Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Halaf utakuja kusema huna upande kwa hapa umeegemea upande maalum

Unapochonganisha watu wapigane na kweli wakapigana wakaumizana matokeo kesi ikaamuliwa kwa mtoa hukumu wa haki

Lazima atataka kujua chanzo na chanzo ikiwa mmegombanishwa tutaanza kuhoji nani alowagombanisha na kwanini afanye hvyo tutadeal na mchochea ugomvi

Jengine hapo kwenye maslahi kwasasa RUSSO na UKRAINE wanapigana ila pia haya mapigano yamegeuka fursa kwa US na RUSSIA ingawaje RUSSO hakuitaka hii SMO ila kaigeuza kua fursa nandio maana anashinda ndani na nje ya SMO yake

Ukisikia kuifanya changamoto kua fursa ndio hiki anachokifanya kwasasa RUSSIA maana mambo yamekua upande wake zaidi ya watesi wake!

Ahsante!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninachosema, usichonganishwe ukachonganika. Sio nchi tu, hata katika maisha ya kawaida asitokee mtu akasababisha ukapigana na jirani au ndugu yako kwa maslahi yake. Ukiruhusu hilo, nyinyi mnaotwangana ndo majinga sio yule aliyewapandisha joto mkawa kwenye heat.
 
Hii ni Air force aircraft ya Canada ikibeba kifaru Cha reopard 2 tayari kwa kusafirishwa kuelekea Ukraine..,mzigo unazidi kuandaliwa .., super pawer wa kwenye makaratasi lazima achakae kwa jinsi wanaume walivyompania🥱🥱View attachment 2507360
1675601368986.jpg
View attachment 2507361

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ninachosema, usichonganishwe ukachonganika. Sio nchi tu, hata katika maisha ya kawaida asitokee mtu akasababisha ukapigana na jirani au ndugu yako kwa maslahi yake. Ukiruhusu hilo, nyinyi mnaotwangana ndo majinga sio yule aliyewapandisha joto mkawa kwenye heat.
Bado unakosea

RUSSIA angezuiaje kuchonganishwa alipokua anafanyiwa UKRAINE sababu UKRAINE ilikua nchi huru ila ilikua inautumia uhuru wake vibaya RUSSIA akaone alinde usalama wake

Hio statement yako inaweza kutumika kama mapigano yanatokea ndani ya nchi fulani ila sio kwa nje ya nchi

Kwahili UKRAINE ndio wakulaumiwa sababu kakubali kuchonganishika dhidi ya RUSSIA hatimae wenzake kwao wanaishi safi tu kwao hakukaliki

Utakuwa sahihi iwapo Urusi vita haimuumizi au hakuwa na resources za kuishawishi ukraine kidiplomasia isidanganyike na mataifa mengine.

Ila Kama vita inamuathiri Mrusi au resources za kukwepa vita na mdogo wake alikuwa nazo kwa kuhakikisha kuwa dogo halubuniwi na mmarekani basi hata yeye lawama anazo.
 
Hii ni Air force aircraft ya Canada ikibeba kifaru Cha reopard 2 tayari kwa kusafirishwa kuelekea Ukraine..,mzigo unazidi kuandaliwa .., super pawer wa kwenye makaratasi lazima achakae kwa jinsi wanaume walivyompania🥱🥱View attachment 2507360View attachment 2507362View attachment 2507361

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hiyo ndege ikitua Kiev kushusha kifaru hicho utujulishe kwa picha kama hivi ikiwezekana tuwekee na video kabisa.
 
Kwa taarifa kabla ya invasion Ukraine alikuwa na Tanks 980 Pekee.
Sasa hizo mmetoa wapi?

Artillery alikuwa nazo 300 pekee

Hiyo idadi mmeitoa wapi
Hawa Jamaa wanaumizwa na takwimu tunazowaletea kila siku hapa, hivyo wanajitaid kwa Kila Hali kuficha aibu ya hasara aliyolamba super pawer 🥱[emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom