hata ndege na helicopter zimetajwa nyingi kuliko alizowahi kuwa nazo.
Hizo artillery ni mara 20 ya alizokuwa nazo.
ADS nazo wameweka idadi kubwa, waulize kwanini hawafanyi Air Attack ndani ya Ukraine kama wamefyatua idadi hiyo ya ADs, majibu hawana